Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

mnakumbuka Sumaye alitoa pesa zake ma bus ya scandnavia,na kampuni ikafa hapo hapo bila kulipa madeni ya bank
 
Tupe bei zake
  1. YUTONG bus
  2. Scania bus
  3. FUSO Mitsubishi lorry X2

Sidhani kama magari hayo yana thamani ya bilioni na sioni mantiki ya thread hii, ati mtu katumia Ths 56 mil na kadenika ili asilipe 1 bil.
Logic inakataa.
Yutong moja bei yake linafika milioni 250
. Basi moja la Scania bei ni zaidi ya ya Scania.
Piga hesabu mwenyewe.
 
Mkuu ndo wenyewe basi. Vuta kumbukumbuku Mgogoro dayosis ya pare miaka ya 2000 sababu ilikuwa ni dhulma wanamwanga waliokuwa wanafanyiwa na wenzao wa Same

Mtengeti,
wapare wa north walikuwa wanataka kuhodhi madaraka na miradi ya dayosisi ya kkkt pare. baada ya kuona askofu mtarajiwa atatokea south wakaanza kudai dayosisi yao wakijua askofu toka south hataruhusu dhuluma na upuuzi waliokuwa wakifanya.
 
Safi kabisa. Muosha naye huoshwa na hili laweza kuwa somo kwa mapanya buku wetu waliojilimbikizia mali na kuzificha kwa kutumia marafiki zao. Bravo Mrutu keep it up!
 
Mchaga kumdhulumu mpare mbona ni sawa kwani kuna mpare mjanja wa mchaga.Mfano ni huyo mzee na usomi wake kamkabidhi mtu gari na kadi sio ajabu bila maadishi na wakili wa kudhibitisha

MLERAI,
maghembe amedhulumiwa na Mpare mwenzake anayeitwa mrutu. wapare wa siku hizi wajanja na wapo kila sehemu hata kwenye maeneo ambayo kiasili ni ya wachaga.
 
Last edited by a moderator:
Acha tu wamwibie. Amesahau ahadi za mwana TANU...kwamba rushwa ni ... Anaficha mali zake sasa kaumbuliwa. Hayo yote ni mapesa ya mbolea na PEMBEJEO!!!!!
 
Back
Top Bottom