Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au kuna kitu sikijui?
Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida ya familia zao, lakini huyu ndugu anajitoa, amekubali kuingia kwenye siasa hizi ngumu za Tanzania.
Mungu mlinde huyu baba!!