Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

Kamwambie bwana aliyekutuma umtetee humu kwamba kazi ni ngumu sana,nwambie hawezi kudanganya watu wote muda wote.
 
mkuu wasikusumbue hao ya wezekana wanaomtetea ni wake zake mhongo wakijua kitumbua kinaota majani na ulaji wao ndio mwisho na ndio maana wanahaha. Mara waseme wataandamana utetezi wao ni wa kipuuzi. Kwani akitolewa uwaziri ndio utakuwa mwisho wa maisha yake , hawezi kujenga nchi kwa kufanya shughuli zingine kama mwananchi wa kawaida. Mkuu wahurumie tu hao wake wa muhongo.


umemaliza
 
Sisi tulionufaika na juhudi zake za kutuletea umeme huku vijijini tumejiandaa, akiwajibishwa kwa sababu ya ungese ungese TUTAANDAMANA

Umeme tumechangia sisi sote watumiaji umeme wa TANESCO. Mpaka leo tunaendelea kukatwa asilimia tatu.

Kwa hivyo Muhongo kama Waziri yeye ni kusimamia utekelezaji tu ila fedha zipo na hajafanya bidii ya kuzitafuta bali amezikuta.
 
Team muhongo siku zote wanatoa hoja dhaifu mno kwasababu amebanwa kwa facts na evidence.
 
Sisi tulionufaika na juhudi zake za kutuletea umeme huku vijijini tumejiandaa, akiwajibishwa kwa sababu ya ungese ungese TUTAANDAMANA

Andamaneni aje kuwa mbunge wenu huko kijijini kwenu awaletee maendeleo zaidi.
Hii biashara ya utombo mnayofanya itawaachia harufu ya nya hadi siku mnaingia kaburini.
 
Mkubwa unajua maana ya tunu! Binadamu hawezi kuwa tunu!! Kasome katiba pendekezwa kama utamwona Muhongo ameorodheshwa kwenye tunu za taifa.

Hahahahaa nimecheka sana...anakurupuka tu huyo kichwani mweupe.
 
Jopo lake la ki na maswiii na AG linaloita watu Tumbili na yeye mwenyewe midomo yao inawaponza,kama ni kupewa nafasi nyingine atapewa ya kurudi kufundisha chuo kikuu,
ni msomi kama ni mwadilifu basi atusaidie kuwafundisha vijana wetu
uadilifu waje mtaani walitumikie taifa kwa uadilifu watakaojifunza kwake.
Majibizano ya waziri huyu na wananchi anaowatumikia yamekuwa yakikosa busara za kiuongozi,
Na kimsingi wananchi ndo waajiri wa watumishi hawa wa umma.
Nitoe mfano: Siku moja nilimwona kwenye TV ametembelea mradi unaoitwa ''Back Bone"
Wafanyakazi wakamlalamikia kwamba mwajiri wao anawatukana matusi
alijibu kwamba hilo siyo swali kwani hata majumbani kwetu,hata watoto wana malalamiko juu ya baba zao.
Nikajiuliza hivi kweli huyu ni waziri au ni kibaka,hivi ni kweli hajui taratibu za ajira,pale tunaposema kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake maana yake ni nini? Hatukatai mfanyakazi anaweza kukosea,je utaratibu ni kumtusi?
Leo hii mwekezaji anawezafanya lolote kwa mzalendo na waziri kama huyu
anatoa maneno ya kashfa eti kisa ni msomi?
Mimi naungana na wanaosema aende zake akajiajiri hela ya mtaji kaishapata,apishe wengine nao wajaribu.
 
Mkubwa unajua maana ya tunu! Binadamu hawezi kuwa tunu!! Kasome katiba pendekezwa kama utamwona Muhongo ameorodheshwa kwenye tunu za taifa.

ha ha ha ha ha jf bwana, kisima cha burudani. i like it
 
Jamani hivi kwa nini viongozi wa serekali ya CCM wanao onekana kuwa lulu na Chama hicho Ni wale walio tuhumiwa na makosa ya wizi? inamaana kuwa ndani ya serekali ya CCM huwezi kuwa kiongozi bora mpaka utuhumiwe kuwaibia wananchi kwanza?.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya C
AG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo
kiingiacho chooni ni mavi kama muhongo ni nnya na aflashiwe tu kiroho safi tu
 
kwani muongo kwao mara? naye ni mungurimi kama werema?
 
hv kabla ya muhongo tulikua hatuna wazir mbona watu wengine mnapenda tuchoshane kuna watu hadi leo hii bado wanamkumbuka sokoine lakini alipita sembuse muhongo acheni mambo ya ajabu
 
Du pana watu wanachekesha sana,eti tutamtetea muhongo kwa jasho la damu,umeshindwa kutetea watanzania wenzako na ndugu zako wanaokufa kwa kukosa dawa mahospitali leo umtetee pro.muhongo anakujua wewe,kama angekua ajaiba angejibu hoja na sio kukimbia hoja na kujisifia eti mimi bingwa wa miamba,karatasi za ushaidi ni za kufungia maandazi anacheza na maisha ya watanzania alafu una mtetea,aende zake huko akaongoze wapenda majivuno na wenye dharau wenzake sio hii tanzania ya wote.
 
eti tunachezea shilingi chooni upuuzi, hivi muhongo amekuwa waziri malaika kuwa bila yeye tanzania haitakuwepo, tanzania ilikuwepo bila muhongo na itaendelea kuwepo bila muhongo, kama muhongo ni shilingi yako acha itumbukie chooni tuone kama tutakufa.
kwani tz bila mengi.na mkono.haiwi tanzania? Mmezidi .wachaga !.ni shiiiidaaa.yote wanataka kuiba.tuuu.
 
Back
Top Bottom