Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

Msumeno unakata nyuma na mbele,istoshe nchi ina watu wengi zaidi ya 40Ml.Kwani kabla yake si alikuwepo mwingine? Uzuri wa nafasi ile kila kitu umeandaliwa na kiko kwenye makabrasha unaambiwa onesha umahiri wako katika utawala na usimamizi wa rasilimali zilizoko!
 
Shilingi kwenye shimo la choo au ndio iliyomo chooni?!
 
Watu wengi hawaujui huu ukweli kuwa ugomvi kati ya Mengi na Muhongo ndiyo umezalisha yote hayo. Bongo ni upuuzi mtupu! Siasa chafu tu ndo zimetawala. Majitu ni rahisi kununuliwa kwa vifedha na wafanyabiashara uchwara!
 
Sisi tulionufaika na juhudi zake za kutuletea umeme huku vijijini tumejiandaa, akiwajibishwa kwa sababu ya ungese ungese TUTAANDAMANA

Vipi mbona unaruka ruka umekalia nini?
 
sawa ila umeiona ripoti ya MCC?

Mkuu wa kaya amekwisha ambiwa nn cha kufanya , mwehu wewe

Mkuu umemaliza kila kitu. Ila tatizo la watu kama hawa wanaosukumwa na ushabiki huwa hawana hata muda wa kufuatilia ripoti kama hizi, kwao hata alichozungumza balozi wa Marekani majuzi bado wanadhani ni utani.
 
Muhongo jembe , hang'oki ng'o

Majembe au sururu mahala pake mashambani au huko kwenye migodi, siyo kwenye mambo mihimu ya mikataba ya umeme. Issue siyo hang'oki bali atang'olewa, yaani ni sawa na mtu anayeota moto ambaye joto la moto likizidi huondoka au kusogea mwenyewe!!
 
Profesa hawezi kung'olewa kwa fitna za daktari feki mr misifa. No way!
 
Kwani huyo muhongo hatakufa jaman? Mbna mnamfanya kama mungu mtu?
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

tumpe NAFASI NYINGINE AKATUIBIE? mtoa mada you must be crazy!
 
Sisi tulionufaika na juhudi zake za kutuletea umeme huku vijijini tumejiandaa, akiwajibishwa kwa sababu ya ungese ungese TUTAANDAMANA

andamana upigwe virungu na poliCCM mpaka ulemai hayo mamilingoti yako. unataka kumuandamania mamayo? notorious twit!
 
Shilingi za escrow zinawatosha wakapumzike na Babu yao kabakiza miezi 10 tu waondoke naye tumemchoka.
 
Back
Top Bottom