Its a vicious circle... watanzania kuwa na uelewa mdogo sana hadi kupelekea kuchagua viongozi kwa misingi ya uvyama, ukabila, ukanda etc ni matokeo ya kuongozwa na akili ndogo... hence uwezo na uelewa mdogo wa watanzania kwenye kila nyanja ni matokeo ya kuongozwa na akili ndogo kwenye kila nyanja kwa muda mrefu...Tatizo kubwa la Tanzania ni akili ndogo kuongoza akili kubwa, na watu kuchaguana kwa misingi ya uvyama, ukanda, ukabila na udini na si WEREDI wa uongozi kama inavyotakiwa.
Mimi sio Mzanzibari. Nipo Mwanza na Mimi ni Mkristo. Sijaangalia udini wala ukabila kwenye hili. Nimeangalia moyo.Kwa hali halisi ya sasa, ni vigumu sana mzanzibar kuwa rais wa muungano. Anaweza kuwa na sifa zooote, lakini being a zanzibari is a disqualification.
aiseeeee.Na Makonda naye atafaa sana sanaaaaa.. tena katika kuendeleza hapa kazi tu.. na pia bila kumsahau Majaliwa
Hawa wawili wakishika vyeo vya juu baada ya 2025 nchi itazidi kunoga.
Nimekumbuka mgombea urais kupitia CCM 2015.Pata madaraka tuijue tabia yako vizuri
Huu msemo huu basi tu
Na Makonda naye atafaa sana sanaaaaa.. tena katika kuendeleza hapa kazi tu.. na pia bila kumsahau Majaliwa
Hawa wawili wakishika vyeo vya juu baada ya 2025 nchi itazidi kunoga.
Ha ha ha ha haaaa... Huyu mama anazeeka vibaya.Daah
majaliwa is not intelligentMwinyi mzaliwa wa mkuranga na mbunge wa zamani wa mkuranga
Mwinyi ni wa kutoka pwani bara ,znz bahati mbaya tu 50/50
Ila mbarawa namkubali yupo poa ,
Mbarawa ,majaliwa kwa upande wa ccm ndio wana vigezo angalau 2025 ,wengine wengi kwasasa bado sijaona mwenye sifa
Samahan dada angu, ivi nitawezaje kukublock yaani nisiwe naona post zako kabisa maana kila unachoandika ni upuuzi na ujinga tu!! Mods tafadhali msaada kwenye tuta!!Na Makonda naye atafaa sana sanaaaaa.. tena katika kuendeleza hapa kazi tu.. na pia bila kumsahau Majaliwa
Hawa wawili wakishika vyeo vya juu baada ya 2025 nchi itazidi kunoga.
Msekwa akiwa anacheka sana alinifurahisha kusema iwapo tutaongeza muda wa kukaa madarakani na tukapata rais katili wananchi wangeumia sana kupata taabu kwa miaka hiyo yote.Huyu wa sasa sio kabisa....na hata washauri wanashindwa kumshape.
Ndio maana umekuja na justification ndefu.
Hata Msekwa alikataa hoja ya Nkamia kwa kusema kuwa miaka kumi inatosha kuvumilia a none presidential person (kama huyu wa sasa)