Ulitaka hiyo mifugo iachiwe kwa masharti gani..?Katika siku zote leo ndio nimekuona kichwa! hongera sana mkuu
hata mimi nimeshangaa ile taarifa ya kuachiwa kwa mifugo bila masharti yoyote
Ulitaka hiyo mifugo iachiwe kwa masharti gani..?Katika siku zote leo ndio nimekuona kichwa! hongera sana mkuu
hata mimi nimeshangaa ile taarifa ya kuachiwa kwa mifugo bila masharti yoyote
Hizo chuki za kikabila peleka kwenu. Ng'ombe zilikuwa detained kwa kosa gani..?Hatua ya proff maghembe inashangaza. Eneo hilo linafahamika kuvamiwa na wafugaji wanyarwanda wa jamii ya kitutsi. Wanatoa rushwa kwa vigogo na huwafanyia wenyeji vitendo vya kinyama ikiwa ni pamoja na kufanya mauaji ya wale wenye ujasiri kuwapinga. Uamuzi wa proff yafaa kuchunguzwa kama ni kwa manufaa ya nani.
Acha siasa bila sababu za msingiTatizo ni chama cha ccm wala sio Maghembe, Magufuri atapata shida sana kwenye haya mapambano atajikuta anapambana na chama chake
Hebu chukulia Waziri kaagiza ng'ombe wasikamatwe had wafugaji watakapotengewa maeneo mbadala, halafu Mhifadhi akakaidi unadhan kuna kuheshimiana hapo..? Watu wanapenda kula nyama kila siku lakn hawatak kujua hao ng'ombe wanatoka wapi na wanakula nin. Shiiida..!--SIONI TATIZO LAKE/
TUACHE CHUKI BINAFSI...
Wewe huyo huyo ndiye uliunga mkono pale ambapo katibu mkuu wa chama chako walipoitwa mawaziri mizigo maghembe akiwa mmoja wa hao mawaziri mizigo!...Alipoteuliwa na mkulu,Ukaonyesha wasiwasi kwa prof!.....Baada ya suku 100 prof.akiwa ofisini kama waziri,Ukasema kuwa prof ana kasi ya utendaji unayoendana nasi ya mkulu!....Leo umeibuka na kusema prof amekalia kuti kavu na hana uwezo wa kuongoza wizara!...Angalia mkuu usije kuwa vuguvugu kwani watakutapika!.....uck mwemaWadau, amani iwe kwenu.
Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.
Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.
Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.
Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.
Wala Usijali Mkuu, Utamkubali Siku Akihamia ChagademaSijui nisemeje ila sijawahi kumkubali Prof Maghembe. Magumashi matupu
Wadau, amani iwe kwenu.
Binafsi nilikuwa ni miongoni mwa watu ambao tulionesha wasiwasi wetu mara tu baada ya Prof Maghembe kuteuliwa kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Wasiwasi wangu haukutokana na location ambayo Prof Maghembe anatoka bali ni kutokana na ugumu wa Wizara hiyo na uwezo wa Maghembe kukabiliana na changamoto za Wizara.
Hakika nilikuwa sahihi kumjudge negatively. Huko Kagera, Mhifadhi Mkuu wa Pori amefukuzwa kazi kutokana na kuwaondoa watu waliovamia pori hilo kwa kukata miti na kuingiza mifugo mingi. Mhifadhi huyo amefukuzwa kutokana na amri ya Mamlaka ya Juu ya Wizara.
Kama hiyo haitoshi, kuna operesheni inayoendelea ya kuwakamata vibompa wa Meno ya Tembo. Operesheni hiyo imeanza juzi. Hata hivyo, mamlaka ya Juu ya Wizara ya Maliasili na Utalii ikaingilia kati ili wanaohusika na biashara hiyo akiwemo jamaa mmoja anayejulikana kwa jina la Mpemba asikamatwe. Bahati nzuri Mheshimiwa Rais aliinyaka hiyo hewani na akasimama yeye mwenyewe kuongoza Operesheni hiyo. Hivi tunavyozungumza hali ni mbaya sana kwa hao jamaa ambao walidhani kuwa kwa nguvu ya pesa waliyonayo hawawezi kukamatwa.
Kwa mifano hii michache, sioni wapi ataponea Prof Maghembe. Jipu tayari limeiva na litatumbuliwa soon.[/QUOTEU
Ujangiri hauwezi kwisha bila kufuta uwindaji wa kuua wanyama ambao unawahusu vigpgo wa serikali kwa hiyo Mhe Maghembe hana ubavu wa kushindana nao. Mwenye ujasiri wa kutokomeza ujangiri ni rais JPM kwa kufuta hunting safaris full stop.
Au sio Prof Maghembe anawakilisha utendaji uliotukuka wa wana wa Kaskazini.Vita na kaskazini
Ili mambo yawe mazuri inabidi yaharibike kwanza!Hakuna,, tatizo siyo Maghembe bali ni mamlaka ya uteuzi ndo ina matatizo. Yeye mwenyewe si ndo alitamba kwamba yuko makini kwenye uteuzi? Mbona mambo yanazidi kuharibika tu!! Ila ngoja wamtumbue akalalamike tena huko nje na kuanza kumponda mteuzi wake kwamba hana uwezo!! Yetu macho wacha tushuhudie match kubwa hapa!!