Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

Mkuu naona huna akili kama mkuu wa usalama anayo mafaili yote ya wanasiasa na viongozi wa nchi hii leo unasema eti hakuna shida akijihusisha na siasa akistafu napata shida na akili yako kama ungemsikiliza vema mwandosya usingesema haya unayosema kama juha,Apson amekosea sana anatakiwa naye auawe kama kombe tu.

Kaka usipate shida hapo mwenzio kaongea kinyume. Yani kinafki! Akimaanisha Apson asipoangalia yatamkuta..
 
Mkuu, aliyeongea hapa ni Mwandosya kutokana na athari alizopata toka kwa Apson

Kwa nini baadhi ya wana siasa wanakosa ujasiri wa Mh.Mrema, jamaa huyo akiona jimbo lake linanyemelewa na baadhi ya wana siasa wenzake anawasema bila kuzunguka mbuyu, utamsikia "Mbatia husinyemelee jimbo langu" wanacheka yanakwisha lakini anajuwa message imekwisha tumwa - uwezi kumsikia Mh.Mrema anasema, ooh! we Mbatia unajuwa siri nyingi za wanasiasa wa Mkoa wetu kwa hiyo wewe ni tishio si kwa Mkoa wa Kilimanjaro tu bali Taifa zima.

Mtu kama unajiamini kwamba hukuwahi kufanya madudu siku za nyuma i.e file lako liko spotless unawezaje kumuogopa Mkuu wa Usalama Mstaafu!! Kwani wakuu wa Usalama wakisha staafu hawana haki ya kushiriki mambo ya siasa?? Kuna wa Profesa wangapi wamestaafu alafu wakakimbilia kwenye siasa, wengi tu - wengi wao knows capabilities/weakness za wanafunzi walio wafundisha Vyuo Vikuu ambao wengi wao wana hold key posts Serikalini, je mfanyakazi Serikalini aliyesoma Chuo Kikuu akistaafu na kujiunga kwenye mambo ya siasa ataji-feel jumpy muda wote akihofia Maprofesa wake wasije kusema weakness zake alipokuwa anasoma Chuo Kikuu hivyo kumuharibia ndoto zake za kuwania U-Waziri Mkuu au Ukuu wa Nchi. Mimi naona hiki ndicho kinacho endelea hapa - ila wahusika wanatumia mbinu nyingi za kutaka kujihami na kuwamaliza wenzao kisiasa - kisa 2015.
 
Wacha jamaa aendelee kulialia wagombea wanaendelea kusonga mbele. EL anasonga mbele tatizo liko wapi.
 
Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa Apson amekosea sana kujiingiza kwenye siasa ametia aibu heshima yote aliyokuwa nayo itapotea ngoja kampeni zianze mtaniambia wenyewe,mwandosya kafanya vema.

Acha hizo , Mbona unamhukumu Mzee Apson je? Una unauhakika na Mwandosya? Ujue si kila Profesa ni Msomi wa kweli , heshima ipi inapotea ? inapoteaje?hivi heshima inaweza kupotea kwa maneno ya kupikwa ? Wewe tulia kampeni zikianza sasa watu watampatia Mtihani mwandosya tuone Kama atafaulu ? Hii ni Tz usitabiri ya kesho angalia ya Leo leo,hao wanakesha wakichafua watu Kamati kuu ya CCM ipo ndio mwamuzi .
 
Kaka usipate shida hapo mwenzio kaongea kinyume. Yani kinafki! Akimaanisha Apson asipoangalia yatamkuta..

Siasa za Enzi zile si siasa za sasa , Kama mnadhani yalikuwa huko ,usidhani na sasa yatakuwepo Dunia umebadilika , uhuru wa kuchagua ni mkubwa sasa ,Acheni Utabiri wenu.
 
First lady hajakosea kutuletea Membe?

Hapo ndipo wamebugi kinoma ! Huyo jamaa hana Mvuto kabsa Pia ni bingwa wa kuchafua wenzake, huku akiwa kasahau Kuwa na yeye si Msafi hata tone, kwanza Pesa ya Marehemu Gadafi ameichukuchia ngoja kampeni zikianza watu wataenda hadi Libya kuwaita waje kumdai pesa za Gadafi ,asijidanganye Kuwa ataingia ikulu kwa njia za kuwachafua watu.
 
Michepuko nayo isiingiye kwenye siasa?

Maana nao, wanajua siri nyingi za ndaaani kabisa, aiseeeeeeh !

Mwandosya Mbona kitambo yupo kwenye Michepuko ! Kampime DNA nape kwanza .
 
Mi nadhani iwe fundisho kwa viongoz wandamiz wa vyombo.vya Ulinzi.na Usalam kujiepusha na mambo ya siasa. Sasa unaona, ex Inteligency jina linatajwa tajwa tu kiholela, inabidi wahusika walijue hilo. Matokeo yake jina linakuwa tarnished kwa mambo ambayo hayana maana kabisa.
iwe fundisho kivipi? Kwani unaamini alichosema Mwandosya? Hivi haujui Kuwa mwandosya anatafuta pa kutokea? Sasa atatokaje ? Kaamua kutoka kwa kutumia jina la Mzee APSON ili apate chati,kasahau Kuwa yeye na mwenzake Membe nao wana Madhambi Yao Tele watu wameamua kuuchuna kwanza, tambua Kuwa Profesa maji marefu ni mjanja kuliko profesa Mwandosya kutokana na mbinu anazotumia kutoka.
 
Mkuu, wewe unajisumbua tu kujiaminisha hayo. Ni wananchi ndio wataamua Rais ajaye. Si Membe wala Lowasa ambaye ni chaguo la wananchi.

Kama kweli unajua wananchi Ndio wataamua kwa nini umeamua kuwatumikia akina Membe na mwandosya kumchafua Mzee Apson ? Sijui kwa nini kambi yenu mna Mchecheto hv ! Mnaogopa nini ? Mbona kutwa mnakesha na kushinda mkiwachafua wapinzani wenu? Tambua Membe alichukuchia Mapesa ya Libya Pia Ana madhambi mengi watu wanayajua sana hapa wanamsubiri kampeni zianze waende Libya kuwaita Waje kumdai nk ,msijione Kuwa mpo Saafi na Kuwa mnachafua watu.
 
Hahahahahaha kaka hawa watu watapata pressure aisee..... Membe hauziki hata kwa dawa, bila shaka umefikisha ujumbe vizuri kabisa

Ni rahisi kwa Tembo kupenya kwenye Tundu la sindano kuliko Membe Kuwa Rais wa Tz .
 
Huu uzushi wa Mwandosya na mwenzake membe wasidhani Kuwa utawasaidia kuingia ikulu kirahisi , pale si pa kuingia kwa kupika majungu,fitna na kuchafuana ,watu wanataka Sera na mtu mchapa kazi ,mwenye kutekeleza kwa vitendo ahadi zake, watu hawataki kusikia Rais wao kesho anakuja Kudaiwa pesa ya Marehemu Gadafi na kuleta aibu kwa Taifa,watu wanata Rais mwenye mvuto.
 
Mie nimeshangaa sana kwa huyu Mzee kuamua kuingia kwenye mtandao wa Lowassa kuelekea 2015. Madhambi yake aliyoyafanya katika awamu ya tatu yanaweza kuanikwa hadharani ili kuendelea kumchafua Lowassa ambaye hasafishiki. Tusubiri tuone watakapoanza kuparuana kama kutakuwa na msalie mtume au itakuwa jicho kwa jicho.

Pesa, hasa inayopatikana kwa njia ya uhalifu, kwa watu wenye madaraka makubwa inawajengea kiburi fulani hivi.
Ningekuwa Apson ningekaa kimya kuliko kuja kuumbuka, maana watu tunajiuliza akiwa Mkurugenzi TISS alifanya biashara gani hadi kutajirika hivyo?
Kuna matajiri wakubwa kama Bakhressa ambao wako kimyaa!!
 
Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa Apson amekosea sana kujiingiza kwenye siasa ametia aibu heshima yote aliyokuwa nayo itapotea ngoja kampeni zianze mtaniambia wenyewe,mwandosya kafanya vema.
unamaanisha Mwandosya ndio ka conclude?
 
Mwandosya acha uwoga, Unapojiingiza katika siasa, siri zako zote 97% zitaanikwa
 
Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa Apson amekosea sana kujiingiza kwenye siasa ametia aibu heshima yote aliyokuwa nayo itapotea ngoja kampeni zianze mtaniambia wenyewe,mwandosya kafanya vema.

Kale michembe na uji wake ndugu yangu,utamkubali tu pamoja na Maembe wenu.
 
Back
Top Bottom