Hahah aisee sijui kuna ukweli hapo
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hivi kwanza kwa lipi pombe afanane na Nyerere..???
Mkuu Nguruvi3 ni bure tu kuwaelewesha wasioelewa....wao wakiambiwa njaa ni yenu...ukimwi ni wenu...majanga yote ni yenu.....huwaga wanashangilia na kupiga makofi[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kwanza nchi haipelekwi kwa jinsi anavyotaka bali kwa mujibu wa sheria. Elewa hilo
Pili, unachanganya kati ya kuwajibika na demokrasia.
Kuwajibika ni suala la usimamizi wa kile kinachopaswa kusimamiwa kwa mujibu wa sheria
Demokrasia ni namna gani wewe unapata uhuru wako kikatiba, unautumiaje katika kusikiliza, kusikilizwa, kushiriki na kushirikishwa katika maamuzi yanayokuhusu kwa mujibu wa sharia
Ni namna wananchi wanavyopata fursa ya kujadili, kujadiliana , kukosoa au kukosolewa ndani ya sharia zilizoanishwa
Huwezi kuzuia uhuru wa habari, kukusanyika, kukosoa au kukosolewa, kunyima haki ya kusikiliza na kusikilizwa ukasema unasimamia demokrasia.
Na wala hayo si mapungufu ya kibinadamu ni mapungufu yasiyotarajiwa
Nyerere hana mfano kwasasa, si kwa waliopita bali anayemkaribia mama yake hajamaliza kindergarten. Nyerere is an icon, statesman, visionary leader and a man of principles
Narudia tena uelewe kwa lugha rahisi, jukwaa litakalomweka Nyerere alinganishwe na mwingine, miti ya kulijengea haijaota na wala shamba la kupanda halijapatikana. Period
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu Saint hebu tufafanulie maana umetuacha njia panda....hatujui mtu ni yupi na kiazi ni yupiMnalingalisha mtu na kiazi?
Mkuu waogopa kupimwa mkojo au ni kipi unachoogopa?Mpk jmn naogopw kuchangia
Hi hiSalamu kwenu,
Katika kipindi cha this week in perspective TBC, Prof Kitila Mkumbo ameasa watu waache kumlinganisha Rais Magufuli na Hayati Baba wa Taifa,rais wa kwanza wa Tz.
Mwalimu alikuwa ni mtu wa mawazo ya kifalsafa na vitendo kwa kufuata taratibu.
Mwalimu hakuwa kidhani na demokrasia.
Amemalizia kwa kusisitiza ni watu wawili wanaopishana kwa ulekeo tofauti.
Ingawa rais anapambana na rushwa,lakini asiibane demokrasia maana ndio pekee itamfanya afanikiwe dhima yake.
Huyu bwana amesema iliyo kweli ama ni vile yupo ACT.?