Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Jamani hivi Kambona alikimbilia Uingereza wakati wa awamu ipi? Kina Tuntemeke Sanga walichaniwa vyeti vyao awamu ipi? Akina Kassangatumbo walijengewa vituo vya polisi vijijini mwao ili kuwazuia hata kwenda sokoni awamu ipi? Akina Abdu Jumbe walinyamazishwa na kuwekwa vizuizini kwa kudai serikali 3 awamu ipi?

Mnapomuangalia Nyeree jadilini na kivuli chake. Stop Deifying Nyeree, God is watching u.
Kipindi cha Nyerere Wapinzani hawakuwa kama hawa wa sasa ambao ni Wapinzani wastaarabu wajenga hoja tu, kipindi cha Nyerere Wapinzani wao walikuwa wakiwaza kupindua serikali tu si vinginevyo hawakuwa na mbinu za kujenga hoja ndiyo maana ilibidi Nyerere abuni mbinu zake za kujihami na kujilinda imgawa mbinu zake pia zilikuwa na mapungufu yake, lakini ukilinganisha mazuri ya Nyerere na mapungufu yake,hakika mazuri ni mengi zaidi ya mabaya, hivyo Nyerere alikuwa ni mtu safi zaidi ya mkulu.
 
Nyerere aliwalea waliokuwa wanavuruga mashirika ya umma. Ukivuruga mutex una hamishiwa mwatex ili nako ukavuruge, kwa mfano. Magufuli anawatumbua papo kwa papo.

Na washawasha!
Sasa mbona lugumi, kivuko chakavu, mabehewa ya mwakyembe, bomba la gesi, kiwanda hewa cha cement lindi, billion 600 ukarabati uwanja wa ndege na madili kibao kama hayo ya kula pesa za huko kagera hawajatumbuliwa?
 
Ni mtu wa ajabu sana huyu. Zimechangwa zaidi ya bilioni 15 leo wanabadili kauli eti zimechangwa bilioni 5.4 tu na zote ni kwa ajili ya taasisi za Serikali. Serikali si ina kitengo cha maafa? Pesa zake zinafanya kazi gani? Anadhulumu mpaka waliopatwa na maafa halafu huku anapiga kelele mniombee mniombee, nani anataka kumuombea mtu mwenye tabia kama hizi.
Acheni fikira finyu, msaada uliopelekwa serikalini kwaajili ya kagera hautkuwa na tija kama ukigawiwa kwa mtu mmoja mmoja, inafaa msaada huo uelekezwe kutengeneza miundo mbinu ilioharibiwa kwa faida ya wananchi wote wa huko Kagera. Tutajenga barabara, hoapitali na shule, pamoja na miundo mbinu ya umem, hata maji.

Kuna faida gani kama watu wakapewa pesa za kujenga nyumba zao binafsi na wakakosa kuwa na huduma ya umeme, maji na huduma nyingine za kijamii? serikali haikujua kama kutakuwa na tetemeko, na hivyo haikujipanga kuwa na budget ya ujenzi wa miundo mbinu iliohalibiwa huko Kagera. Budget ya kitengo cha Maafa sio ya ujenzi wa miundombinu, hio huwa inatumika kununua vitu kama mahema, na madawa, yaani yale mahitaji ya dharula.

Wanachi wa Kagera wanapaswa kujipanga na kujijenga upya, huku serikali ikisaidia upatikanaji wa huduma muhumu katika eneo hilo.Fikira finyu ni kudhani serikali itakuja kukupatia pesa mfukoni, hilo halipo.
 
n.a. haiwezekani.kabsa..nyerere ni nyerere n.a. jpm no jpm. ...
Yaani tena kabisaaaa,Na ni kosa kubwa sana.Mwalimu Ni mtu wa watu,mwalimu ni zaidi ya rais,Ni mtu mwingine kabisa.
Tunakulilia mwalimu, hali tuliyonayo sasa inua kichwa chako.
 
Ni kweli huwezi kumlinganisha Rais Magufuli na Mwl. Nyerere kwa sababu hawa ni binadamu wawili tofauti lakini pia tuache kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa!

Hiyo demokrasia ya Mwl. Nyerere inatoka wapi wakati aliongoza taifa kwa kutumia kauli mbiu ya ''Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa chama Taifa''.

Mwl. Nyerere alituambia katiba ya Tanzania inampa madaraka makubwa lakini kwa vile alipenda madaraka makubwa ndiyo maana hakuibadilisha ili kupunguza hayo madaraka.

Mwl. Nyerere aliwafanya baadhi ya Watanzania kukimbia uhamishoni wengine kupewa house arrest.

Inawezekana neno demokrasia lina maana nyingine zaidi ya alichokuwa anakifanya Mwl. Nyerere kwa sababu alishawahi kunukuliwa akisema, “Developing nations need democracy, but the need and necessity of democracy should come from within according to geographical necessity, maturity etc …’’

Kama hoja ni masuala ya kifalsafa, hata Adolf Hitler alikuwa mwanafalsafa mzuri sana.
Mkuu lazima uangalie Nyerere alitawala kipindi gani na changamoto zake. Ni baada ya ukoloni ambapo kila mtu alitaka lion share. Kama utakubuka 1964 mutiny inaeleza ni kwanini mwalimu alichukua some drastic measures.

Kumbuka Mwalimu alikuwa na kazi ya kujenga Utaifa na umoja na kisha kutoa uelekeo
Kinyume chake tungekuwa na coup de tat kila siku kama ilivyokuwa Ghana na Nigeria

Mwl alifanya mengi kwa policy za nchi,kujenga utamaduni wa kukubaliana bila kupigana.

Mwinyi akawa na changamoto za kuweka Taifa pamoja katika mfumo wa vyama vingi. Alikuwa mvumilivu sana hata kuonekana kana kwamba alishindwa kazi.
Hakuwa na visasi wala hakutumia madaraka yake kulipa hasira kwa wanaompinga

Mkapa hakuzuia demokrasia hata ilipomuudhi. Alikuwa tayari kutoa lugha mbaya wakati akiacha demokrasia ifanye kazi yake.

Kuna nyakati aliwajibu waliompinga kwa matendo na si visasi na chuki

JK aliaacha demokrasia ishamiri ingawa alikuwa anauma kwa upande kukuweka sharia

Magufuli amekuta kila kitu kipo sawa, kuanzia misingi ya uchumi, siasa, jamii na kila kitu
Haya tunayoyaona katika demokrasia hayana ulazima wa aina yoyote

Inafika mahali watu wanatafuta sababu zingine zikiwa hazina maana lakini zinabeba uzito

Ukiwalinganisha wawili hao, Mwalimu na Magufuli hakuna ulingano wa jambo lolote isipokuwa moja tu, wote ni wanadamu.
 
Acheni fikira finyu, msaada uliopelekwa serikalini kwaajili ya kagera hautkuwa na tija kama ukigawiwa kwa mtu mmoja mmoja, inafaa msaada huo uelekezwe kutengeneza miundo mbinu ilioharibiwa kwa faida ya wananchi wote wa huko Kagera. Tutajenga barabara, hoapitali na shule, pamoja na miundo mbinu ya umem, hata maji.

Kuna faida gani kama watu wakapewa pesa za kujenga nyumba zao binafsi na wakakosa kuwa na huduma ya umeme, maji na huduma nyingine za kijamii? serikali haikujua kama kutakuwa na tetemeko, na hivyo haikujipanga kuwa na budget ya ujenzi wa miundo mbinu iliohalibiwa huko Kagera. Budget ya kitengo cha Maafa sio ya ujenzi wa miundombinu, hio huwa inatumika kununua vitu kama mahema, na madawa, yaani yale mahitaji ya dharula.

Wanachi wa Kagera wanapaswa kujipanga na kujijenga upya, huku serikali ikisaidia upatikanaji wa huduma muhumu katika eneo hilo.Fikira finyu ni kudhani serikali itakuja kukupatia pesa mfukoni, hilo halipo.
Mkuu BAK ninaposoma hoja za namna hii huwa nabaki na kujiuliza kama kweli utetezi unaoletwa una mashiko na wanaouleta wanaelewa wanazungumzia nini.

Pesa zilizokusanywa ni kusaidia wahanga wa tetemeko kurudi hali zao japo kwa kiasi

Mtu aliyepoteza baba, akabaki mama na watoto wa kindergarten unapomwambia ajenge makazi yake ni kumtwisha mzigo akiwa na mzigo mwingine alioubeba tayari

Serikali inayokusanya Trilioni 1 inakosaje bilioni 20 za kutengeneza miundo mbinu?

January Makamba alisema JMT ilipeleka Bilioni 29 Zanzibar kama bajeti support.

Hivi zinakosekanaje pesa za walipa kodi wenyewe, zipatikane za bajeti sapoti kwingine?

Tumelipa ununuzi wa ndege kwa cash. Inawezakaje kukosa za amiundo mbinu Kagera?

Juzi CCM tumeambiwa ''wamegawana'' milioni 10 pesa zao kwa mujibu wao.

Hizi kama ni zao ni ruzuku zinazotoka kwa walipakodi.

Inawezakanje kupataa milioni 10 kwa watu 264 zisipatikane milioni 10 kwa kaya 264?

Mifano ni mingi na orodha inaweza kufika kurasa 100.

Muhimu ni kukumbuka kuwa ujenzi wa miundo mbinu ni wajibu wa serikali na serikali ni sisi wananchi tunaolipa kodi. Kama sisi wananchi tunaridhia kodi zetu zitumike kusaidia wana Kagera kwanini serikali isubiri maafa kutengeneza miundo mbinu?

Tujiulize bajeti ya kitengo cha maafa ni kiasi gani kwa mwaka.

Tujiulize kwa siku moja Wabunge wanapata kaisi gani na kwanini Bunge lisiahirishwe siku 3 na pesa kwenda kusaidia wahanga ikiwa Bunge hilo lilivunja siku 2 za kazi kutoa heshima kwa Spika?

Watu waliopata tetemeko wapo katika dhiki, kama hakuna msaada ni vema kukaa kimya.
Kauli zinazidi kutonesha vidonda
 
Kitila aache unafki wa Ki ACT, Sifa kuu ya kufananisha vitu ni lazima viwe tofauti ili upate baadhi ya yanayowiana. Mwl Nyerere na Magufuli ni watu wawili tofauti lakin Wenye baadhi ya mambo wanashabihiana.

1) Ukali, wote walikuwa wakali na wanaogopwa na wasaidizi wao.
2) Ubabe, wote walikuwa wababe na wakat Mwingine kuingilia mifumo rasmi ya kiutendaji cha Msingi wanayotaka yapite

3) Wote hawashauriki, kwa wale watu wazima wnzangu wanakumbuka kwanini Mwl aliitwa Bwana haambiliki.
4) Kuminya Demokrasia
5) Kupitisha Sheria kandamizi dhidi ya media, Nyerere alipitisha 1976 na Magu anaipitisha 2016
6) ......
Mkuu Pohamba, naunga mkono hoja, hata vidole havifanani lakini ile vyote kuitwa vidole tayari ni mfanano.

Kitu ambacho nakubaliana na Prof.Kitila, kama kigezo chake cha mfano ni falsafa tuu, then ni kweli Magufuli hafanani na Nyerere, lakini kuna mambo mengi tuu Magufuli ni kama Nyerere.
1.Wote wanatoka Kanda moja na wanaasili moja.
2.Wote ni waalimu.
3.Initial za majina yao ni J.
4.Wote ni Wakristu Wakatoliki
5. Wote wanasali St.Peter.
6. Wote ni wapiga ngoma.
7. Wote ni wakali sio watu wa mchezo mchezo.
8. Wote wanaichukia rushwa.
9.Wote ni watu wa watu.
10. Wote ni ma dikiteta. ...Wazalendo.

Karibu mnitembelee mitaa hii nimefanya a simple comparison and contrast kati ya Magufuli na Nyerere

Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!

Paskali
 
Nimependa aliposema Nyerere was philosophically packed wakati Magufuli ni action packed. Kwamba mwalimu alikuwa mtu wa ideas na a clear direction of implimentation na ndicho kilichompaisha. Magufulivhana sifa hizo. Nyerere was a philospher cum politician, wakati Magu ni a totally mechanical fela devoid of ideas and vision!
[emoji15] [emoji40]
 
Kwa kuwa umeolewa na mafisadi wa hapo Ufipa unafikili kila mtu ni fisadi.
Badala ya kuulizia ruzuku ya chadema inavyotumika we umekadhania upuuzi tu
Mkuu, huna ulichoguswa kwenye hili sakata la Watanzania wenzako wa kagera? Priority yako ni ruzuku ya Chadema tu?
 
Ahsante sana Mkuu Nguruvi3 kwa mchango wako mzuri sana uliojaa busara na hekima tele.

Inasikitisha sana kuona hii Serikali ilivyo na watendaji wenye roho mbaya na ukatili wa hali ya juu. Iko tayari kulipa mapesa chungu nzima kununua ndege kwa cash lakini wakati huo huo ikashindwa kutoa kati ya bilioni 15 na 20 ili kuwasaidia raia wake waliokumbwa na maafa. Pamoja na hayo wanaomba misaada ndani na nje ya nchi huku wakitangaza misaada hiyo ni kwa ajili ya kusaidia wahanga. Wanakusanya misaada na kubadili kauli yao kwamba misaada hiyo sasa haitasaidia tena wahanga bali itakuwa ni kwa ajili ya taasisi za Serikali. Kisha bila aibu wala woga wanaiba pesa zilizokusanywa ambazo ni zaidi ya bilioni 15 na kuudanganya umma wa Watanzania kwamba pesa walizokusanya ni 5.4 billioni wakati UK imetoa 6.7 billioni Uganda imetoa 450 millioni.

Serikali ya huyu aliyejigamba kujitoa mhanga kuwapigania wanyonge nchini kumbe yeye ndiye wa kwanza kuwakandamiza na kuchukua pesa zao kwenda kutoa rushwa kwa Wabunge wa CCM ili wapitishe mswaada wake wa kidikteta ili kuminya uhuru wa habari nchini.

Mkuu BAK ninaposoma hoja za namna hii huwa nabaki na kujiuliza kama kweli utetezi unaoletwa una mashiko na wanaouleta wanaelewa wanazungumzia nini.

Pesa zilizokusanywa ni kusaidia wahanga wa tetemeko kurudi hali zao japo kwa kiasi

Mtu aliyepoteza baba, akabaki mama na watoto wa kindergarten unapomwambia ajenge makazi yake ni kumtwisha mzigo akiwa na mzigo mwingine alioubeba tayari

Serikali inayokusanya Trilioni 1 inakosaje bilioni 20 za kutengeneza miundo mbinu?

January Makamba alisema JMT ilipeleka Bilioni 29 Zanzibar kama bajeti support.

Hivi zinakosekanaje pesa za walipa kodi wenyewe, zipatikane za bajeti sapoti kwingine?

Tumelipa ununuzi wa ndege kwa cash. Inawezakaje kukosa za amiundo mbinu Kagera?

Juzi CCM tumeambiwa ''wamegawana'' milioni 10 pesa zao kwa mujibu wao.

Hizi kama ni zao ni ruzuku zinazotoka kwa walipakodi.

Inawezakanje kupataa milioni 10 kwa watu 264 zisipatikane milioni 10 kwa kaya 264?

Mifano ni mingi na orodha inaweza kufika kurasa 100.

Muhimu ni kukumbuka kuwa ujenzi wa miundo mbinu ni wajibu wa serikali na serikali ni sisi wananchi tunaolipa kodi. Kama sisi wananchi tunaridhia kodi zetu zitumike kusaidia wana Kagera kwanini serikali isubiri maafa kutengeneza miundo mbinu?

Tujiulize bajeti ya kitengo cha maafa ni kiasi gani kwa mwaka.

Tujiulize kwa siku moja Wabunge wanapata kaisi gani na kwanini Bunge lisiahirishwe siku 3 na pesa kwenda kusaidia wahanga ikiwa Bunge hilo lilivunja siku 2 za kazi kutoa heshima kwa Spika?

Watu waliopata tetemeko wapo katika dhiki, kama hakuna msaada ni vema kukaa kimya.
Kauli zinazidi kutonesha vidonda
 
Salamu kwenu,
Katika kipindi cha this week in perspective TBC, Prof Kitila Mkumbo ameasa watu waache kumlinganisha Rais Magufuli na Hayati Baba wa Taifa,rais wa kwanza wa Tz.
Mwalimu alikuwa ni mtu wa mawazo ya kifalsafa na vitendo kwa kufuata taratibu.
Mwalimu hakuwa kidhani na demokrasia.
Amemalizia kwa kusisitiza ni watu wawili wanaopishana kwa ulekeo tofauti.
Ingawa rais anapambana na rushwa,lakini asiibane demokrasia maana ndio pekee itamfanya afanikiwe dhima yake.
Huyu bwana amesema iliyo kweli ama ni vile yupo ACT.?

Hicho kipindi cha "this week in perspective" hakina sifa ya mijadala ya wazi. Kilpo kwa ajili ya ccm na viongozi wake. JPM ana sifa gani za kumlinganisha na JK Nyerere?
- Mwl alikuwa mcha mungu;
- Aliwapenda wananchi wake;
- Aliguswa kwa dhati na shida za wananchi wake;
- Alikuwa mnyenyekevu;
- Alikuwa mkweli na alisimamia alichokiamini;
- Aliendesha nchi kwa maono na falsafa ya kueleweka;
- Hakuwa mbaguzi wa rangi, dini, kabila wala ukanda;
- Aliunganisha taifa kwa kutumia siasa na Sera nzuri;
- Hakuwa fisidi na alipiga vita rushwa;
- Hakupendelea ktk teuzi zake kwenye nafasi za kazi;
- Alikuwa msomi na mwandishi wa vitabu na makala mwenyewe uelewa mkubwa;
- Alijiamini na alikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja;
- Alikuwa kiongozi kipenzi cha wananchi aliyeheshimu utu na kuheshimika ndani na nje pasi kutumia vyombo vya dola;
- nk.

Hizo ni baadhi tu ya sifa za JK Nyerere.
 
Ni mtu wa ajabu sana huyu. Zimechangwa zaidi ya bilioni 15 leo wanabadili kauli eti zimechangwa bilioni 5.4 tu na zote ni kwa ajili ya taasisi za Serikali. Serikali si ina kitengo cha maafa? Pesa zake zinafanya kazi gani? Anadhulumu mpaka waliopatwa na maafa halafu huku anapiga kelele mniombee mniombee, nani anataka kumuombea mtu mwenye tabia kama hizi.
Siko kwenye kundi LA wale wa kujichimbia laana pyuuuu umwombee MTU ambaye hawajali waliokwenye shida huwezi kiwasaidia angeacha wengine wafanye hapana anaelekea kwenye maono ya Lema
 
n kwel bana mana mwalim alikua na dira ya ujamaa na kujitegemea na akaandaa walim na wataalama kwa ajil ya kuiingza sera ya mioyon mwa watz, pia akaandka vitabu kwa ajil ya wanafunz mashulen nao watambue dira ya selkar. huyu bwana anaubir vwanda bila maandalz yoyote ya kisera, dira na mwongozo mpaka dk hii hakuna hata ktabu kmoja knachofafanua vwanda vnavoubirwa. ngoja 2endelee kusubir miujiza
 
Kwanini watu mnatoa povu jingi akilinganishwa na Mwl. Nyerere? Mbona mnaopinga humu wengi wenu ndio wale wanajitahidi kumuweka mgombea wao fisadi karibu na Mwl. Nyerere? Kuna nini, nauliza?
 
Upuuzi upi? yaani kutofautisha matendo ya Nyerere na Magu ni upuuzi? Ruzuku ya CCM imeenda wapi? Mbona CCM walishindwa kufanya mkutano mkuu mpaka wakachota pesa Hazina? Kule Ofisi za Uhuru mishahara walikuwa hawalipi mpaka magu alipokwenda ndipo wakazinduka , mafisadi wa escrow, mabehewa feki, Kivuko chakavu, kiwanda hewa cha cement, bilion 600 ukarabati wa Airport, reli toka Airport na madili kibao wapo chadema? Kama ni mafisadi unao huko huko tena wengi sasa wanapiga ufisadi kupitia mgongo wa Lipumba pesa yenu ya ruzuku yote inaliwa na lipumba kwa kisingizio cha kuitumia kudhoofisha upinzani na kuiua CUF.
I ni aibu
 
Nyerere alitawala kipindi cha changamoto za mapinduzi pia kipindi cha kuikomboa Africa nk hakuwa akitawala kwa Uhuru mapinduzi yalikuwa yakimnyemelea kila Dk hakuwa na Afya mbaya kwani baada ya kung'atuka aliishi kwa afya njema kipindi chote cha Mwinyi mpaka anaingia mkapa ndipo huko Ulaya yakatokea yaliyotokea.
Mkapa!!!!
 
Back
Top Bottom