Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

Prof. Mark Mwandosya Amlipua Apson Mwang'onda Bungeni

Ukiona jina la mtu linaanzia na herufi Mwa...... basi usipate shida juwa huyo ni Mnyakyusa hawa ni wakabila mno lakini hawavumi.

Matola kutokana na nyuzi zako humu janvini unaonekana una busara kidogo hivyo si vyema kugeneralize mambo, hao wakina Mwapachu, Mwamoyo , Mwampashe ni wanyakyusa kama unavyotaka tuamini? Kuhubiri mambo ya ukabila ni upunguani.!!
 
Vipi kina mwajuma ,mwanaisha,mwanahawa, Mwanaabas n.k??????
 
Matola kutona na nyuzi zako humu unaonekana una busara kidogo hivyo si vyema kugeneralize mambo, hao wakina Mwapachu, Mwamoyo , Mwampashe ni wanyakyusa kama unavyotaka tuamini? Kuhubiri mambo ya ukabila ni upunguani.!!
Nakubaliana na wewe Mkuu. Tuna akina Mwajabu, Mwamtumu, Ummy Mwalimu, Mwanahamisi ambao si wanyakyusa
 
Matola kutokana na nyuzi zako humu janvini unaonekana una busara kidogo hivyo si vyema kugeneralize mambo, hao wakina Mwapachu, Mwamoyo , Mwampashe ni wanyakyusa kama unavyotaka tuamini? Kuhubiri mambo ya ukabila ni upunguani.!!

Vipi kina mwajuma ,mwanaisha,mwanahawa, Mwanaabas n.k??????

Nakubaliana na wewe Mkuu. Tuna akina Mwajabu, Mwamtumu, Ummy Mwalimu, Mwanahamisi ambao si wanyakyusa

Hapo Mkuu Matola kachemka sana

Point yangu ni kwamba mtetezi wa Mwandosya ni mnyakyusa na inajulikana wazi majina mengi na kinyakyusa yanaanzia na Mwa, ukibisha hili basi una lako na si kila Abdalah ni mwislam lakini inajulikana wazi hayo ni majina ya jamii ipi.

Turudini kujadili mada husika sasa Mwandosya now days ameonesha unafiki wa waziwazi kabisa utadhani siyo Profesa.
 
Mkuu Matola, una kila sababu ya kujichunguza Mkuu!! Sio Matola niliyemfaham hapa JF!! Matola wa JF alikuwa ni mmwaga 'madini'!! Yaani siku hizi Mkuu sijui umepatwa na nini!! Udini ukabila hayo waachie misikule ya Lumumba bhana!! Ni ushauri tuu Mkuu!!
 
Sikulazimishi kukubaliana na mimi, kama hujui Wanyakyusa wana ukabila hilo ni tatizo lako.
 
labda wanasiasa nao wastaafu miaka 60. kwanza abson hajatangaza kugombea chochote kwenye siasa. kama inaonekana anamuunga mkono mgombea mmojawapo au hata kugombea mwenyewe kikatiba ni haki yake. kama akitaka kugombea mwenyewe urais inawezekana kumzuia kutumia ujuzi na uzoefu alio nao? wapo wastaafu wa ngazi yake huko nyuma wamegombea ubunge etc kwa nini alaumiwe yeye? inaelekea mwandosya anatumia bmk kujisafishia njia 2015.
Mwandosya bado ana ndoto za kugombea Urais licha ya Hali yake ilivyo sasa kutoruhusu Kuwa na ndoto hiyo,sasa katafuta Kiki ya kumrejesha kwenye ndoto yake kaamua kulitumia jina la APSON ili kusaka Huruma kwa wadau, mwandosya jaribu kuja na staili mpya hii ya kusaka huruma kwa visingizio feki haitamsaidia kupata Kiki.
 
Mkuu, kwa mujibu wa Chabruma, huo ni mchango wa Mwandosya katika kuboresha Katiba Mpya

Sasa Mkuu kama unakubaliana naye basi na hawa viongozi wa kijeshi amabo ni wakuu wa Mikoa na wilaya wantakiwa waende wakalime na sio kujihusisha na ajira mpya amabayo ni tofauti na fani zao.

Unazungumziaje Gen.Mbona kuwa Chairman Kwenye Bodi kama ya Tanesco?
 
Mwandosya hii staili yako ya kusaka huruma ya wananchi kwa Visingizio Feki Sidhani Kama itakusaidia kuwashawishi wajumbe wa NEC wakuunge Mkono na hatimae jina lako lipitishwe kugombea Urais, buni mbinu mpya hii watu wamekushitukia .
 
Wadau, akitoa mchango wake wakati wa mjadala wa sura za Rasimu ya Katiba, Waziri Prof Mark Mwandosya amewataka wakuu wa vyombo vya dola kujiepusha na siasa pindi wanapostahafu kwenye utumishi. Anasema kuwa wakuu hao wa vyombo vya dola hususan Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa Polisi wakiwa wakiwa kwenye nyadhifa zao wanamiliki mafaili, Dossier za wanasiasa wote. Hali hiyo inawaweka kwenye position ya kuwajua in and out wanasiasa wote hususan wale wanaotarajia kugombea nafasi za juu hasa ya Urais.

Mwandosya anasema kuwa kitendo cha Wakuu hao baada ya kustahafu kujihusisha na siasa kwa kuamua kugombea nafasi za kisiasa au kuwaunga mkono baadhi ya wanasiasa wanaogombea nafasi za kisiasa kunawaweka kwenye nafasi ya kukiuka maadili ya kazi zao. Anasema kuwa ijapokuwa wanapostahafu wanaacha mafaili ofisini, wanaondoka na kumbukumbu moyoni.

Pia anasema kuwa wakuu hao bado wanakuwa na mahusiano na watumishi waliopo hivyo inakuwa ni jambo jepesi kwao kujijenga au kumjenga mtu wanayemuunga mkono kupitia watumishi wa vyombo hivyo wenye mahusiano mema nao. Pia anasema kuwa wakuu hao wanaweza kumbomoa adui wao kirahisi kwa kwa sababu hizo hizo.

Ijapokuwa Prof Mwandosya hakutaja moja kwa moja majina ya anaowalenga, lakini kwa mtiririko wa matukio ya hivi karibuni, anamlenga Apson Mwang'onda. Kwa nini nimefikia hitimisho hilo? Kwa siku kadhaa nimekuwa nikiripoti taarifa zinazomhusu Apson Mwang'onda akijihusisha na Mtandao wa Lowasa.

Kwamba, Apson Mwang'onda ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wezesha Lowasa aende Ikulu na kwamba amekuwa akifanya vikao na wanasiasa kadhaa wanaomuunga mkono Lowasa. Vikao hivyo vimekuwa vikifanyika nyumbani kwa Apson na Mtoto wake Jimmy ambavyo pia vimekuwa vikihusisha matumizi ya kiasi kikubwa cha fedha. Apson Mwang'onda amesikika akisema kuwa yeye kwa sasa ni mstahafu hivyo si tatizo kwake kujihusisha na siasa.

Kilio cha Mwandosya hakikuanza leo. Katika Kitabu alichoandika kijulikanacho Sauti ya Umma ni Sauti ya Demokrasia, Prof Mwandosya ameeleza jinsi alivyohujumiwa na baadhi ya watendaji wa serikali na chama na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda. Katika kitabu hicho, Profesa Mwandosya ametaja mlolongo wa viongozi na watendaji wa serikali katika kitabu hicho, miongoni mwa majina hayo limo la Apson.

Katika kitabu hicho Profesa Mwandosya anasema kuwa alipekewa ujumbe na mzee Jimmy David Ngonya kwamba amekuwa anamlaumu Apson kwamba hakumuunga mkono katika harakati za kuwania urais mwaka 2005, jambo ambalo alisema ni hoja iliyofinyangwa kimkakati ili kujenga uhalali wa kumwandama na kumhujumu katika harakati za kuwania nafasi ya NEC kwa mkoa wa Mbeya mwaka 2007.

Katika kinyang’anyiro cha nafasi ya NEC mkoa wa Mbeya Profesa Mwandosya alipambana na Thom Apson Mwang’onda ambaye 2005 alikuwa kambi yake katika kuwania tiketi ya urais kupitia CCM. Katika kitabu hicho Profesa Mwandosya, anaelezea jinsi alivyofanyiwa fitna, hujuma na kila aina ya mizengwe wakati wa mchakato wa uchaguzi kwa mwaka 2007 mkoani Mbeya.

Katika ukurasa wa 21, ameelezea baada ya Chimwaga, siku moja aliyekuwa naye karibu sana Mwalimu Jimmy David Ngonya alimtembelea nyumbani kwake Kibisi Tukuyu mwaka 2006, na kumpa ujumbe wa Apson ambao alimpa baada ya kufanya naye mazungumzo katika hoteli ya Land Mark iliyopo mjini Tukuyu.

Katika kitabu hicho pia ukurasa wa 141 wa Profesa Mwandosya anaeleza taarifa alizopata za matumizi makubwa ya fedha katika uchaguzi wa nafasi ya NEC mkoa wa Mbeya. “Makadirio ya fedha walizotumia yalikuwa kati ya Sh. milioni 300 hadi bilioni moja,” anaeleza Profesa Mwandosya kwenye kitabu hicho wakati akielezea mchuano ulivyokuwa katika kinyang’amyiro cha ujumbe wa NEC mkoa wa Mbeya. Anasema kuwa katika mazingira ya matumizi makubwa ya fedha ulikuwa ni ushindani kati ya ‘Goliati’ mwenye fedha na ‘Daudi’ asiye na fedha.

Mwandosya anasaka KIKI kwa staili ya kizamani,akina Membe wanahaha sasa wameamua kumtanguliza Mwandosya awasakie huruma za wananchi kwa visingizio feki, Hizo mbinu zenu zemefeli Kama si kuchelewa saaana ! Kumbuka hizi mbinu za siasa za maji Taka zinamsaidia kumpa Prom EL kuliko wanavyotarajia .
 
Tufuate ushauri wa amwandosya

Mbona huyu Mwandosya hakusema Kitine ambaye pia alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa alipokuwa Waziri katika serikali ya Mkapa? Na hao wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ambao ni wanajeshi wastaafu je? Mbona hawasemi? Tatizo hapa ni hofu kuwa Mwandosya hata afanyeje hatakuwa Rais. Na anaujua vizuri uwezo wa Apson kupambana. Apson si mwajiriwa tena. Ni Mtanzania kama wengine mwenye uhuru rasmi sasa wa kufanya siasa ili mradi havunji Sheria za za nchi. Hatafuti pesa kule. Anajitosheleza.
 
Eeeh leo Mwandosya ndiyo anaona umhimu huo kwakuwa maslahi yake yameguswa. Mbona hajagusia askari wanaopewa vyeo vya kisiasa kama DC, RC n.k. CCM acheni ubinafsi tulitakiwankuwa na katiba mpya ya maana ili upuuzi huo wote utoke sasa mmechakachua rasmu mnaanza kutafuta mchawi
Kesi ya Apson Ni tofauti na hao uliyowataja, nadhani unakumbuka soo ya mstaafu General Amran Kombe na kambi ya Mrema yaliyomkuta unayajua, Apson is backing an individual, ila hao RC,DC,Balozi, etc are backing the whole system,Hans Kitime mkuu wa kwanza wa system hio alikuja kivyake kama mgombea ubunge japo hakuendelea, ila njia ya Mzee Apson si yenyewe, alitakiwa aje mwenyewe na si kushiriki kuleta mtu,
 
Mkuu wa mtaa wa wekundu, hapa unachanganya, linganisha ujio wa Kitine kwenye system na ujuo wa Amran Kombe. Apson Ni Sawa na Kombe, ila Kitine alikuja kivyake na hao DCs,RCs na wengine Ni wateuliwa tu. Tusichanganye
Mbona huyu Mwandosya hakusema Kitine ambaye pia alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa alipokuwa Waziri katika serikali ya Mkapa? Na hao wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ambao ni wanajeshi wastaafu je? Mbona hawasemi? Tatizo hapa ni hofu kuwa Mwandosya hata afanyeje hatakuwa Rais. Na anaujua vizuri uwezo wa Apson kupambana. Apson si mwajiriwa tena. Ni Mtanzania kama wengine mwenye uhuru rasmi sasa wa kufanya siasa ili mradi havunji Sheria za za nchi. Hatafuti pesa kule. Anajitosheleza.
 
Eeeh leo Mwandosya ndiyo anaona umhimu huo kwakuwa maslahi yake yameguswa. Mbona hajagusia askari wanaopewa vyeo vya kisiasa kama DC, RC n.k. CCM acheni ubinafsi tulitakiwankuwa na katiba mpya ya maana ili upuuzi huo wote utoke sasa mmechakachua rasmu mnaanza kutafuta mchawi

Heri wewe umesema, kula tano!
Tena hawa ma RC na ma DC wanakuwa ndio wenyeviti wa kamati za siasa za chama katika mkoa au wilaya husika!
 
Mbona huyu Mwandosya hakusema Kitine ambaye pia alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa alipokuwa Waziri katika serikali ya Mkapa? Na hao wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa ambao ni wanajeshi wastaafu je? Mbona hawasemi? Tatizo hapa ni hofu kuwa Mwandosya hata afanyeje hatakuwa Rais. Na anaujua vizuri uwezo wa Apson kupambana. Apson si mwajiriwa tena. Ni Mtanzania kama wengine mwenye uhuru rasmi sasa wa kufanya siasa ili mradi havunji Sheria za za nchi. Hatafuti pesa kule. Anajitosheleza.
Mwandosya anazeeka Vibaya Hana Hoja yaani anasikitisha ! Hii mbinu yake ni Analogia sana ,Mziki wa Lowasa una-mwewewesesha balaa ! Mfa maji haishi kutapa tapa , Mwandosya kajiandae Kuwa mkulima hizi Siasa za Digtal huziwezi nafasi yako pekee ilikuwa 2005 sasa ni wakati wa wajenga Nchi kuingia ikulu.
 
Sikulazimishi kukubaliana na mimi, kama hujui Wanyakyusa wana ukabila hilo ni tatizo lako.

Matola hawa jamaa wanyakyusa hawana ukabila. Ila hupenda kuongea lugha yao hata wakiwa sehemu ambayo wao ni wachache. Wanyakyusa walishawahi kusemwa wana ukabila kupitia Mwaikambo na Nsekela, lakini baada ya hapo mengine ni historia. Wanyakyusa si wepesi wa kusaidiana. Wanafanana na wahehe. Wanapenda mkuu wa kaya kijijini awe mmoja. Hawapendi kuinuana.
 
Last edited by a moderator:
Kesi ya Apson Ni tofauti na hao uliyowataja, nadhani unakumbuka soo ya mstaafu General Amran Kombe na kambi ya Mrema yaliyomkuta unayajua, Apson is backing an individual, ila hao RC,DC,Balozi, etc are backing the whole system,Hans Kitime mkuu wa kwanza wa system hio alikuja kivyake kama mgombea ubunge japo hakuendelea, ila njia ya Mzee Apson si yenyewe, alitakiwa aje mwenyewe na si kushiriki kuleta mtu,

Hivi Hans Kitine na Laurence Gama ni nani mkurugenzi wa kwanza wa usalama wa Taifa?
 
Amran Kombe (aliyekuwa mkurugenzi wa Usalama wa Taifa) naye alijihusisha na siasa hasa alikuwa na Mrema na kumpa siri mbalimbali inasadikiwa hata bomu la million 900 enzi hizo Mrema alipata datails kutoka kwake na alikuwa ameshastaafu.
Lakini kwa bahati mbaya mapolisi waliomfuatilia kutoka Dar walimuua maeneo ya Maili sita moshi wakidhani alikuwa ni jambazi, ijapokuwa Kombe alijisalimisha kwa kuinua mikono yake juu lakini aliuwawa. Na hao maaskari waliomuaa waliachiwa kwa msamaha wa raisi....wengine wanasema waliachiwa kipindi cha Mkapa wengine kipindi cha Kikwete. Maoni yangu hapa ni kwamba anaweza tu kujihusisha na siasa kama Kombe alivyojihusisha na siasa baada ya kustaafu kwani hamna shida kabisa
.
 
Back
Top Bottom