Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Binafsi Membe, Lowasa na makuwadi wao nawaona kama wanatuchafulia nchi yetu tuKale michembe na uji wake ndugu yangu,utamkubali tu pamoja na Maembe wenu.
Binafsi Membe, Lowasa na makuwadi wao nawaona kama wanatuchafulia nchi yetu tuKale michembe na uji wake ndugu yangu,utamkubali tu pamoja na Maembe wenu.
Ndg Anjo,ulihitaji kuiangalia hoja ya Mwandosya na uielewe vizuri.SO, WHAT??
Kama ana faili zao za uchafu awaache waingie IKULU? Kwa sababu alizotoa Prof. Mwandosya (ninayemuheshimu sana) itakuwa vyema kuwaruhusu watu kama Apson kuingilia kwa kuweka sawa mambo isipokuwa wasiruhusiwe kugombea.
Kinachoonekana ni kutaka kuingia IKULU na uchafu!
Anjo
Mkuu, kuna watu ama ni mataahira au wanatumika vibaya na mafisadi. Huyu Anjo ni mmoja wapoNdg Anjo,ulihitaji kuiangalia hoja ya Mwandosya na uielewe vizuri.
Profesa maji Marefu ni mjanja kuliko profesa Mwandosya , kwanza baada ya kuugua Taaluma yote aliyosoma ilfutika kichwani pengine kasalia na STD 7 tu ,si unajua sasa kazeeka vibaya na kile alichokisomea hakifanyii kazi hivyo Taaluma yake aliyosomea keshaisahau hata akipewa mtihani wa Darasa la 7 wa Juzi atafeli tu. chezea Elimu ya Tz wewe......
In this country most of our leaders are extremely selfish. Akina mwandosya et al.....hawana lolote..ni kwa sababu wanaona maslahi Yao yameguswa..sijawahi kuona even a single day Hawa Hawa wakipambana tupate katiba bora tujenge misingi Imara ya demokrasia na haki/ fursa sawa kwa wote.ndo watetezi maarufu wa status quo.
By the way wanaomponda Apson...they are not doing so kwa sababu kweli they love our country au wanaona anachokifanya Apsoni si sahihi....in fact wako Kambi nyingine...well..probably membe...I mean taifa let tumekuwa selfish sana....na yote hayo ni kupenda mkato na kula bila jasho.
Mkuu, kuna watu ama ni mataahira au wanatumika vibaya na mafisadi. Huyu Anjo ni mmoja wapo
Kuna anaye tumika vibaya kama nyie vijana wa Membe....Kama juzi mumemfanyie rais udakuzi kwenye maongezi yake then mnaweka kwenye mitandao (kijana wenu SALUM HAPPY) huku mkishindwa kutambua kuwa kumfanyia rais udakuzi ni uhaini mkubwa sana. yaani nyie na kambi yenu hiyo azimo kabisa.
Kaka Masanja umenenaHawa wazee na makuwadi wao wakishatoka kwenye system...ndo wanaanza kulialia..kwamba wanachezewa rafu..yet walivyokuwa madarakani..walikuwa wanaona Kama watakaa hapo milele....pathetic.....
Kaka, huyo Ocampo four ni kibaraka wa Lowasa. Ndo wanaotumika na Apson kumpamba Lowasa mitandaoni. Fuatilia tu mijadala anayoanzishaudakuzi ndiyo kitu gani na wewe mwehu au unataka kusema udukuzi?
Eeeh leo Mwandosya ndiyo anaona umhimu huo kwakuwa maslahi yake yameguswa. Mbona hajagusia askari wanaopewa vyeo vya kisiasa kama DC, RC n.k. CCM acheni ubinafsi tulitakiwankuwa na katiba mpya ya maana ili upuuzi huo wote utoke sasa mmechakachua rasmu mnaanza kutafuta mchawi
Mkuu, kuna watu ama ni mataahira au wanatumika vibaya na mafisadi. Huyu Anjo ni mmoja wapo
Kwani hizo faili unajua zilipo na zinavyotunzwa? Mambo mengine ni zaidi ya uwezo wakoKutoa lugha ya matusi haitaondoa ukweli!
IKULU ni mahali pa watu walio wasafi. Sihitaji kumtetea "mtangaza nia ya urais" yoyote.
Ninachokiangalia hapa ni mantiki ya kuingia huko "ukubwani".
Hivi kwa maoni yenu (mliotumia lugha chafu) mnataka kiongozi aingie IKULU bila kumfahamu ipasavyo? Kama faili za watu hazina matatizo kwa nini wanakuwa waoga zikifunguliwa? Bila shaka zingekuwa hazina matatizo wasingepiga kerere!
Kelele zinaletwa na kutojiamini na kujijua kuwa zikifunguliwa wataumbuka.
Inawezekana Mwandosya hana matatizo ila akawa anatoa angalizo. Tatizo la angalizo ni kuweza kuleta mianya ya watu wachafu kuingia IKULU.
Anjo
Mwandosya hajasoma chuo bongo na alikuwa na akili sana , ila ndiyo ccm imeshamuharibu hatumii tena ubongo kufikiria sasa hivi.Profesa Bongo? Si unawaona ma-profesa akina Kapuya vitendo vyao ! Ujue Tanzania kila Jambo linawezekana,Hapa Tz Mtu anaweza kusoma kwa kuiba mitihani au kununua mitihani kuanzia std 7, form 4,Six,chuo kikuu ,degree,masters,phd hadi huo Uprofesa.Elimu ya Tz ni ya Ujanja ujanja tu, ni wachache sana wenye Taaluma na Elimu Harisia .jaribu kujiuliza ufanisi wa kazi wa Maprofesa wa Tz linganisha na watu wenye Elimu ya kawaida utapata jawabu. Mwandosya Nadhani ni aina ya wasomi wale waliosoma kijanja -janja na kujiita maprofesa wakiwa hawana Tofauti Profesa Maji marefu.
Mwandosya hajasoma chuo bongo na alikuwa na akili sana , ila ndiyo ccm imeshamuharibu hatumii tena ubongo kufikiria sasa hivi.
He,anatumia nini mkuu kufikiri??Mwandosya hajasoma chuo bongo na alikuwa na akili sana , ila ndiyo ccm imeshamuharibu hatumii tena ubongo kufikiria sasa hivi.