Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

siku nimemwona huyo muhongo wenu hafai nisiku ameshindwa kujibu hoja za sendeka akakimbilia kutafuta vyeti vya form six vya sendeka kama majibu ya hoja, ivi muhongo amesahau kuwa alifeli darasa la saba?
Unamwa, Katafute nchi ambayo cheti cha lasaba kina umuhimu kuliko cha prof. Tuache kuchoshana humu na akili matope zenu.tuwekee ushahidi kuwa alifeli lasaba, alisoma lini nazamani kulikuwa nadarasala saba.?
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

Who is muhongo yeye alizaliwa kuja kua wazir toa pumba zako hapa!
 
shida ya Prof. muonho ni
1. dharau kwa watanzania. eti hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye mafuta na gesi. lkn ukiangalia maandiko yake lzm kuna mengi ameongea kuwawezesha watanzania ili wakue kiuchumi. amepewa uwazir ndo kila kitu anagawa kwa wazungu wanaokuja na mtaji wa 50,000/- tu lkn wanatoka bilionea.

2. Hana hata chembe ya uzalendo, ni mbinafsi.

3. anaweza kuwa hajala ya escrow kama inavyoonekana kwa AG lkn kosa lao hadi leo, wakati report zinasema kuna pesa ya serikali na kuna pesa ya tanesco, wao wamekomalia hakuna pesa ya serikali(kodi) wala ya tannesco. hili ndo kosa lao kubwa. hata ukiwasimamisha leo watasema hivyo.

sasa wasamehewe kwa lipi? prof anashindwa kuwa realistic? shame upon him
 
Huyo muhongo ni fisadi kama mafisadi wengine, kama mkweli mbona aleti mikataba ya madini na gesi tuione hana jipya kama miradi ya umeme vijijini REA Na MCA ilikuwepo na kaikuta
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

makosa yake ni:-

1. dharau. naamini kabla ya kuwa waziri, ameandika mengi kuhusu umhimu wa kuwashirikisha wazawa katika uchumi. lkn alipopewa wazifa, haoni umhimu huo bali ameonesha dharau za wazi kwa watanzania kuwa hatuwezi.

2. Hana chembe ya uzalendo maana utajiri wote ktk mafuta na gesi amewapa wageni.

3. Misimamo yake kuwa kwenye pesa za escrow, hakuna pesa ya umma(kodi) wala ya tannesco.

kwa makosa haya hatufai. wacha afuluzwe ili atakaye ingia ajue ugum wa wizara
 
Unamwa, Katafute nchi ambayo cheti cha lasaba kina umuhimu kuliko cha prof. Tuache kuchoshana humu na akili matope zenu.tuwekee ushahidi kuwa alifeli lasaba, alisoma lini nazamani kulikuwa nadarasala saba.?

NENDA MUSOMA KAWAULIZE JINA HALISI LA HUYO WAZIRI NI NANI, MI NAKUPA HILI ALAFU NA WEWE UNAEBISHA KAULIZE, JINA LAKE HALISI jina lake ni MJARUBI FARU kwao ni mtaa wa kawawa karibu na kivuko kinachoenda KINESI na dada yake ni ASKARI POLISI (TRAFIKI) anaitwa DINA FARU dada mmoja mwembamba KAMA UNAFAHAMIANA NA WALIOKO MUSOMA WAULIZE usiwe unabisha kitu usichikijua
 
Unamwa, Katafute nchi ambayo cheti cha lasaba kina umuhimu kuliko cha prof. Tuache kuchoshana humu na akili matope zenu.tuwekee ushahidi kuwa alifeli lasaba, alisoma lini nazamani kulikuwa nadarasala saba.?

kama cheti cha rasaba hakina umuhimu kwa nini alienda kurudia shule? si angeendelea tu bila hata kubadili jina lake
 
Naomba unijibu
Ni sababu gani zinazopelekea prof aondoke
Je unajua maana ya uwajibikaji ? accountability
 
sisi tulionufaika na juhudi zake za kutuletea umeme huku vijijini tumejiandaa, akiwajibishwa kwa sababu ya ungese ungese tutaandamana

huku mjini tunakatwa rea kwa ajili ya kuwapatia nyie wa vijijini. Huo umeme vijijini ni michango ya sisi wa mjini hivyo acha kuwaza ungese
 
..... Ni Kweli Kabisaa, Muhongo Ni Sawa Na Shilingi Kumi Au Moja Ambayo Hata Ikitumbua Chooni Haina Hasara
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

Mpatie kwenye ngazi ya familia ngazi ya taifa atakula urefu wa kamba yake!!
 
Kilichomponza Muhongo ni uongo na kauli zake za dharau!!! Akafie mbali
 
siku nimemwona huyo muhongo wenu hafai nisiku ameshindwa kujibu hoja za sendeka akakimbilia kutafuta vyeti vya form six vya sendeka kama majibu ya hoja, ivi muhongo amesahau kuwa alifeli darasa la saba?

Mkuu wasikusumbue hao ya wezekana wanaomtetea ni wake zake Mhongo wakijua kitumbua kinaota majani na ulaji wao ndio mwisho na ndio maana wanahaha. mara waseme wataandamana utetezi wao ni wa kipuuzi. Kwani akitolewa uwaziri ndio utakuwa mwisho wa maisha yake , hawezi kujenga nchi kwa kufanya shughuli zingine kama mwananchi wa kawaida. Mkuu wahurumie tu hao wake wa Muhongo.
 
Back
Top Bottom