Hata Msekwa alikosea kusema miaka 10, mtu akivumiliwa sana ili kuleta amani nchi basi atavumiliwa hiyo mitano kisha atasukumiziwa nje kama alivyo sukumiziwa ndani. Na huo ni utaratibu tuu ulioko kikatiba.Huyu wa sasa sio kabisa....na hata washauri wanashindwa kumshape.
Ndio maana umekuja na justification ndefu.
Hata Msekwa alikataa hoja ya Nkamia kwa kusema kuwa miaka kumi inatosha kuvumilia a none presidential person (kama huyu wa sasa)
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali,
Naanza kwa swali la msingi, Jee Tanzania, Tuanze Utamaduni wa Kuwaspoti Watanzania Presidential Materials, na KuwaGroom ili Tupate Rais Bora, Au Tuendelee Kuwaacha Tuu Yoyote Anayeutaka Urais, Awe Hata Kama Sio Presidential Material?.
Sifa za Urais wa Tanzania.
Nafasi ya urais wa JMT, inashikwa na raia yoyote wa JMT mwenye sifa na vigezo. Tangu JMT imezaliwa mwaka 1964, hadi leo Zaidi ya miaka 53, ni Mtanzania mmoja tuu kutoka Zanzibar, aliyekidhi sifa na vigezo hadi kuweza kuwa rais wa JMT, Wazanzibari wengine wote wenye sifa waliojaribu, hawakuweza kupata kutokana na kuzidiwa sifa na vigezo na wagombea kutoka bara, matokeo yake hadi leo sisi bara ni 4 kwa 1 Zanzibar. Hali hii ilipelekea nikashauri
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT?
Lakini leo, baada ya kumsikiliza Mtanzania huyu ambaye ni Mzanzibari, kiukweli kabisa, nimemkubali sana kuwa ana kidhi sifa na vigezo hadi sifa za ziada za nationalism ya Utanzania kwanza, na ni mzalendo wa kweli, kwa sababu kwa kauli na matendo, amethibitisha pasi shaka kuwa yeye kwanza ni Mtanzania, kisha ni Mzanzibari, wakati kiukweli kabisa, kwa Wanzanzibari walio wengi, wao kwanza ni Wazanzibari kwanza, kisha ndio Watanzania.
Hebu msikilize Prof. Mbarawa.
Tuwachagize Presidential Materials Wagombee?.
Kuna Watanzania wengi wenye sifa za kutuletaa rais bora kabisa, lakini wengine hawana vyama, wengine wala hawauwazi urais, hivyo wanapotokea watu wenye sifa kama Prof. Mbarawa, unaweza kukuta ndio wale type ya watu hawauwazii hata huo urais, lazima wachagizwe, hata katika hao wagombea Zaidi ya 40 wa CCM ile 2015, sio wote waliutaka urais, kuna baadhi walifuatwa na kuchagizwa kwenda kuchukua fomu na kugombea, hivyo mnaonaje wale wote wenye presidential personalities, or presidential materials, tuwachagize waanze kufikiria kugombe.
Hitimisho, Tusisubiri Marais Wajitokee Tuu, Tuanze Kutengeneza Marais.
Kuna kauli isemayo, leaders are born and not made, Mimi ni muumini wa good leaders are made, besides kuwa born, hivyo lets start making our leaders by grooming them to be good leaders. Kwa upande wangu kwa 2020, nimeishamspoti mmoja kutoka upinzani,
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha ...
Na kwa 2025, niliishamspoti mmoja.
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa ... - jamiiforums.com
huyu Prof. Mbarawa ni wapili, tuendelee kuwaibua presidential materials ili kufikia 2025, tupate viongozi bora, japo mimi binafsi niko kwenye lile kundi tunaotaka 2025 katiba ibadilishwe Magufuli aendelee kama nilivyouliza hapa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...
Namalizia kwa lile lile swali la msingi, Jee Tanzania, Tuanze Utamaduni wa Kuwaspoti Watanzania Presidential Materials, na KuwaGroom ili Tupate Rais Bora, Au Tuendelee Kuwaacha Tuu Yoyote Anayeutaka Urais, Awe Hata Kama Sio Presidential Material?.
Jumamosi Njema,
Paskali
Labda huyu muombee ajaribu 2020 afanikiwe akufikirieWanabodi,

Pascal MayallaKwani wa sasa ni "Presidential material" au "alisukumiziwa" na Waliomtaka tu?
Umerudi pale pale kwa akili ndogo kutaka kushauri akili kubwaNa Makonda naye atafaa sana sanaaaaa.. tena katika kuendeleza hapa kazi tu.. na pia bila kumsahau Majaliwa
Hawa wawili wakishika vyeo vya juu baada ya 2025 nchi itazidi kunoga.
Unazani Pascal Mayalla hajamuona mumeo bashitte?Na Makonda naye atafaa sana sanaaaaa.. tena katika kuendeleza hapa kazi tu.. na pia bila kumsahau Majaliwa
Hawa wawili wakishika vyeo vya juu baada ya 2025 nchi itazidi kunoga.
Mkuu una tatizo la uelewaMkuu alisema wasomi ndio wametufikisha hapa tulipo, ni pamoja na hao hao unaowaita Presidential Material vipi utadharau kwamba watu wa Pemba si waelewa ni watu wa vijiweni muda wote lakini akaenda mbali zaidi kwa upande wa Zanzibar akataja na pale darajani Unguja kwamba ni watu wa kupiga soga na wasio na mtazamo mzuri na uelewa wa mambo.
Hichi ni kiashiria tosha cha ubaguzi wa kikanda kama alivyokuwa anajibu kwanini hakutolea mfano maeneo ya kule Tanganyika ambao ndio wapiga soga na vijiwe vingi zaidi kwa nchi ya Tanzania. Wanasema huyu ni Mpemba lakini sasa ameonyesha dhahiri kulewa madaraka na kuwatukana wapemba unafkiri akifika level ya kuwa sasa ni rais itakuwaje?
Mkuu naona mbio za 2020 Zanzibar zimeanza.... Hapa Majaliwa, Kule Mwinyi, hapa Nahodha, kule Pereira. Hapa Masauni, kule Mama AminaWanabodi,
Hili ni bandiko la swali,
Naanza kwa swali la msingi, Jee Tanzania, Tuanze Utamaduni wa Kuwaspoti Watanzania Presidential Materials, na KuwaGroom ili Tupate Rais Bora, Au Tuendelee Kuwaacha Tuu Yoyote Anayeutaka Urais, Awe Hata Kama Sio Presidential Material?.
Sifa za Urais wa Tanzania.
Nafasi ya urais wa JMT, inashikwa na raia yoyote wa JMT mwenye sifa na vigezo. Tangu JMT imezaliwa mwaka 1964, hadi leo Zaidi ya miaka 53, ni Mtanzania mmoja tuu kutoka Zanzibar, aliyekidhi sifa na vigezo hadi kuweza kuwa rais wa JMT, Wazanzibari wengine wote wenye sifa waliojaribu, hawakuweza kupata kutokana na kuzidiwa sifa na vigezo na wagombea kutoka bara, matokeo yake hadi leo sisi bara ni 4 kwa 1 Zanzibar. Hali hii ilipelekea nikashauri
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT?
Lakini leo, baada ya kumsikiliza Mtanzania huyu ambaye ni Mzanzibari, kiukweli kabisa, nimemkubali sana kuwa ana kidhi sifa na vigezo hadi sifa za ziada za nationalism ya Utanzania kwanza, na ni mzalendo wa kweli, kwa sababu kwa kauli na matendo, amethibitisha pasi shaka kuwa yeye kwanza ni Mtanzania, kisha ni Mzanzibari, wakati kiukweli kabisa, kwa Wanzanzibari walio wengi, wao kwanza ni Wazanzibari kwanza, kisha ndio Watanzania.
Hebu msikilize Prof. Mbarawa.
Tuwachagize Presidential Materials Wagombee?.
Kuna Watanzania wengi wenye sifa za kutuletaa rais bora kabisa, lakini wengine hawana vyama, wengine wala hawauwazi urais, hivyo wanapotokea watu wenye sifa kama Prof. Mbarawa, unaweza kukuta ndio wale type ya watu hawauwazii hata huo urais, lazima wachagizwe, hata katika hao wagombea Zaidi ya 40 wa CCM ile 2015, sio wote waliutaka urais, kuna baadhi walifuatwa na kuchagizwa kwenda kuchukua fomu na kugombea, hivyo mnaonaje wale wote wenye presidential personalities, or presidential materials, tuwachagize waanze kufikiria kugombe.
Hitimisho, Tusisubiri Marais Wajitokee Tuu, Tuanze Kutengeneza Marais.
Kuna kauli isemayo, leaders are born and not made, Mimi ni muumini wa good leaders are made, besides kuwa born, hivyo lets start making our leaders by grooming them to be good leaders. Kwa upande wangu kwa 2020, nimeishamspoti mmoja kutoka upinzani,
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha ...
Na kwa 2025, niliishamspoti mmoja.
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa ... - jamiiforums.com
huyu Prof. Mbarawa ni wapili, tuendelee kuwaibua presidential materials ili kufikia 2025, tupate viongozi bora, japo mimi binafsi niko kwenye lile kundi tunaotaka 2025 katiba ibadilishwe Magufuli aendelee kama nilivyouliza hapa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...
Namalizia kwa lile lile swali la msingi, Jee Tanzania, Tuanze Utamaduni wa Kuwaspoti Watanzania Presidential Materials, na KuwaGroom ili Tupate Rais Bora, Au Tuendelee Kuwaacha Tuu Yoyote Anayeutaka Urais, Awe Hata Kama Sio Presidential Material?.
Jumamosi Njema,
Paskali
Yuko vizuri kwa kwel yan hata akiongea unapata clear message kwamba ni nani
Ila wengine wakiongea ...nisiseme tu
Unazani Pascal Mayalla hajamuona mumeo bashitte?
Anajua huyo ni ndo mana kapotezea maana hata ujumbe wa 10x10 ni shida kumpa.
Bora dr. shika atafaa zaid
ITAPENDEZZA SANA
Umerudi pale pale kwa akili ndogo kutaka kushauri akili kubwa
Samahan dada angu, ivi nitawezaje kukublock yaani nisiwe naona post zako kabisa maana kila unachoandika ni upuuzi na ujinga tu!! Mods tafadhali msaada kwenye tuta!!
Umeshaanza kupiga ramli wewe, JPM ulianza mzaha mzaha hatimaye. Ngoja tusubiri 2025. Wazanzibari wananiudhi kitu kimoja, UKARIMU uliopitiliza.Wanabodi,