Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Posts
4,649
Reaction score
5,079
Salamu kwenu,
Katika kipindi cha this week in perspective TBC, Prof Kitila Mkumbo ameasa watu waache kumlinganisha Rais Magufuli na Hayati Baba wa Taifa,rais wa kwanza wa Tz.
Mwalimu alikuwa ni mtu wa mawazo ya kifalsafa na vitendo kwa kufuata taratibu.
Mwalimu hakuwa kidhani na demokrasia.
Amemalizia kwa kusisitiza ni watu wawili wanaopishana kwa ulekeo tofauti.
Ingawa rais anapambana na rushwa,lakini asiibane demokrasia maana ndio pekee itamfanya afanikiwe dhima yake.
Huyu bwana amesema iliyo kweli ama ni vile yupo ACT.?
 
Mwalimu hakuwa fisadi, hakuwa muongo, hakuwa mtu wa visasi n.k. Ni makosa makubwa sana kutaka kumfananisha Magufuli na Baba wa Taifa hawana lolote linalofanana kati yao hata chembe.

Mwalimu nae alibana demokrasia mpaka kina baba yake Masha akakimbilia marekani , Mohamed babu na mwingine nimemsahau Ilibidi wakimbie nchi.Tofauti ya JK na JPM ni kwamba wametawala karne tofauti .
 
Ni mtu wa ajabu sana huyu. Zimechangwa zaidi ya bilioni 15 leo wanabadili kauli eti zimechangwa bilioni 5.4 tu na zote ni kwa ajili ya taasisi za Serikali. Serikali si ina kitengo cha maafa? Pesa zake zinafanya kazi gani? Anadhulumu mpaka waliopatwa na maafa halafu huku anapiga kelele mniombee mniombee, nani anataka kumuombea mtu mwenye tabia kama hizi.

Mtu gani hana huruma? Yaani mabilioni ya kagera yote hajawapa walengwa?
 
Ni mtu wa ajabu sana huyu. Zimechangwa zaidi ya bilioni 15 leo wanabadili kauli eti zimechangwa bilioni 5.4 tu na zote ni kwa ajili ya taasisi za Serikali. Serikali si ina kitengo cha maafa? Pesa zake zinafanya kazi gani? Anadhulumu mpaka waliopatwa na maafa halafu huku anapiga kelele mniombee mniombee, nani anataka kumuombea mtu mwenye tabka kama hizi.
Una taarifa za michango?tushushie mchanganuo....
 
Nimependa aliposema Nyerere was philosophically packed wakati Magufuli ni action packed. Kwamba mwalimu alikuwa mtu wa ideas na a clear direction of implimentation na ndicho kilichompaisha. Magufulivhana sifa hizo. Nyerere was a philospher cum politician, wakati Magu ni a totally mechanical fela devoid of ideas and vision!
 
Mwalimu hakuwa fisadi, hakuwa muongo, hakuwa mtu wa visasi n.k. Ni makosa makubwa sana kutaka kumfananisha Magufuli na Baba wa Taifa hawana lolote linalofanana kati yao hata chembe.
Yaani nikikutana na watu wa West Africa jinsi wanavyomuongelea Nyerere, kwa kweli tulipata kiongozi.
 
Ni kweli huwezi kumlinganisha Rais Magufuli na Mwl. Nyerere kwa sababu hawa ni binadamu wawili tofauti na wameshika madaraka katika mazingira tofauti lakini pia tuache kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa!

Hiyo demokrasia ya Mwl. Nyerere inatoka wapi wakati aliongoza taifa kwa kutumia kauli mbiu ya ''Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa Chama Taifa''.

Mwl. Nyerere alituambia katiba ya Tanzania inampa madaraka makubwa lakini kwa vile alipenda madaraka makubwa ndiyo maana hakuibadilisha ili kupunguza hayo madaraka.

Mwl. Nyerere aliwafanya baadhi ya Watanzania kukimbia uhamishoni wengine kupewa house arrest.

Siyo huyu Mwl. Nyerere aliyepiga marufuku siasa za vyama vingi?

Helloo, siyo huyu Mwl. Nyerere aliyeleta sheria ya magazeti ya mwaka 1976?

Inawezekana neno demokrasia lina maana nyingine zaidi ya alichokuwa anakifanya Mwl. Nyerere kwa sababu alishawahi kunukuliwa akisema, “Developing nations need democracy, but the need and necessity of democracy should come from within according to geographical necessity, maturity etc …’’

Kama hoja ni masuala ya kifalsafa, hata Adolf Hitler alikuwa mwanafalsafa mzuri sana.
 
Nyerere hakuwahi shuhudia wabunge wa ccm wakihongwa milioni kumi na hata yeye hakuwahi pata mgao dhalimu kama huo.

Kweli wanatofautiana Sana Kati Nyerere na J.P.M
 
Salamu kwenu,
Katika kipindi cha this week in perspective TBC, Prof Kitila Mkumbo ameasa watu waache kumlinganisha Rais Magufuli na Hayati Baba wa Taifa,rais wa kwanza wa Tz.
Mwalimu alikuwa ni mtu wa mawazo ya kifalsafa na vitendo kwa kufuata taratibu.
Mwalimu hakuwa kidhani na demokrasia.
Amemalizia kwa kusisitiza ni watu wawili wanaopishana kwa ulekeo tofauti.
Ingawa rais anapambana na rushwa,lakini asiibane demokrasia maana ndio pekee itamfanya afanikiwe dhima yake.
Huyu bwana amesema iliyo kweli ama ni vile yupo ACT.?
Kwa ujumla wote hao waalikwa wamemfagilia JPM.
 
Time, value and education will dedicate jk but the same case to magufuli as tyme goes
 
~~~~~~~RambiRambi Za Kagera~~~~~~~~~
Uingereza Bil.6 [emoji777]
Marekani Bil.5[emoji818]
Kenya Mil.200[emoji777]
Korea 1.5Bil[emoji777]
Wadau mbalimbali 5.4Bil[emoji777]
Sirikali.
TOTAL 5.4 Bil
Sijui Umenielewa Apo?
 
Mwalimu nae alibana demokrasia mpaka kina baba yake Masha akakimbilia marekani , Mohamed babu na mwingine nimemsahau Ilibidi wakimbie nchi.Tofauti ya JK na JPM ni kwamba wametawala karne tofauti .
Huwezi linganisha ulimwengu wa chama kimoja kushika hatamu na Dunia ya democracy ya vyama vingi vya siasa.

Nyerere alikuwa mzalendo pamoja na mapungufu yake. Hawa wa sasa hawafukui makaburi !!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pamoja na mapungufu yake, Nyerere alikuwa ni zawadi ya Watanzania kutoka kwa Mungu. Nikikutana na watu wa nchi nyingine sehemu mbali mbali duniani wakijua mimi ni mbongo basi wataulizia kuhusu Nyerere wengine wanajua kama alishafariki na wengine hawajui. Basi wataanza kumwaga sifa kem kem kuhusu Nyerere mpaka unajisikia raha. Wawe ni wa kutoka Afrika, Ulaya, Uarabuni na kwingineko sijawahi kukutana na mtu ambaye alimuongelea vibaya Baba wa Taifa.

Yaani nikikutana na watu wa West Africa jinsi wanavyomuongelea Nyerere, kwa kweli tulipata kiongozi.
 
~~~~~~~RambiRambi Za Kagera~~~~~~~~~
Uingereza Bil.6 [emoji777]
Marekani Bil.5[emoji818]
Kenya Mil.200[emoji777]
Korea 1.5Bil[emoji777]
Wadau mbalimbali 5.4Bil[emoji777]
Sirikali.
TOTAL 5.4 Bil
Sijui Umenielewa Apo?
Ni kuwa hazina kulikuwa kutupu kabisa baada ya pesa kurekebisha uchaguzi na magari ya washa washa.
 
Ni mtu wa ajabu sana huyu. Zimechangwa zaidi ya bilioni 15 leo wanabadili kauli eti zimechangwa bilioni 5.4 tu na zote ni kwa ajili ya taasisi za Serikali. Serikali si ina kitengo cha maafa? Pesa zake zinafanya kazi gani? Anadhulumu mpaka waliopatwa na maafa halafu huku anapiga kelele mniombee mniombee, nani anataka kumuombea mtu mwenye tabka kama hizi.
Kwa kuwa umeolewa na mafisadi wa hapo Ufipa unafikili kila mtu ni fisadi.
Badala ya kuulizia ruzuku ya chadema inavyotumika we umekadhania upuuzi tu
 
Back
Top Bottom