Prof. Mukandala afanya kufuru UDSM

Mkuu wa chuo kutumia 4m kwenda iringa na ndege mbona watu wa NGO wanaruka kila mara, wakati mwingine muda pia unathamani jamani hatuwezi kuendelea kama mtaendelea kumind vitu vidogo hivyo, Wakina Jay Z wanandege za kwao na wanaruka tu. Mtoa hoja katia chumvi, mbona 14 seaters zinaruka sana Iringa - Mbeya na wala mtu haitaji kukodi.

VC nchi zingine anatembea kwa msafara kama waziri mkuu, nimeona India hawa wakuu wa chuo ni watu wanoheshimika sana. Kila zama zina nabii wake, Luhanga alishapita kitambo.

''Dream big dreams you guys: only big dreams have the power to move men's soul''. Marcus Aurelius
 
Previous Vice Chancellors


[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Name [/TD]
[TD] Position [/TD]
[TD="width: 215"] YEAR[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 215"] Mr. Cranford Pratt[/TD]
[TD="width: 215"] Principal[/TD]
[TD="width: 215"] 1961 -1965[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 215"] Dr. W.K. Chagula[/TD]
[TD="width: 215"] Principal[/TD]
[TD="width: 215"] 1965 -1970[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 215"] Mr. Pius Msekwa[/TD]
[TD="width: 215"] Vice Chancellor[/TD]
[TD="width: 215"] 1970 -1977[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 215"] Mr. Ibrahim Kaduma[/TD]
[TD="width: 215"] Vice Chancellor[/TD]
[TD="width: 215"] 1977 -1980[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 215"]Mr. Nicholas Kuhanga

[/TD]
[TD="width: 215"]Vice Chancellor [/TD]
[TD="width: 215"]1980 - 1988[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 215"] Prof. G.R. V. Mmari[/TD]
[TD="width: 215"] Vice Chancellor[/TD]
[TD="width: 215"] 1988 - 1991[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 215"] Prof. Matthew Luhanga
[/TD]
[TD="width: 215"] Vice Chancellor[/TD]
[TD="width: 215"] 1991 - 2006[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 215"] Prof. Rwekaza S. Mukandala[/TD]
[TD="width: 215"] Vice Chancellor[/TD]
[TD="width: 215"] 2006 – to date[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Atakayeshindwa kusoma hapo juu na kuelewa basi atakuwa zumbukuku!
 
mkuu mm apo kwenye red hzo gari zinafana na zile ndege zinazoendeshwa bila rubani? mana unasema bila m2 yyto ndani

GT naamini unaelewa mtoa hoja ana maanisha nini. Kwa akili yako kweli Tanzania ina magari ambayo ni auto pilot? Dereva ndio apeleke gari ila asiwepo mtu mwingine zaidi ya dereva. Mwisho big up kwa post zako
 
Ndugu Ole Saidimu, acho kujipotosha, ninauhakika na ninachokisema ndiyo maana nimeweka namba za hao mabwana hapo na kukuelewesha kuwa ninafanya utafiti kabla ya kunena na kwa kuwa nimeshuhudia ndege aliyoitumia na kufanya utafiti alipoenda hapa Iringa - Mkwawa. Ni bora ukatae kwa ushahidi siyo kuwa lucky man au boss. Cha msingi tutoe taarifa zenye tija na za kujenga na siyo za kinafiki wajameni.
 
Mimi siyo mtu wa kukanusha au kukubaliana na jambo bila utafiti maana tunapaswa kujenga hii nnchi kwa pamoja na siyo kupotosha au kukwepesha ukweli. Kesho naingia Dar from Iringa nitafuatilia kwa ukaribu swala hili na mwisho nitaweka ukweli humu ndani bila kuficha kitu. Mbinu nitakayoitumia siiweki wazi ili kuondoa uchakachuaji na wenyewe kunikwepa.
 
Vut-Nkuvute hili la kwenda Bukoba na hao wasaidizi wake nitalifanyia kazi. Kama kweli Prof. Ishumi amefiwa na Mke wake apole sana nmfahamu yule mama alikuwa secretary kule Engineering na alinisaidia kuchapa thesis nilipokuwa nafanya Mastes pale na kwa jitihada nakumbuka alijiendeleza akawa administrative officer. Ila la kwamba amerudi Dar leo kwa ndege ya kukodi unawadanganya watu maana nimeshaweka wazi kuwa ni alirudi jana 21/03/2012 kwa Auric Air, pili kama gari zake zilitangulia jana aliendaje airport? maana kikawaida kama gari imeenda kumhudumia mkubwa lazima ihakikishe amekwea ndege ndipo dreva aanze safari ya kurudi huku mipango ikifanyika kumpokea anakoelekea, Kwa uongo uliouweka hapa unaitwa uongo wa kishetani na siyo mtakatifu.
 

Sasa nimeamini kwamba wewe ni Personal Secretary wa Prof. Mukandala. Hongera sana kwa kuwa sehemu ya kudidimiza UDSM katika malengo yake kama Chuo kikubwa sana Tanzania. Vipi, mbona maswali yangu ya jana bado haujayajibu?
 
na ishu ya MUkandandala kutoa upendeleo wa vyeo kwa wakufunzi wa kabila lake pale chuo unalizungumziaje???
 
Kujilisha pepo kuna mwisho. Ajikumbushe marehemu Sumari alivyokuwa akiangiza shangingi lake liendeshwe hadi Arusha kumlaki wakati ametangulia na ndege. Huo ni ulimbukeni na dalili za kutoelimika kwa mtu mwenye cheo kama cha Mukandala. Hata hivyo atahofia nini iwapo alifika hapo kwa mgongo wa urafiki na ukada? Hapa wa kulaumu ni yule aliyembeba.
 
Maburangati
Auric Air, vindege vyao vinachukua 10-12 people. Kama hawana ratiba ya kwenda Iringa wanaweza kwenda kwa kukodishwa.
 
 

Bado hajakuwa kwani amekwishaenda 'jando'!!
 
Sina haja ya kusema uongo ndugu.UDSM ina magari zaidi ya hamsini.Inashindikanaje kwa Prof.Mukandala kupelekwa na gari nyingine hadi apelekwe na gari yake binafsi.Huna hoja.Kwa taarifa yako,Prof.Mukandala atasafiri Jumatatu na gari zake zitatzngulia kesho.Ushabiki wako usio na utafiti utakuponza.Kuwa makini kijana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…