Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

Huyu profesa ni mbumbavu sana saiza Tanzania uchumi umeharibika.
Na anaacha kuishauri serikali itajengaje uchumi wake kwa kutumia mfumo
Wa viwanda.

Yeye yuko busy kuisema chadema chadema. Na wakati huo amesahau kwamba yeye ni profesa Wa uchumi.
Chadema wanatetea wahujumu uchumi ndio maana prof anawasema
 
Ha ha ha ha haaa.. Hivi inawezekana huyu akawa ndiyo JINGA LAO?
 
Angefanywaje ?! Ametumiwa wazee na viongozi wa imani lakini bado alikubali kutumika kupitia Mwighulu na kwenda ughaibuni !!!. Maamuzi ya vikao yaheshimike, kama huko CCM vikao vilivyotumika kunyonga wengine kwa maslahi ya wengine nani anahoji ?! Au mkuki ni kwa nguruwe ?!
Tujadili ya kwetu mkuu, ya ccm waachie mafisiemu.
 
Sijaelewa CUF A niipi na CUF B ndipo?siasa wasiasa ukitangaza kujihudhuru bada miezi ukatangaza kuludia nafasi yako uliojihudhulu haiji kimantiki wanasiasa hasa mnaosema ni wapinzani jitambueni
 
Angefanywaje ?! Ametumiwa wazee na viongozi wa imani lakini bado alikubali kutumika kupitia Mwighulu na kwenda ughaibuni !!!. Maamuzi ya vikao yaheshimike, kama huko CCM vikao vilivyotumika kunyonga wengine kwa maslahi ya wengine nani anahoji ?! Au mkuki ni kwa nguruwe ?!
Tukubali udhaifu wa Mbowe kumpitisha moja kwa moja lowasa kuwa mgombea urais. Wengne walishindwa kumpinga ili wasionekane mamluki ila in fact hayakuwa maamuzi mazuri kumkumbatia lowasa na kumuacha dr slaa.
 
Kama cdm wamepoteza dira. Yeye kapoteza .....rinda
 
Uchaguzi wa Wenje, Masha umefanyika wapi??
Wewe ni mjumbe wa kamati juu ya CDM ?! Kama siyo unajuwaje yaliyojadiliwa huko ?!

Pamoja na hayo CCM haina nafasi ya kuichagulia CDM nani wa kuletwa
Tukubali udhaifu wa Mbowe kumpitisha moja kwa moja lowasa kuwa mgombea urais. Wengne walishindwa kumpinga ili wasionekane mamluki ila in fact hayakuwa maamuzi mazuri kumkumbatia lowasa na kumuacha dr slaa.
Niliwahi kumsikia T Lisu akielezea ni kwanini walimchukuwa ENL ! Ilibidi mpaka watafiti wa kimataifa walitumika, na haya yalikuwa maamuzi ya vikao ingawa ni kweli Dr Slaa hakuridhika lakini yalikuwa maamuzi ya vikao. Yaliyopita si ndwele. Hata huko jirani mambo yako hivyo waliotegemewa hawakuwa badala yake walilazimishwa kumuunga aliepo.
 
Wewe ni mjumbe wa kamati juu ya CDM ?! Kama siyo unajuwaje yaliyojadiliwa huko ?!

Pamoja na hayo CCM haina nafasi ya kuichagulia CDM nani wa kuletwa

Niliwahi kumsikia T Lisu akielezea ni kwanini walimchukuwa ENL ! Ilibidi mpaka watafiti wa kimataifa walitumika, na haya yalikuwa maamuzi ya vikao ingawa ni kweli Dr Slaa hakuridhika lakini yalikuwa maamuzi ya vikao. Yaliyopita si ndwele. Hata huko jirani mambo yako hivyo waliotegemewa hawakuwa badala yake walilazimishwa kumuunga aliepo.
Nadhani si busara kuyaongelea matatizo ya jirani wakati ndani kwetu hali si shwari sana.

Kwa evaluation yako uliyofanya , je General Secretary tuliyenaye kwa sasa anaweza ku mobilize mass kama alivyoweza Dr Slaa wakati huo ?
 
Hawezi
 
Wewe ni mjumbe wa kamati juu ya CDM ?! Kama siyo unajuwaje yaliyojadiliwa huko ?!

Pamoja na hayo CCM haina nafasi ya kuichagulia CDM nani wa kuletwa

Niliwahi kumsikia T Lisu akielezea ni kwanini walimchukuwa ENL ! Ilibidi mpaka watafiti wa kimataifa walitumika, na haya yalikuwa maamuzi ya vikao ingawa ni kweli Dr Slaa hakuridhika lakini yalikuwa maamuzi ya vikao. Yaliyopita si ndwele. Hata huko jirani mambo yako hivyo waliotegemewa hawakuwa badala yake walilazimishwa kumuunga aliepo.
Hata hivyo vikao vilivyokaliwa naamini wapo wengi ambao hawakuridhia maamuzi isipokuwa waliogopa kwenda kinyume na uamuzi ambao mwenyekiti alishataka uwe hivo
 
Lakini alishakiri kuwa pamoja na yote yy hakuridhika na ndio maana alijitoa uli kujiepusha na kumnadi mtuhumiwa wa Ufisadi!
Ila akai 'kumbuka' ruzuku iliyoongezeka CUF. Sijui yeye na washirika wa mil 369 tuwaiteje?
 
KATIKA MAMBO YANAYOFANYWA NA BINADAMU, KAMA BINADAMU UNAPASWA KUWA MAKINI KWENYE KUYAPOKEA NA KUYARUHUSU NA YAWE INSTALLED KWENYE UBONGO WAKO.
ANGALIA HAPA WHAT IF KILA UNACHOPATA UNA INSTALL KWENYE UBONGO;
1. LIPUMBA KAMKARIBISHA LOWASSA UKAWA---INSTALL
2. MAGUFULI MAENDELEO HAYANA UCHAMA----INSTALL
3. CHADEMA LOWASSA FISADI NO 1----INSTALL.
4. CHADEMA WANAMKARIBISHA LOWASSA NA KUGOMBEA URAIS----INSTALL
5. CHADEMA WANASEMA MBATIA NI CCMB KWA VILE KATEULIWA NA KIKWETE---INSTALL
6. CHADEMA WANAMKARIBISHA MBATIA UKAWA---INSTALL
7. CHADEMA ZITTO MSALITI---INSTALL
8. CHADEMA WANAUNGANA NA ZITTO KUPINGA BUNGE KUTOKURUSHWA LIVE---INSTALL.
9. CHADEMA CUF NI CCMB KWA VILE MAALIM KAKUBALI KUWA MAKAM WA RAIS---INSTALL.
10. CHADEMA WANAMKARIBISHA MAALIM NA CUF UKAWA---INSTALL.

SASA KIAMBIE KICHWA CHAKO KI UNINSTALL UONE KAMA PC YAKO HAIJABAKI PEKEE BILA PROGRAM HATA MOJA!
 
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba Dr Mashilinji anapwaya kwenye nafasi aliyopewa
Tatizo si CDM kwa hali iliyopo sasa. Tatizo ni Maghufuli na serikali yake kwa ujumla. Vyama vimepigwa marufuku kujieneza na kutafuta members wapya na ametishia kutokujaribiwa na huyo anayetishia kutokujaribiwa ni amiri jeshi na kwa hulka ya WaTz ni kutokupenda ghasia, ndiyo maana huwezi kuona hata kipaji kidogo cha Dr Mashinji.
 
KATIKA MAMBO YANAYOFANYWA NA BINADAMU, KAMA BINADAMU UNAPASWA KUWA MAKINI KWENYE KUYAPOKEA NA KUYARUHUSU NA YAWE INSTALLED KWENYE UBONGO WAKO.
ANGALIA HAPA WHAT IF KILA UNACHOPATA UNA INSTALL KWENYE UBONGO;
1. LIPUMBA KAMKARIBISHA LOWASSA UKAWA---INSTALL
2. MAGUFULI MAENDELEO HAYANA UCHAMA----INSTALL
3. CHADEMA LOWASSA FISADI NO 1----INSTALL.
4. CHADEMA WANAMKARIBISHA LOWASSA NA KUGOMBEA URAIS----INSTALL
5. CHADEMA WANASEMA MBATIA NI CCMB KWA VILE KATEULIWA NA KIKWETE---INSTALL
6. CHADEMA WANAMKARIBISHA MBATIA UKAWA---INSTALL
7. CHADEMA ZITTO MSALITI---INSTALL
8. CHADEMA WANAUNGANA NA ZITTO KUPINGA BUNGE KUTOKURUSHWA LIVE---INSTALL.
9. CHADEMA CUF NI CCMB KWA VILE MAALIM KAKUBALI KUWA MAKAM WA RAIS---INSTALL.
10. CHADEMA WANAMKARIBISHA MAALIM NA CUF UKAWA---INSTALL.

SASA KIAMBIE KICHWA CHAKO KI UNINSTALL UONE KAMA PC YAKO HAIJABAKI PEKEE BILA PROGRAM HATA MOJA!
Ki msingi hatupaswi kumuamini mwanasiasa yeyote yule awe wa Ccm au upinzani.
 
Ha ha ha umenikumbusha mbali kuna tume wa mungu katika imani ya waislaam anasema anapo kujia mtu na habari usiikatae wala usiikubali ipokee kisha ifanyie uchunguzi ubaini ukweli wa habari hiyo usije ukaitolea maamuzi bila kuichunguza yakaja kuwa ni majuto baada ya kubaini ukweli

Sent from my C2305 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom