Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,710
Huyu bwabwa kweli... kwanza Maalim Seif hataki hata kumuona... huyu ni CCM kabisa... na muuaji wa upinzani Tz... na CUF inatakiwa wamfukuze kabisa kabisaaaa uanachama... ana gundu sana Lipumba..!!
CUF fukuzeni MSALITI KUBWA HUYU KAMA ZITTO... tena hafai kabisa... wakati wa mapambano anaondoka.. anajidai kurudi...!!! Anaanza kujidai yeye ni CUF... shit
CUF fukuzeni MSALITI KUBWA HUYU KAMA ZITTO... tena hafai kabisa... wakati wa mapambano anaondoka.. anajidai kurudi...!!! Anaanza kujidai yeye ni CUF... shit