Mkuu, kwa mujibu wa Chabruma, huo ni mchango wa Mwandosya katika kuboresha Katiba MpyaKwa kuwa hakuna sheria inayowabana wastaafu hao then huo ni ushauri wake tu ambao ningependa UPUUZWE.
Alikuwa wapi kina Tibaigana walipojitosa kwenye ubunge.
Huyu mzee hana lolote kwa sasa angoje kufa tu afya yenyewe spana mkononi.
Mkuu, kwani umesikia Mwandosya anataka kugombea tena?Mimi nazan kinachomtisha mwandosya ni system ambayo yeye kw kuwa hana historia ndefu na utumishi na chama ameshindw kupata uungwaji mkono na sasa anaogopa kuukosa uraisi kwa mala ya tatu.
Kwa kuwa hakuna sheria inayowabana wastaafu hao then huo ni ushauri wake tu ambao ningependa UPUUZWE.
Alikuwa wapi kina Tibaigana walipojitosa kwenye ubunge.
Huyu mzee hana lolote kwa sasa angoje kufa tu afya yenyewe spana mkononi.
Busara ni pale mtu mjinga anapokosa cha kuandika huamua kukaa kimya. inabaki siri yake. kuliko ukatumia muda wako kukashifu michango yenye tija kwa Taifa
Kama huo mchango unatija kwako uchukue lakini hautabadilisha kitu kwa sasa.
Hiyo tija kwa taifa ameiona leo?
Weka basi busara zako nizione maana sioni mahali ulipochagia zaidi ya kuninukuu au ndo umeamua kuficha vyote (Busara na Upumbavu wako)
Being wise means calling things by their real names upo hapo? na kutofautiana kwa hoja sio ujinga bali
kukubaliana.
Mkuu, kwa mujibu wa Chabruma, huo ni mchango wa Mwandosya katika kuboresha Katiba Mpya
Je kina Tibaigana na Mboma haiwahusu wao? au kwa kuwa hawapo upande wa Lwaigani?
Ukiona jina la mtu linaanzia na herufi Mwa...... basi usipate shida juwa huyo ni Mnyakyusa hawa ni wakabila mno lakini hawavumi.
Kwwni katika nchi hii watu wote ni wanasiasa?Mchango wa kuwanyima wastaafu haki zao za msingi?
Kwa hoja alizotoa bora apuuzwe tu hazina mashiko.Sana Sana anawewesekea makundi ndani ya chama chake.
Mimi nilisema tangu mwanzo kuwa Apson amekosea sana kujiingiza kwenye siasa ametia aibu heshima yote aliyokuwa nayo itapotea ngoja kampeni zianze mtaniambia wenyewe,mwandosya kafanya vema.
Mkuu, nadhani upo nje ya tukio. Mwandosya alikuwa akitoa mchango wake kwenye bunge maalum la KatibaWenye digrii za sheria nijuzeni, Kwani sheria inasemaje kuhusu wastaafu kama Apson kujiunga na siasa? wanakatazwa?
Mtu akisema kweli lazima apongezweKwa hiyo Mwandosya ni Malaika kwamba analosema ndo sahihi?
Kweli bora kuwa mtumwa kuliko kuwa mjinga!