Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,299
- 3,055
Yakiwa ardhini ni yenu 100%, ukichimba mwenyewe ni yako 100%; lakini yakichimbwa na mtu mwingine sio yenu tena kwa asilimia za awali. Hapo ndio penye tatizo.Nakuelewa- maswali ya kujiuliza je ni wakati gani madini yanakuwa mali na yanakuwa ni mali ya nani?
Kuanzia kwenye weledi, competence, capital, marketing, na hasa kwenye integrity tuna shida sana. Ndio maana tunaambulia mirahaba kiduchu na uharibifu mkubwa wa mazingira na matatizo ya afya.
Tukitaka tunaweza badili game, ila sio kwa manguvu na utaifishaji.