mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,170
Hapo sasa maccm yanapotoana ngeu kabla hata chakula hakijapakuliwa, walafi ni walafi tu hata wakihisi harufu mate yanawatoka, Joka la Mdimu linapelekeshwa kweli kweli, sie CDM tunagoja watwangane vichwa tupite kiulaini