Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,506
- 113,627
- Thread starter
- #21
Mkuu Lambardi, kuna viongozi ambao kazi yao ni kuongoza, na kuna watawala ambao kazi yao ni kutawala!.Ndio sababu hawakumuweka kwenye tume ya katiba maana angemkosoa live hata Warioba na ToR alizopewa azishikilie!!kile kichwa ni balaa!!!
Tungeunda katiba mpya kwa kutumia mtindo wa viongozi, Prof. Shivji, lazima angekuwemo ili tupate katiba bora!.
Lakini tunaunda katiba mpya kwa kufuata misingi ya utawala, mtawala mzuri ni yule anayewajua vizuri watu wake, kitendo cha kumchagua Prof. Kabudi na sio Prof. Shivji, is not by a mere chance, but for a reason!.
Shiviji is never a compromising person, hivyo ili upate kila unachokitaka kiutawala, lazima uwachague watu watakao tawalika, if the have to bend, they will bend ili kipatikane kinachotakiwa lakini sio kinacho paswa kiwe!.
P.