Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Pamoja na mapungufu yake, Nyerere alikuwa ni zawadi ya Watanzania kutoka kwa Mungu. Nikikutana na watu wa nchi nyingine sehemu mbali mbali duniani wakijua mimi ni mbongo basi wataulizia kuhusu Nyerere wengine wanajua kama alishafariki na wengine hawajui. Basi wataanza kumwaga sifa kem kem kuhusu Nyerere mpaka unajisikia raha. Wawe ni wa kutoka Afrika, Ulaya, Uarabuni na kwingineko sijawahi kukutana na mtu ambaye alimuongelea vibaya Baba wa Taifa.
Kipaji kimoja alichokuwa nacho Nyerere ni uwezo wa kujenga hoja na watu kuikubali, hata wazo la PAN Africa alilianzisha yeye baada ya kutoka masomoni Uingereza na kuona jinsi United Kingdom inavyopregress pamoja na United States of America.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wabunge wa ccm kama kweli mmekula miln 10 kila Mbunge mna Laana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yule Mzee tuache tu aende zake. Hotuba zake za miaka chungu nzima iliyopita bado zinapendwa na Watanzania wengi na kusikilizwa kuliko hao waliomfuatia. Na bado ziko very relevant katika mustakabali wa nchi yetu utadhani alizitoa hivi karibuni.

Kipaji kimoja alichokuwa nacho Nyerere ni uwezo wa kujenga hoja na watu kuikubali, hata wazo la PAN Africa alilianzisha yeye baada ya kutoka masomoni Uingereza na kuona jinsi United Kingdom inavyopregress pamoja na United States of America.
 
Kwa kuwa umeolewa na mafisadi wa hapo Ufipa unafikili kila mtu ni fisadi.
Badala ya kuulizia ruzuku ya chadema inavyotumika we umekadhania upuuzi tu
Mkuu naona jiwe lililotupwa gizani limekupata utosini.Sio mbaya yakubali maumivu unayoyapata coz ndivyo maisha yalivyo,usitarajie kukipata kile kitakachofurahisha nafsi yako kila wakati.
 
Salamu kwenu,
Katika kipindi cha this week in perspective TBC, Prof Kitila Mkumbo ameasa watu waache kumlinganisha Rais Magufuli na Hayati Baba wa Taifa,rais wa kwanza wa Tz.
Mwalimu alikuwa ni mtu wa mawazo ya kifalsafa na vitendo kwa kufuata taratibu.
Mwalimu hakuwa kidhani na demokrasia.
Amemalizia kwa kusisitiza ni watu wawili wanaopishana kwa ulekeo tofauti.
Ingawa rais anapambana na rushwa,lakini asiibane demokrasia maana ndio pekee itamfanya afanikiwe dhima yake.
Huyu bwana amesema iliyo kweli ama ni vile yupo ACT.?
Ningelikuwa na access ningelimwomba huyo prof Kitila Mkumbo atupe maana ya demokrasia katika maana ya msingi wa neno lilikoanza kutumika.
 
Nimependa aliposema Nyerere was philosophically packed wakati Magufuli ni action packed. Kwamba mwalimu alikuwa mtu wa ideas na a clear direction of implimentation na ndicho kilichompaisha. Magufulivhana sifa hizo. Nyerere was a philospher cum politician, wakati Magu ni a totally mechanical fela devoid of ideas and vision!
totally false magu has ideas and vision for the country and to his credit is mechanical and a man of action.
 
Hata huyo mkumbo hatuwezi kumlinganisha na marehemu Harubu Othmani.

Na washawasha!
 
Kitila aache unafki wa Ki ACT, Sifa kuu ya kufananisha vitu ni lazima viwe tofauti ili upate baadhi ya yanayowiana. Mwl Nyerere na Magufuli ni watu wawili tofauti lakin Wenye baadhi ya mambo wanashabihiana.

1) Ukali, wote walikuwa wakali na wanaogopwa na wasaidizi wao.
2) Ubabe, wote walikuwa wababe na wakat Mwingine kuingilia mifumo rasmi ya kiutendaji cha Msingi wanayotaka yapite

3) Wote hawashauriki, kwa wale watu wazima wnzangu wanakumbuka kwanini Mwl aliitwa Bwana haambiliki.
4) Kuminya Demokrasia
5) Kupitisha Sheria kandamizi dhidi ya media, Nyerere alipitisha 1976 na Magu anaipitisha 2016
6) ......
 
Nyerere aliichukia rushwa kwa thabiti hakuwahi kuwahonga wabunge ili kupitisha mswada wowote
 
Uingereza walitoa almost billion 6 tuanzie hapo
Ahadi na michango yote imeshapokelewa?
Tuanzie na hapo kwanza?

"Madiwani wa kagera kupitia Chadema kamwe hamtokula hii fedha ya maafa kama mlivyotarajia"
 
Mwalimu nae alibana demokrasia mpaka kina baba yake Masha akakimbilia marekani , Mohamed babu na mwingine nimemsahau Ilibidi wakimbieii nchi.Tofauti ya JK na JPM ni kwamba wametawala karne tofauti .
mwalimu jkn alikuwa na hekima na busara jpm hana
 
Ahadi na michango yote imeshapokelewa?
Tuanzie na hapo kwanza?

"Madiwani wa kagera kupitia Chadema kamwe hamtokula hii fedha ya maafa kama
mlivyotarajia"
hiyo iliopokelewa inakwendaje kwenye taasisi badala kufika kwa walengwa
 
Nyerere asifananishwe na vitu vya ki****.

Alifanya makosa kadhaa ila atakumbukwa daima.
 
Ni kipi kinachomfanya Mkumbo aseme Magufuli hana falsafa?...

Falsfa ni nini?

Ni utaratibu upi aliokiuka Magufuli hadi sasa?

Kungekuwa hakuna demokrasia nchini Mkumbo angepewa nafasi kwenye TBC kubwabwaja?
Unaelewa maana ya falsafa? Yeyote anayejua maana ya falsafa atakubaliana na Mkumbo kuwa Magufuli as we discuss is not a philosopher. Kama kuna mtu atasema ni mwanafalsafa basi atuambie falsafa yake ni ipi? Philosphers are very few in this world.
 
Jamani hivi Kambona alikimbilia Uingereza wakati wa awamu ipi? Kina Tuntemeke Sanga walichaniwa vyeti vyao awamu ipi? Akina Kassangatumbo walijengewa vituo vya polisi vijijini mwao ili kuwazuia hata kwenda sokoni awamu ipi? Akina Abdu Jumbe walinyamazishwa na kuwekwa vizuizini kwa kudai serikali 3 awamu ipi?

Mnapomuangalia Nyeree jadilini na kivuli chake. Stop Deifying Nyeree, God is watching u.
 
Back
Top Bottom