Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

Tatizo kubwa la Tanzania ni akili ndogo kuongoza akili kubwa, na watu kuchaguana kwa misingi ya uvyama, ukanda, ukabila na udini na si WEREDI wa uongozi kama inavyotakiwa.
Its a vicious circle... watanzania kuwa na uelewa mdogo sana hadi kupelekea kuchagua viongozi kwa misingi ya uvyama, ukabila, ukanda etc ni matokeo ya kuongozwa na akili ndogo... hence uwezo na uelewa mdogo wa watanzania kwenye kila nyanja ni matokeo ya kuongozwa na akili ndogo kwenye kila nyanja kwa muda mrefu...
 
I prefer Prof. Mbarawa kuwa mgombea mwenza wa Rais Magufuli 2020. Mama Samia Salum kuwa mgombea urais Zanzibar baada ya Rais Shein kustaafu Makame Mbarawa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania 2025.
Prof Mbarawa ni very very genius na anafuata nyayo ya Rais Magufuli ni mtu anafaa sana kuwa President wa Tanzania baada ya Rais Magufuli.
 
Kwa hali halisi ya sasa, ni vigumu sana mzanzibar kuwa rais wa muungano. Anaweza kuwa na sifa zooote, lakini being a zanzibari is a disqualification.
Mimi sio Mzanzibari. Nipo Mwanza na Mimi ni Mkristo. Sijaangalia udini wala ukabila kwenye hili. Nimeangalia moyo.
 
Wazo zuri sana ila shida hatuna chombo cha kuwatengeneza na dhamira ya dhati ya kukubali vipaji vya wengine na hata huyo uliyeoona kuwa Presidential material na ukamtaja hata jina lake kwa tabia zetu ninavyozifahamu umeshamwalibia. Wataanza kumchimba Mzanzibari wetu mpaka wanampakaza matope yote.Nchi za wenzetu majuu huwa angalau hata kama hautakuwa Rais lakini wakagundua unafaa kwa vyeo vya juu vikubwa wanaanza kukutengeneza, shule nzuri, unafundishwa diplomasia, rhetoric au jinsi ya kuongea mbele za watu, jinsi ya kujibu maswali nk lakini pamoja na kujiaandaa kwao kote hivi kuna wakati hata wao huwa wanakosea sina UHAKIKIKA KAMA TRUMP aliandaliwa kama PRESIDENTIAL Material na hawa wa kwetu wakati mwingine ni bahati tu.Wanapopigana wengine wakubwa mtu anapenya hapo katikati yao.shida anakuwa Rais wa ghafla kwa hiyo mambo yake mengi atayafanya kighafla ghafla hivyo hivyo na hakuna wa kumlaumu
 
Urais ni taasisi inayotegemea misingi kutoka kwenye katiba, ukiwa na katiba bora na taasisi ya Urais itakua bora.
Misingi ya haki na kuheshimu mihimili mingine itakuepo, kila kiongozi atasimama kwenye nafasi yake na matokeo ndio yatakayomhukumu.
Hii ya kuchagua mtu kutokana na uwezo wake wa kuongea ndio umetufikisha hapa, Magu ni mzuri sana wa kukariri. Watu wakamuona uyu mtu anafaa, hila mpaka sasa tumeona hii nafasi imemshinda na yeye kila uchao anasema alikua ana jaribu tu.
Tumefanya makosa mara nyingi sana, huu ni mda wa kudai katiba mpya.
 
Nnachoona magu hakua presidential material ila kama yeye alivyosema ALIJARIBU AKAPATA!!

nchi za wenzetu mfano russia utaona kabisa putin aliandaliwa tokea akiwa mdogo, hapo kenya uhuru aliandaliwa tokea akiwa mdogo, je magu aliandaliwa lini??

Ndio maana sishangai matatizo tunayopitia maana rais tuliyenaye alijaribu kuomba akapata. ...
 
Na Makonda naye atafaa sana sanaaaaa.. tena katika kuendeleza hapa kazi tu.. na pia bila kumsahau Majaliwa

Hawa wawili wakishika vyeo vya juu baada ya 2025 nchi itazidi kunoga.
Samahan dada angu, ivi nitawezaje kukublock yaani nisiwe naona post zako kabisa maana kila unachoandika ni upuuzi na ujinga tu!! Mods tafadhali msaada kwenye tuta!!
 
Huyu wa sasa sio kabisa....na hata washauri wanashindwa kumshape.

Ndio maana umekuja na justification ndefu.

Hata Msekwa alikataa hoja ya Nkamia kwa kusema kuwa miaka kumi inatosha kuvumilia a none presidential person (kama huyu wa sasa)
Msekwa akiwa anacheka sana alinifurahisha kusema iwapo tutaongeza muda wa kukaa madarakani na tukapata rais katili wananchi wangeumia sana kupata taabu kwa miaka hiyo yote.
 
Back
Top Bottom