Prof. Muhongo asema kuwa hii habari ya 16% Share kwenye Madini huenda tumeliwa!

Ndio umuhimu wa katiba Mpya unapoonekana.

Katiba ya sasa haituruhusu wananchi au taasisi zetu kuwawajibisha watawla. Inawabana mawaziri na wakurugenzi wawajibike kwa Rais na kiasi fulani kwa Dola. Utii wa aina hii kote duniani haujaleta tija. Tubadilike.

Ifike mahali tutoke kuwa "reactionary" hadi tuwe "proactive" players wa global economic games. Tucheze ili kushinda. Dunia haina mjomba wala shangazi yetu. We need to be smart, shrewd and proactive.
 
"...kwa sababu tu madini viko kwetu"?

Hii ni mali yetu.
Hii siyo mali ya mwekezaji toka huko nje.

Haya madini "Mwekezaji" hatumuuzii kwa bei ya ughunduzi wake wala bei(gharama) za uchimbaji wakena uendeshaji wa kampuni yake.

Hapa ndipo tunapoanzia makosa, kuona kana kwamba hiyo siyo mali yetu.
Kasome natural law na natural right of property utaelewa. Hivyo nilivyokwambia ni scientifically proven na sayansi siyo mama mzazi wala miliki ya mtu. Ukitaka twende mbele achaana na UANAHARAKATI
 
Ndio umuhimu wa katiba Mpya unapoonekana.

Katiba ya sasa haituruhusu wananchi au taasisi zetu kuwawajibisha watawla. Inawabana mawaziri na wakurugenzi wawajibike kwa Rais na kiasi fulani kwa Dola. Utii wa aina hii kote duniani haujaleta tija. Tubadilike.

Ifike mahali tutoke kuwa "reactionary" hadi tuwe "proactive" players wa global economic games. Tucheze ili kushinda. Dunia haina mjomba wala shangazi yetu. We need to be smart, shrewd and proactive.
Mkuu vaa T-Shirt ya katiba mpya au jichole mwili mzima ILA hapa siyo mahala pake- tunajadili uchumi na tafadhali usilete ujuaji wenu ule kuwa katiba mpya ndiyo kila kitu.
 
Heshimu maoni ya wengine. Uchumi upi wa nchi yetu bila katiba mpya?
Inaonyesha hujui unachokiongea.
 
Kasome natural law na natural right of property utaelewa. Hivyo nilivyokwambia ni scientifically proven na sayansi siyo mama mzazi wala miliki ya mtu. Ukitaka twende mbele achaana na UANAHARAKATI
Sikuwahi kutambua kuwa upo hivi hata siku moja nilipoanza kukuona humu jukwaani!

Hiyo ni "science" ya wapi, au unajisikia vizuri tu kusema hilo neno?

Ukweli ni kwamba uliyoandika hapo hayana mantiki hata kidogo.

"Uanaharakati" kwako ni kitu gani? To throw away what you were endowed on the cheap, ndio kwenda mbele?
Uko sawa kichwani kweli?
 
Ni sawa-kwa hiyo unataka kutuambia waKoendelea kote wameandika katiba mpya?
Hawana katiba mbovu na obsolete kama hii ya kwetu.
Na waliokuwa na katiba mbovu, walikubali kusahihisha makosa yao na wakaandika nyingine.

Kwa nini mnakuwa wazito, waoga kwenye hili?
Mwl Nyerere alikiri akiwa Rais na baada ya kung'atuka kuwa Katiba yetu ya 1977 ni mbovu na hatari kwa Taifa.
Tume ya Rais ya 1991 chini ya Jaji Nyalali ikasema muda umefika Tanzania inahitaji katiba mpya. Leo miaka zaidi ya 32 bado mnahoji umuhimu wa katiba Mpya , kweli?
Halafu eti ninyi ndio mnajiona wazalendo mchana, halafu usiku mnalalamikia rushwa, ufisadi, mikataba ya hovyo, wizi wa rasilimali za nchi, ukosefu wa ajira nk nk - get real!

Ukipata katiba nzuri (mpya kwetu) utawawajibisha viongozi. Kutakuwa institutions zenye kusababisha ufanisi, nidhamu, ulinzi wa rasilimali zetu (hatuhitaji mtu mkali au dikteta bali taasisi na mfumo makini wa sheria); na atakayekiuka awajibishwe bila kupepesa macho; muone kama hatotoka hapa tulipokwama na kukwamishwa na wazalendo uchwara, tangu uhuru.
 
Anzeni na Mbowe kwa:-
1. kutawala bila ukomo
2. kuendesha chama bila ofisi
3. kuendesha chama bila kuruhusu vikao vya baraza la wadhamini wa chama ambao ndiyo over sighting authority
 
Sikuwahi kutambua kuwa upo hivi hata siku moja nilipoanza kukuona humu jukwaani!

Hiyo ni "science" ya wapi, au unajisikia vizuri tu kusema hilo neno?

Ukweli ni kwamba uliyoandika hapo hayana mantiki hata kidogo.

"Uanaharakati" kwako ni kitu gani? To throw away what you were endowed on the cheap, ndio kwenda mbele?
Uko sawa kichwani kweli?
ENDOWED NA NANI NA NI NANI? NARUDIA MKUU WEWE NI MWANAHARAKATI PER SE NA KWANGU KWA MAONI YANGU WNAHARAKATI NI RECIPE YA UNDERDEVELOPMENT
 
Anzeni na Mbowe kwa:-
1. kutawala bila ukomo
2. kuendesha chama bila ofisi
3. kuendesha chama bila kuruhusu vikao vya baraza la wadhamini wa chama ambao ndiyo over sighting authority
Mbowe ni nchi gani?

Hivi kwa nini mmekuwa wajinga/wapumbavu kiasi hiki??

Alaaniwe aliyewafanya hivyo!
Aliyewafanya hivyo ana hatia kubwa sana mbele ya Mwenyezi MUNGU.
 
ENDOWED NA NANI NA NI NANI? NARUDIA MKUU WEWE NI MWANAHARAKATI PER SE NA KWANGU KWA MAONI YANGU WNAHARAKATI NI RECIPE YA UNDERDEVELOPMENT
Huna kitu. Acha nikudharau tu wewe.

Sioni cha maana unachoeleza na kutetea katika mada hii.

Nchi haipotezi mali yake kwa vile tu mwekezaji kaweka vipesa vyake hapo.

Acha niwe "mwanaharakati" kuliko kuwa fisadi kama ulivyo wewe. Sioni ni namna gani "development" itakavyowezeshwa na genge la wezi kama wewe. Tena siyo wizi wa angalau kujinufaisha nao wewe na taifa lako, bali unatumika tu na hao wanaokuja kuzoa mali zetu.

Hovyo kabisa.
 
Yaani safari hii Muhongo ameamua kumugeuka Kabudi wakati yeye (Muhongo) ndiyo aliunda ile kamati ya Makinikia? Hii 16% si ilikuja kama mojawapo ya resolution ya mkataba tulioingia wakati wa mjadala wa Makinikia kwa kuunda
Kampuni ya Twiga, kama sikosei?
Still, Profesa yuko sahihi; alichoongea ni sahihi 100%
 
Huna kitu. Acha nikudharau tu wewe.

Sioni cha maana unachoeleza na kutetea katika mada hii.

Nchi haipotezi mali yake kwa vile tu mwekezaji kaweka vipesa vyake hapo.

Acha niwe "mwanaharakati" kuliko kuwa fisadi kama ulivyo wewe. Sioni ni namna gani "development" itakavyowezeshwa na genge la wezi kama wewe. Tena siyo wizi wa angalau kujinufaisha nao wewe na taifa lako, bali unatumika tu na hao wanaokuja kuzoa mali zetu.

Hovyo kabisa.
POLE
 
UMEKASIRIKA?!
Hapana sina hasira kwako, unisamehe kama nilikukwaza. Take nothing personal.

Lakini nina masikitiko makubwa na uchungu kuona levels zenu za kufikiri. The maturity level or the the nation's 'level of commonsense' is pitiful.

Natamani kuona mnakuwa na akili zenye afya, hekima huku mkitumia vema fikra, nguvu na vipawa vyenu kuwapa vipato na maisha mazuri, mkitoa mchango chanya kwa jamii na Taifa.
 
Hapana sina hasira kwako, unisamehe kama nilikukwaza. Take nothing personal.

Lakini nina masikitiko makubwa na uchungu kuona levels zenu za kufikiri. The maturity level or the the nation's 'level of commonsense' is pitiful.

Natamani kuona mnakuwa na akili zenye afya, hekima huku mkitumia vema fikra, nguvu na vipawa vyenu kuwapa viator na maisha mazuri, mkitoa mchango chanya kwa jamii na Taifa.
Nakuelewa- maswali ya kujiuliza je ni wakati gani madini yanakuwa mali na yanakuwa ni mali ya nani?
 
Back
Top Bottom