#COVID19 Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania

Hapa ndiyo uwe hatua kubwa kufikia na kuwatambua wataalamu wa ndani waliyoweza kubuni na kutengeneza chanjo ili wapewe heshima. Je wametumia new chemical composition ipi ambayo haijawi tokea popote duniani?
 
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.

Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.

Source: ITV habari
Marekani na WHO wakiikataa?

Nani kawapa ruhusa?
Johnson na johnson nani azinunie?
 
Very good Dr. Makubi kwa jitihada na bidii katika kazi.
Lakini isije ikawa kama ambavyo Club moja kubwa nchini ilivyochukua copy ya jezi ya timu fulani na kuweka nembo yake.
 
Back
Top Bottom