wewe ni mtengeti wa pasua au.unamfahamu mzee kanyika wa stand ya mboya?maghembe ubunge wake umekwenda na maji kamati ya ufundi imemkataa mwanga hizo kirumo coaster pia ni zake?salam wanabodi
mbunge wa jimbo la mwanga na waziri wa maji mh. Profesa jumanne abdala maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni diwani wa kata ya shighatini mh. Enea mrutu.
Mali hizo ni mabasi makubwa ya kubebea abiria aina ya utong na moja aina ya scania yanayaofanya safari kati ya dar na arusha na malori mawili aina ya mitsubishi fuso ambayo kwa sasa mh. Ameyapeleka huko kahama . Mabasi (kirumo charo) ambayo mheshimiwa mbunge alikubaliana na mhe. Diwani kuwa kwa kuwa yeye (enea) ana kampuni ya mabasi anaomba kutumia jina la kampuni yake ya charo general supply ltd ili kufanya biashara hiyo kutokana na sababu za kiutumishi wake serikalini(kama mbunge na waziri). Ukichukulia status yake ya maisha hapa nchini haieleweki kwani alikuwa mtafiti huko malawi ndo akaja kugombea ubunge hapa mwanga tangu mwaka 2000.
Sakati hili lilianza baada ya mheshimimiwa eneah kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati wa kampeni za uchaguzi wa ccm kwenye jumuiya za wazazi, uvccm na chama kwenye nafasi ya mnec ambapo jumla ya tsh 56,000,000 zilitumika kama rushwa kwa wajumbe na kubahatika kushinda jumuiya ya uwt tena kwa mbinde na wizi mkubwa wa kura. Mh. Enea kwa sasa anatamba mtaani kuwa maghembe hana cha kumfanya kwani hawezi kwenda mahakamani kuhofia kuumbuliwa kuwa ni fisadi.
Naomba kuwasilisha.
Source: Mhudumu wa ofisi ya charo general supply na mimi mwenyewe
kama ni kweli I LIKED IT!Sasa naelewa kwanini wezi wengi na mafisadi wanangangania chama cha magamba!!
SALAM WANABODI
Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Shighatini Mh. Enea Mrutu.
Mali hizo ni mabasi makubwa ya kubebea abiria aina ya UTONG na Moja aina ya Scania yanayaofanya safari kati ya Dar na Arusha na malori mawili aina ya Mitsubishi FUSO ambayo kwa sasa Mh. ameyapeleka huko Kahama . Mabasi (KIRUMO CHARO) ambayo mheshimiwa Mbunge alikubaliana na Mhe. Diwani kuwa kwa kuwa yeye (enea) ana kampuni ya mabasi anaomba kutumia jina la Kampuni yake ya CHARO GENERAL SUPPLY LTD ili kufanya biashara hiyo kutokana na sababu za kiutumishi wake serikalini(kama mbunge na waziri). Ukichukulia status yake ya maisha hapa nchini haieleweki kwani alikuwa mtafiti huko malawi ndo akaja kugombea ubunge hapa mwanga tangu mwaka 2000.
Sakati hili lilianza baada ya Mheshimimiwa Eneah kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati wa Kampeni za uchaguzi wa CCM kwenye jumuiya za Wazazi, UVCCM na Chama kwenye nafasi ya MNEC ambapo jumla ya Tsh 56,000,000 zilitumika kama Rushwa kwa wajumbe na kubahatika kushinda Jumuiya ya UWT tena kwa mbinde na wizi mkubwa wa kura. Mh. enea kwa sasa anatamba mtaani kuwa maghembe hana cha kumfanya kwani hawezi kwenda mahakamani kuhofia kuumbuliwa kuwa ni fisadi.
naomba kuwasilisha.
SOURCE: MHUDUMU WA OFISI YA CHARO GENERAL SUPPLY NA MIMI MWENYEWE
Natoa wito kwa wale watu wote ambao wamepewa mali za mafisadi na kuzinadikia majina ya kampuni zao wazitaifishe zote!! Hapo kisheria hata akienda mahakamani ni lazima aoneshe evidence!! Na kwa kuwa document ziko kwa jina lako basi kisheria ndizo document halali!!Kina PUMA mpo na wengine? Kina Millenium Hotel mpo? Kina ...... mpo? The list is endless!! Fanyeni kweli mnaotumiwa na hawa wezi.
Huu uzi ni kama umeandikwa na mtu aliyekuwa anatweta baada ya mbio ndefu za kukimbia kujiepusha na adhabu fulani na akasimamishwa ghafla aeleze alichoeleza. Namshauri mleta uzi atulie na kuandika vizuri alichokusudia tukijue wadau.SALAM WANABODI
Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Shighatini Mh. Enea Mrutu.
Mali hizo ni mabasi makubwa ya kubebea abiria aina ya UTONG na Moja aina ya Scania yanayaofanya safari kati ya Dar na Arusha na malori mawili aina ya Mitsubishi FUSO ambayo kwa sasa Mh. ameyapeleka huko Kahama . Mabasi (KIRUMO CHARO) ambayo mheshimiwa Mbunge alikubaliana na Mhe. Diwani kuwa kwa kuwa yeye (enea) ana kampuni ya mabasi anaomba kutumia jina la Kampuni yake ya CHARO GENERAL SUPPLY LTD ili kufanya biashara hiyo kutokana na sababu za kiutumishi wake serikalini(kama mbunge na waziri). Ukichukulia status yake ya maisha hapa nchini haieleweki kwani alikuwa mtafiti huko malawi ndo akaja kugombea ubunge hapa mwanga tangu mwaka 2000.
Sakati hili lilianza baada ya Mheshimimiwa Eneah kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati wa Kampeni za uchaguzi wa CCM kwenye jumuiya za Wazazi, UVCCM na Chama kwenye nafasi ya MNEC ambapo jumla ya Tsh 56,000,000 zilitumika kama Rushwa kwa wajumbe na kubahatika kushinda Jumuiya ya UWT tena kwa mbinde na wizi mkubwa wa kura. Mh. enea kwa sasa anatamba mtaani kuwa maghembe hana cha kumfanya kwani hawezi kwenda mahakamani kuhofia kuumbuliwa kuwa ni fisadi.
naomba kuwasilisha.
SOURCE: MHUDUMU WA OFISI YA CHARO GENERAL SUPPLY NA MIMI MWENYEWE
Mkuu japokuwa habari hii inaukweli fulani fulani kwa sababu watu hao ninawafahamu vizuri, lakini tupe ufafanuzi ni vipi Enea Mrutu ambaye ni mwanaumme mwenye umri wa zaidi ya miaka hamsini agombee UWT, UVCCM nk. tena kwa pamoja?
kama vile riz1 atakavyozulumiwa malori yake na akina Davis Mosha na Juma Pinto
SALAM WANABODI
Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Shighatini Mh. Enea Mrutu.
Mali hizo ni mabasi makubwa ya kubebea abiria aina ya UTONG na Moja aina ya Scania yanayaofanya safari kati ya Dar na Arusha na malori mawili aina ya Mitsubishi FUSO ambayo kwa sasa Mh. ameyapeleka huko Kahama . Mabasi (KIRUMO CHARO) ambayo mheshimiwa Mbunge alikubaliana na Mhe. Diwani kuwa kwa kuwa yeye (enea) ana kampuni ya mabasi anaomba kutumia jina la Kampuni yake ya CHARO GENERAL SUPPLY LTD ili kufanya biashara hiyo kutokana na sababu za kiutumishi wake serikalini(kama mbunge na waziri). Ukichukulia status yake ya maisha hapa nchini haieleweki kwani alikuwa mtafiti huko malawi ndo akaja kugombea ubunge hapa mwanga tangu mwaka 2000.
Sakati hili lilianza baada ya Mheshimimiwa Eneah kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati wa Kampeni za uchaguzi wa CCM kwenye jumuiya za Wazazi, UVCCM na Chama kwenye nafasi ya MNEC ambapo jumla ya Tsh 56,000,000 zilitumika kama Rushwa kwa wajumbe na kubahatika kushinda Jumuiya ya UWT tena kwa mbinde na wizi mkubwa wa kura. Mh. enea kwa sasa anatamba mtaani kuwa maghembe hana cha kumfanya kwani hawezi kwenda mahakamani kuhofia kuumbuliwa kuwa ni fisadi.
naomba kuwasilisha.
SOURCE: MHUDUMU WA OFISI YA CHARO GENERAL SUPPLY NA MIMI MWENYEWE
Mkuu ndo wenyewe basi. Vuta kumbukumbuku Mgogoro dayosis ya pare miaka ya 2000 sababu ilikuwa ni dhulma wanamwanga waliokuwa wanafanyiwa na wenzao wa SameWa Pare tangu lini wakadhulumiana?
kama vile riz1 atakavyozulumiwa malori yake na davids mosha
Walianza na Mwinyi sasa Maghembe,KAZI NZURI WANASTAILI PONGEZI