Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

Magu kufananishwa na Nyerere ni kufananisha Jehanam na Peponi
Malaika Jibril na Lucifer
 
Salamu kwenu,
Katika kipindi cha this week in perspective TBC, Prof Kitila Mkumbo ameasa watu waache kumlinganisha Rais Magufuli na Hayati Baba wa Taifa,rais wa kwanza wa Tz.
Mwalimu alikuwa ni mtu wa mawazo ya kifalsafa na vitendo kwa kufuata taratibu.
Mwalimu hakuwa kidhani na demokrasia.
Amemalizia kwa kusisitiza ni watu wawili wanaopishana kwa ulekeo tofauti.
Ingawa rais anapambana na rushwa,lakini asiibane demokrasia maana ndio pekee itamfanya afanikiwe dhima yake.
Huyu bwana amesema iliyo kweli ama ni vile yupo ACT.?
Hehehe wala hasikii ni mkorofi hataree na uongozi hawezi shkamoo ccm tukutane 2020
 
pia serikali ya mwalimu ilikua hainywi uji wa mgonjwa
mtukuka [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji13] [emoji13] utakatifu tunaona sie sio wewe uliyenunua boti feki na kuuza nyumba za sirkali kula pesa za wahanga na kugawa mabulungutu heheheyaaa mbele kwa mbeleeeeee
 
Ni kipi kinachomfanya Mkumbo aseme Magufuli hana falsafa?...

Falsfa ni nini?

Ni utaratibu upi aliokiuka Magufuli hadi sasa?

Kungekuwa hakuna demokrasia nchini Mkumbo angepewa nafasi kwenye TBC kubwabwaja?
ukisoma katiba utaona demokrasia imefinywa na reis ila kama husomi katiba au ww n kada wa chama cha chukua chako mapema utaona sawa tu
 
Mwalimu nae alibana demokrasia mpaka kina baba yake Masha akakimbilia marekani , Mohamed babu na mwingine nimemsahau Ilibidi wakimbie nchi.Tofauti ya JK na JPM ni kwamba wametawala karne tofauti .
Nyerere alikuwa akikabiliwa na mapinduzi mara kadhaa alijaribu kupinduliwa ndipo ikabidi abuni mbinu ya kujihami na kujilinda nina imani kama Nyerere asingekuwa amekabiliwa na hizo changamoto leo hii Tanzania ingekuwa inamuita mtakatifu kwa 100% , Mfano kipindi hiki mtu ajaribu kumpindua Magu lazima magu atabadilika na kuwa mkali zaidi ya alivyokuwa sasa na anaweza kutengeneza mazingira magumu ya kufanya siasa, hivyo Nyerere alikuwa mtu safi japo alikuwa na mapungufu yake kama binadamu wengine.
 
Mwalimu nae alibana demokrasia mpaka kina baba yake Masha akakimbilia marekani , Mohamed babu na mwingine nimemsahau Ilibidi wakimbie nchi.Tofauti ya JK na JPM ni kwamba wametawala karne tofauti .
Kabona, Bibi titi ,
 
Kwa kuwa umeolewa na mafisadi wa hapo Ufipa unafikili kila mtu ni fisadi.
Badala ya kuulizia ruzuku ya chadema inavyotumika we umekadhania upuuzi tu
Upuuzi upi? yaani kutofautisha matendo ya Nyerere na Magu ni upuuzi? Ruzuku ya CCM imeenda wapi? Mbona CCM walishindwa kufanya mkutano mkuu mpaka wakachota pesa Hazina? Kule Ofisi za Uhuru mishahara walikuwa hawalipi mpaka magu alipokwenda ndipo wakazinduka , mafisadi wa escrow, mabehewa feki, Kivuko chakavu, kiwanda hewa cha cement, bilion 600 ukarabati wa Airport, reli toka Airport na madili kibao wapo chadema? Kama ni mafisadi unao huko huko tena wengi sasa wanapiga ufisadi kupitia mgongo wa Lipumba pesa yenu ya ruzuku yote inaliwa na lipumba kwa kisingizio cha kuitumia kudhoofisha upinzani na kuiua CUF.
 
Mwalimu nae alibana demokrasia mpaka kina baba yake Masha akakimbilia marekani , Mohamed babu na mwingine nimemsahau Ilibidi wakimbie nchi.Tofauti ya JK na JPM ni kwamba wametawala karne tofauti .

Juzi tu tumepewa historia ya marehemu Samuel Sitta kuwa alipewa sharti la kurudi UDSM ambalo mimi naamini nisingelitekeleza kwa namna yoyote ile!
 
Nyerere alifisadi mindset za watu , yaani miaka 23 ikulu ndo demokrasia hiyo ? Na ninahisi aliachia ngazi baada ya afya yake kuleta mshike mshike .
Nyerere alitawala kipindi cha changamoto za mapinduzi pia kipindi cha kuikomboa Africa nk hakuwa akitawala kwa Uhuru mapinduzi yalikuwa yakimnyemelea kila Dk hakuwa na Afya mbaya kwani baada ya kung'atuka aliishi kwa afya njema kipindi chote cha Mwinyi mpaka anaingia mkapa ndipo huko Ulaya yakatokea yaliyotokea.
 
Kitila aache unafki wa Ki ACT, Sifa kuu ya kufananisha vitu ni lazima viwe tofauti ili upate baadhi ya yanayowiana. Mwl Nyerere na Magufuli ni watu wawili tofauti lakin Wenye baadhi ya mambo wanashabihiana.

1) Ukali, wote walikuwa wakali na wanaogopwa na wasaidizi wao.
2) Ubabe, wote walikuwa wababe na wakat Mwingine kuingilia mifumo rasmi ya kiutendaji cha Msingi wanayotaka yapite

3) Wote hawashauriki, kwa wale watu wazima wnzangu wanakumbuka kwanini Mwl aliitwa Bwana haambiliki.
4) Kuminya Demokrasia
5) Kupitisha Sheria kandamizi dhidi ya media, Nyerere alipitisha 1976 na Magu anaipitisha 2016
6) ......
Nyerere alikuwa akikabiliwa na wimbi la mapinduzi, kipindi cha Nyerere kulikuwa na wimbi kubwa la marais kupinduliwa ndipo ikabidi Nyerere abuni mbinu za kujihami , kinyume na hapo Nyerere alikuwa mtu safi hakuwa na Doa hata mfumo wa vyama vingi uliasisiwa na Nyerere kwa moyo mmoja hakuwa adui wa Wapinzani bali Wapinzani wa miaka ya 1970-80 wengi walikuwa hatari walikuwa wakipenda mapinduzi zaidi kuliko wa Wapinzani wa sasa.
 
~~~~~~~RambiRambi Za Kagera~~~~~~~~~
Uingereza Bil.6 [emoji777]
Marekani Bil.5[emoji818]
Kenya Mil.200[emoji777]
Korea 1.5Bil[emoji777]
Wadau mbalimbali 5.4Bil[emoji777]
Sirikali.
TOTAL 5.4 Bil
Sijui Umenielewa Apo?

Lini mliambiwa zilizopokelewa CASH ziliingia kwenye akaunti zenu?
 
Mwl. Nyerere ana sifa za kipekee sana tofauti na huyo wanaojaribu kumlinganisha nae.
 
Ni mtu wa ajabu sana huyu. Zimechangwa zaidi ya bilioni 15 leo wanabadili kauli eti zimechangwa bilioni 5.4 tu na zote ni kwa ajili ya taasisi za Serikali. Serikali si ina kitengo cha maafa? Pesa zake zinafanya kazi gani? Anadhulumu mpaka waliopatwa na maafa halafu huku anapiga kelele mniombee mniombee, nani anataka kumuombea mtu mwenye tabka kama hizi.
Kwa mtaji huo hakuna wa kumuombea vinginevyo warejeshe hizo pesa kwa waathirika wenyewe, na endapo wataendelea na Tabia hiyo siku zingine yakitokea majanga itakuwa vigumu kwa watu kuchangia kwani inaonyesha hata zile pesa za bajeti ya maafa kule wizarani huwa zinapigwa tu kwani hakuna kazi zinafanya zaidi ya pesa za michango ambazo sasa zimeleta vituko.
 
Kwa kuwa umeolewa na mafisadi wa hapo Ufipa unafikili kila mtu ni fisadi.
Badala ya kuulizia ruzuku ya chadema inavyotumika we umekadhania upuuzi tu
Mafisadi wapo CCM hata ruzuku ya CCM inapigwa vibaya licha ya wao kuwa na serikali huko CCM wanalia njaa ruzuku haionekani pesa zote kapelekewa Lipumba anayewachuna mpaka ngozi, anza na ruzuku yenu kwanza kabla haujaenda popote.
 
Ni kweli huwezi kumlinganisha Rais Magufuli na Mwl. Nyerere kwa sababu hawa ni binadamu wawili tofauti lakini pia tuache kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa!

Hiyo demokrasia ya Mwl. Nyerere inatoka wapi wakati aliongoza taifa kwa kutumia kauli mbiu ya ''Zidumu Fikra za Mwenyekiti wa chama Taifa''.

Mwl. Nyerere alituambia katiba ya Tanzania inampa madaraka makubwa lakini kwa vile alipenda madaraka makubwa ndiyo maana hakuibadilisha ili kupunguza hayo madaraka.

Mwl. Nyerere aliwafanya baadhi ya Watanzania kukimbia uhamishoni wengine kupewa house arrest.

Inawezekana neno demokrasia lina maana nyingine zaidi ya alichokuwa anakifanya Mwl. Nyerere kwa sababu alishawahi kunukuliwa akisema, “Developing nations need democracy, but the need and necessity of democracy should come from within according to geographical necessity, maturity etc …’’

Kama hoja ni masuala ya kifalsafa, hata Adolf Hitler alikuwa mwanafalsafa mzuri sana.
acha hizo Nyerere alitawala ktk mazingira magumu ya mapinduzi kila mda hakuwa huru kama marais waliomfuatia ilibidi abuni mbinu kadhaa za kumlinda au kujilinda, nina hakika kama ikitokea yale yalitokuwa yakifanyika kwa Nyerere yaje kwa Magu utaona mziki ambao haujapata kutokea Duniani,Tambua Nyerere licha ya kuandamwa na mapinduzi alikuwa na uvumilivu na busara hata hayo mapungufu machache hayaachi kuenzi mazuri mengi aliyoyafanya.
 
~~~~~~~RambiRambi Za Kagera~~~~~~~~~
Uingereza Bil.6 [emoji777]
Marekani Bil.5[emoji818]
Kenya Mil.200[emoji777]
Korea 1.5Bil[emoji777]
Wadau mbalimbali 5.4Bil[emoji777]
Sirikali.
TOTAL 5.4 Bil
Sijui Umenielewa Apo?
Ndipo ujue kuwa Ufisadi uliopo sasa ni hatari kuliko awamu zote zilizipita, jiulize kama wamepiga hizo pesa live michango ilikuwa live na kuna pesa nyingine nyingi za wananchi na makampuni ya ndani ya Nchi zote hazionekani , hata pesa za maafa zinazotengwa kila bajeti ya mwezi wa sita nazo hupigwa licha ya baadhi ya miaka kutokuwa na maafa, jiulize pesa za michngo live zimepigwa je? Pesa za michango ya chini kwa chini zitakuwa salama? eti Nchi ya viwanda? Kiwanda gani kitastawi Nchi ya ufisadi wa kila aina?
 
Back
Top Bottom