Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

bado miezi kumi hili genge la ccm lifikie kikomo cha kuongoza nchi
hata wakijiuzulu wote hakuna asara
 
Eti tunachezea shilingi chooni upuuzi, hivi Muhongo amekuwa waziri malaika kuwa bila yeye Tanzania haitakuwepo, Tanzania ilikuwepo bila Muhongo na itaendelea kuwepo bila Muhongo, kama Muhongo ni shilingi yako acha itumbukie chooni tuone kama tutakufa.
peleka kaujinga huko kama hujaona alichofanya.kwani TANZANIYA BILA MENGI NA MKONO.HAKUNA TZ??.NENDA ZAKO KAKAE MOSHI.
 
Kwanza alitudanganya kuwa tutapata umeme was uhakika na bei nafuu JE,uno wapi?
 
Binafsi nitakuwa wa mwisho kumkumbuka hyo fisadi Economic Hit Man... Fedha za ESCROW zinakupagawisha si bure...
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo
 
Ilirushwa post hapa ya tahadhari juu ya vijana waliopewa laptop na milioni tatu kila mmoja vijana wakutoka maeneo ya jirani na ukerewe walioko UDSM ili kumsafisha huyu fisadi. je wewe ni miongoni mwao?
 
Hana lolote tangu alipoingia pale Nishati na Madini nilishuhudia dharau na majigambo ya kitoto.
Kweli kabisa. Watu wanachanganya mambo. Usomi na uadilifu. Anaweza Muhongo akawa amesoma hayo mawe yake sana lakini akakosa uadilifu, kasoro ambayo sasa inataka kugharimu Uwaziri wake. Domo kama la Muhongo, na maneno yanayotoka humo, si sifa ya uongozi hata kwa kiwango cha katibu kata. Mwacheni aendelee na utafiti wa mawe yake lakini si kuongoza binadamu, domo lake ni chafu mno.
 
Lazima awajibishwe na wewe uwe na uelewa wa maana ya uwajibikaji wa kiongozi wa kisiasa. Yaliyotokea escrow yalipaswa kudhibitiwa kabla hayajatokea kama kweli mhongo ana sifa unazozisema. Kwa kuwa yameshatokea ni ushahidi wa udhaifu mkubwa alionao huyo mhongo na kwa sasa hasafishiki tena hata kwa jiki.

Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo
 
Inasikitisha.huwa najuta kuwa mwafrica au kuhusidhea na weusi. Weusi hawana akili na hawajui kujitawala,hawajui utawala bora. Wanachojua ni ubinafsi pekee. Kijana kama huyu anatumwa na anakuja hapa kusimamia kitu hakijui.
Ni hatari.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

Ndugu yangu Nakuunga mkono katika hili, kinachonisikitisha sana ni kuona jinsi gani baadhi ya watanzania wanavyoshabikia fitina na chuki binafsi za baadhi ya watu dhidi ya prof Muhongo badala ya kutafakali na kuchimba chanzo cha tatizo. Cha kushangaza zaidi hawa watu wanaochangia humu JF ambao wengi wao ni wasomi wa kuweza kupambanua mambo lakini ndo kwanza wanachangia kifinyu muno bila kufanya jitihada za kufikiri zaidi nje ya box. Hakuna asiyejua uadui wa Prof Muhongo na Mengi pamoja na Mukono kufuatia kauli za ukweli za Prof kuhusu hao watu wawili. Leo hii ukiwauuliza wachangiaji wengi wa hum JF kuhusu kosa la Muhongo watakwambia ni kauli za dharau, Je kuambia watu ukweli ndo dharau? Usimchukie anayekuambia ukweli chukua hatua kumuhakikishia kwamba hakuwa sahiihi. Kama Mengi aliabiwa hawezi biashara ya gesi,kiustaarabu angetakiwa kuhakikishia umma kuwa anaweza kwa kufuata taratibu zilizopo ili apate kitalu cha gesi na siyo kutafuta sympathy na upendeleo kutoka serikalni. Pamoja na report ya CAG na PAC kutomuhusisha Pof Muhongo moja kwa moja bado watu wanang'ang'ania atoke wakiogozwa na magazeti ya Mengi. Amkeni watanzania acheni uvivu wa kufikiri
 
That fuccking lier should be eliminated.
Ever since he joined that organised crime group led by Andrew Chenge(2nd economic hitman gang leader) tanzanians witnessed strings of lies and abusive languages like never before.He can take his intellectual arrogancy somewhere else.
 
Uwajibikaji ni sifa ya kiongozi bora, c mpaka asubr kufukuzwa CV kubwa kumbe walewale tuu
 
Ndugu yangu Nakuunga mkono katika hili, kinachonisikitisha sana ni kuona jinsi gani baadhi ya watanzania wanavyoshabikia fitina na chuki binafsi za baadhi ya watu dhidi ya prof Muhongo badala ya kutafakali na kuchimba chanzo cha tatizo. Cha kushangaza zaidi hawa watu wanaochangia humu JF ambao wengi wao ni wasomi wa kuweza kupambanua mambo lakini ndo kwanza wanachangia kifinyu muno bila kufanya jitihada za kufikiri zaidi nje ya box. Hakuna asiyejua uadui wa Prof Muhongo na Mengi pamoja na Mukono kufuatia kauli za ukweli za Prof kuhusu hao watu wawili. Leo hii ukiwauuliza wachangiaji wengi wa hum JF kuhusu kosa la Muhongo watakwambia ni kauli za dharau, Je kuambia watu ukweli ndo dharau? Usimchukie anayekuambia ukweli chukua hatua kumuhakikishia kwamba hakuwa sahiihi. Kama Mengi aliabiwa hawezi biashara ya gesi,kiustaarabu angetakiwa kuhakikishia umma kuwa anaweza kwa kufuata taratibu zilizopo ili apate kitalu cha gesi na siyo kutafuta sympathy na upendeleo kutoka serikalni. Pamoja na report ya CAG na PAC kutomuhusisha Pof Muhongo moja kwa moja bado watu wanang'ang'ania atoke wakiogozwa na magazeti ya Mengi. Amkeni watanzania acheni uvivu wa kufikiri

Duniani kote;serikali zote makini utoa upendeleo maalum kwa wazawa even in america;get it in your greasy head pal.
 
Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina lake ili usimwonee huruma. Prof.Muhongo kiukweli anazushiwa tu, hakuna mahali ripoti ya CAG imeonesha Muhongo kuchukua hata senti tano ya escrow lkn jamaa walivyomkomalia!!.

Kama kilivyosema hapo juu, ninarudia kwamba tunaweza kumfanya lolote Prof. Muhongo lakini tujue kuwa yeye ni kama shilingi inayochewa kwenye tundu la choo!

Siku si nyingi mara baada ya kupoteza uwaziri, tutaanza kusema bora Muhongo, bora Muhongo. Itakuwa too late! Muhongo. Mimi nasema, tumpe nafasi nyingine Muhongo

Ndio wale walio gawawiwa laptop kwa kazi maalumu?
 
hafai aende tu coz tulikua na baba wa taifa na aliondoka madarakani na duniani na still tanzania inasonga itakua muhongo mwizi.
 
Hivi mbona nguvu nyingi sana inatumika kumtetea huyu mtu?! Ni uwaziri huu huu au kuna kingine? Kwanini mnataka kutuaminisha kwamba uwaziri wa nishati ni Muhongo na Muhongo ndio uwaziri wa nishati!?
Uwaziri ni dhamana. Ukweli ni kwamba Muhongo, iwe ana hatia au la, amechafuka (amejichafua) vya kutosha. Imani kwake imepungua sana. Sioni kama ni tija kutumia nguvu nyingi kurejesha imani kwake. Wapo watu wengi tu wenye uwezo wa kutumika vyema kwenye dhamana ya uwaziri wa nishati. Nae anaweza kutufaa sana tu kwenye maeneo mengine, hususan kwenye taaluma yake ya jiolojia, si lazima iwe uwaziri wa nishati.
 
Nahisi pengine suala la kuwajibika kwako kwako bado ni tatizo nasema hivi kwa sababu vigeo vya kuwajibika siyo lazima uwe umeiba au umetapeli, kuwajibika kuna mambo mengi sana ikiwemo kushindwa kusimamia watu wako wa chini. kwa mfano ikitokea ya kuwa watendaji wako wameiba pesa katika mazingira ambayo wewe huna taarifa unatakiwa uwajibike kutokana na uzembe wako wa kushindwa kufuatilia suala hilo, pia ikitokea ya kuwa watendaji wako pengine kwa kujua au kutokujua wakaingia mikataba mibovu ambayo kwa namna moja au nyingine ikaleta tatizo kwa maslahi ya taifa kwa maana ya kuliingizia taifa hasara hapo pia unatakiwa kuwajibika. kwa hiyo kuwajibika siyo lazima uwe umepiga pesa
 
Unamwa, Katafute nchi ambayo cheti cha lasaba kina umuhimu kuliko cha prof. Tuache kuchoshana humu na akili matope zenu.tuwekee ushahidi kuwa alifeli lasaba, alisoma lini nazamani kulikuwa nadarasala saba.?

Wacha kuhemuka Pro Mijarubi Faru, aka Sospierre Muongo, kwishnei! Umeisoma taarifa ya MCC kuhusu Tegeta Escrow?!
 
Sisi tulionufaika na juhudi zake za kutuletea umeme huku vijijini tumejiandaa, akiwajibishwa kwa sababu ya ungese ungese TUTAANDAMANA
Anza kuandamana tokea sasa maana waliotoa hizo hela za miradi ya umeme vijijini, MCC ya Marekani wanaondoa hela yao kwa sababu ya ufisadi wa kina Muhongo na IPTL.
 
Huko huko anakowachoma vijiti tigoni ndiko ataendelea kufanya kazi ili mshike adabu, hii siyo nchi ya wachagga

Hivi Muhongo ni Mchaga! Mimi namjua Muhongo ni mtu wa Musoma mjini.
 
Back
Top Bottom