Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
Ni kweli Mkuu hakuwa na uhakika. Ila message tunayopata hapa ni kwamba kulikuwa na matumizi makubwa ya fedha. Swali la kujiuliza ni kwamba Thom Mwang'onda alipata wapi fedha hizo? Na je kwa nini madaraka utafute kwa kiasi kikubwa cha fedha?
Umeshawahi kujiuliza JK madaraka aliyapataa kwa kiasi gani? na pesa alizitoa wapi? au kuny.a any.e kuku peke yake?