OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Mkuu vipi hajazungumzia mgombea wenu anayeletwa na WAMA... Nafkiri ni jambo la msingi aongeze page moja ili akemee mke wa rais kutuletea mgombea ambaye kamwe hawezi kushnda hata kwa dawa
Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa Apson amekosea sana kujiingiza kwenye siasa ametia aibu heshima yote aliyokuwa nayo itapotea ngoja kampeni zianze mtaniambia wenyewe,mwandosya kafanya vema.
Salamu zimfikie mzee Apson popote alipo na washirika wake.
Kaka, kwani First Lady ni Mkurugenzi au Mkuu wa chombo cha Dola? Au mstaafu?First lady hajakosea kutuletea Membe?
Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa Apson amekosea sana kujiingiza kwenye siasa ametia aibu heshima yote aliyokuwa nayo itapotea ngoja kampeni zianze mtaniambia wenyewe,mwandosya kafanya vema.
Je kina Tibaigana na Mboma haiwahusu wao? au kwa kuwa hawapo upande wa Lwaigani?
Ushauri wako umejaa busara ya hali ya juu sana. Kama wahusika watasikia na kuuzingatia, itakuwa jambo jema sanaMi nadhani iwe fundisho kwa viongoz wandamiz wa vyombo.vya Ulinzi.na Usalam kujiepusha na mambo ya siasa. Sasa unaona, ex Inteligency jina linatajwa tajwa tu kiholela, inabidi wahusika walijue hilo. Matokeo yake jina linakuwa tarnished kwa mambo ambayo hayana maana kabisa.
Ni kweli Mkuu hakuwa na uhakika. Ila message tunayopata hapa ni kwamba kulikuwa na matumizi makubwa ya fedha. Swali la kujiuliza ni kwamba Thom Mwang'onda alipata wapi fedha hizo? Na je kwa nini madaraka utafute kwa kiasi kikubwa cha fedha?
Hivi ni nani anakudanganya kuwa Membe na Lowasa ndo wagombea pekee ndani ya CCM? Mbona wapo wengi tu?kaka utaona na kusikia mengi safari hii........Lowassa anawatoa nyongo ila wana miss point ndogo sana kuwa Membe hauziki kwa namna yoyote ile.
joka la mdimu linatapatapa limeshagongwa kichwa
hapana chezea laigwan ngoyaiiiii
Mkuu, aliyeongea hapa ni Mwandosya kutokana na athari alizopata toka kwa Apson
Kaka, kwani First Lady ni Mkurugenzi au Mkuu wa chombo cha Dola? Au mstaafu?
Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa Apson amekosea sana kujiingiza kwenye siasa ametia aibu heshima yote aliyokuwa nayo itapotea ngoja kampeni zianze mtaniambia wenyewe,mwandosya kafanya vema.
Labda kama na wewe unapata vijiweni. Ila ukweli ni kwamba hata huyo Membe hatoshi kwenye hiyo nafasiFirst lady Sii ndiyo anawaminisha kuwa joka la mdimu anakuwa rais......wakati Membe hauziki vijiweni wanakuambia bora hata Kigwangala kuliko huyo jamaa
Labda hao wengine wameamua kuwa wakulimaMalaika huo ndio ukweli wastaafu ni wengi ajabu anatajwa mmoja
Hivi ni nani anakudanganya kuwa Membe na Lowasa ndo wagombea pekee ndani ya CCM? Mbona wapo wengi tu?