Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

Eti tunachezea shilingi chooni upuuzi, hivi Muhongo amekuwa waziri malaika kuwa bila yeye Tanzania haitakuwepo, Tanzania ilikuwepo bila Muhongo na itaendelea kuwepo bila Muhongo, kama Muhongo ni shilingi yako acha itumbukie chooni tuone kama tutakufa.
Mkuu umeiweka vyema, Kuna wapuuzi wanatia kichefu chefu sana nchi hii... Kama mnampenda sana tengenezeni wizara yenu mumpe ila sio hii.

very stupid
 
Mkuu umeiweka vyema, Kuna wapuuzi wanatia kichefu chefu sana nchi hii... Kama mnampenda sana tengenezeni wizara yenu mumpe ila sio hii.

very stupid

Tupo wengi wa aina hii,tunafikiri tusipokuwepo ofisini basi ofisi itakufa kama siyo kufungwa.Hata likizo tunaogopa kuchukua kwa kudhani adhanivyo Prof Muongo.
 
Tatizo la prof sio kuchukua hata senti tano-mkuu elewa ripoti ya PAC vizuri. Tatizo la Prof ni kuwa katika Wizara nyeti na kukanusha kwa nguvu zake zoote kuwa hamna hela za uma pale. kitambiheshima
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa Kikwete bado kuendelea kuichezea badala ya kuidumbukiza haraka kabla haijaleta madhara zaidi kwa wananchi wenye uchungu na nchi yao,Mmechelewa sana tena na hili shinikizo toka kwa mume wenu USA ndo hachomoki kabsaaaaa, kampeni shamba akalime,
 
ww ndugu yangu muhongo amekupa sh. ngap? mana unamtetea sana kwa lipi alilofanya kama yeye ni wazir wa nishat na madin basi kama sio yeye aliyehusika kusadia wahun hawa wakapata ruhusa ya mikataba na kampun ya tanesco ni nani? na sasa wametuletea matatizo haya anakuwaje msafi uwe na aibu kumtetea mhongo, kama ni kaka yako pole sana mtu muungwana anaondoka mwenyewe ofisin ili tumjue kuwa ni msafi baadaye tutamchagua kuwa rais kama mwinyi
 
ww ni wa laptop na milion tatu sio bure tuambie huyu muongo mhongo alichofanya ufisad wa gesi? sasa kwa taarifa yako tunamsubir kwa gesi ndipo atakapojua kwamba tunamfahamu sana siku ikifika tutaweka waz mambo yote
 
"Sijawahi kumuona profesa muongo kama Muhongo". Yeye si ni mtaalamu wa miamba mwenye majukumu ya "kimataifa", arudi basi kwenye majukumu yake ya kimataifa.
 
Hana lolote tangu alipoingia pale Nishati na Madini nilishuhudia dharau na majigambo ya kitoto.

Huna lolote zaidi ya ukabila na uchaga wako, ni mchapa kazi na si mwizi kama mnavyomtangaza kwenye vyombo vyenu vya habari. Mbona tunajua sana Mengi na Mkono wametoa mabilioni kuwahonga wabunge ili wawaondoe eti kwa kuwaanawazibuia mirija yao, sasa subiri tutahamasisha nchi nzima kutangaza madhambi ya Mengi , Mkono na wafanyabiashara wa mafuta ambao wamechanga ili kumng'oa Muhongo hatutakaa kimya wakati tukijua ni kipi kikiendelea.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

Peleka uharo wa kwenu mbali! Hili jizi na kuwadi ndio unalisifia wa vijiseti vya kuhongwa?Kama unmpenda sana huyu 'muongo' kampe mkeo akae nae!
 
Jamani na mimi nipeni mchongo wa kumtetea profesa Muonkwenye mitandao nami nijikwamue kiuchumi.
 
Wewe umetumwa na muongo muhongo si bure,

unatetea jambazi?
 
Mwambie hatumfukuzi uraia, tunamfukuza uwaziri tu kwa kuwa kafanya ufisadi. Hata hivyo bado anatakiwa pia apelekwe mahakamani.
 
Yes Prof. Muhongo deserve the post and he has done nothing to be dismissed.
 
record yake ya madeni sio nzuri, PR yake ni mbovu, shilling gani? kama ni mzalendo kweli kwann wizi umepetokea ukimshirikisha katibu wa wizara yake??? usiwe mjinga, tumia akili yako kufikiri
 
huna lolote zaidi ya ukabila na uchaga wako, ni mchapa kazi na si mwizi kama mnavyomtangaza kwenye vyombo vyenu vya habari. Mbona tunajua sana mengi na mkono wametoa mabilioni kuwahonga wabunge ili wawaondoe eti kwa kuwaanawazibuia mirija yao, sasa subiri tutahamasisha nchi nzima kutangaza madhambi ya mengi , mkono na wafanyabiashara wa mafuta ambao wamechanga ili kumng'oa muhongo hatutakaa kimya wakati tukijua ni kipi kikiendelea.

mengi ?
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

Hajafanya kosa lolote. Ila kuna kitu kinaitwa ministerial responsibility ambapo waziri anafaa kuwajibika au kuwajibishwa kwa maovu yaliyotendeka au kuhusisha wizara yake. Angekua mzalendo sana kwa kuwajibika kwa hiari sasa maadamu anahisi nchi nzima yeye ndiye anayefaa kuwa waziri wa nishati basi asubiri kufukuzwa kazi ili wananchi waendelee kuwa na imani na serikali. Amini usiamini Kikwete hana njia mbadala zaidi ya kufanya yaliyopendekezwa. Ni suala la muda tu.
 
Eti tunachezea shilingi chooni upuuzi, hivi Muhongo amekuwa waziri malaika kuwa bila yeye Tanzania haitakuwepo, Tanzania ilikuwepo bila Muhongo na itaendelea kuwepo bila Muhongo, kama Muhongo ni shilingi yako acha itumbukie chooni tuone kama tutakufa.

Kama hayo ndio maoni yako basi na mimi namsihi raisi aachane na wafitini, amuache Muhongo amalizie ngwe yake tuone kama tutakufa.
 
Mkuu Kitambiheshima una wasiwasi kitambi chako kitasinyaa mrija ukikatwa omba mtaji kabisa kabla hujaondoka naye upate kazi ya kufanya.Pole sana
 
Back
Top Bottom