Lakini alishakiri kuwa pamoja na yote yy hakuridhika na ndio maana alijitoa uli kujiepusha na kumnadi mtuhumiwa wa Ufisadi!
msikilize lipumbaweka hiyo clip hapa ...
Mwambieni akiwa muongo asiwe msahaulifu. Clip za mapokezi ya Lowasa Ukawa zinaonyesha ushiriki wake ila lililomuuma ni kule kuenguliwa katika kazi yake ya kudumu ya " Mgombea Urais"
Yuda huyu si wa kuchekea hata kidogo, anajipendekeza kwa viongozi wa CUF apewe ulaji! Tangu awe Mgombea CUF haijawahi kua na viti vingi kama mwaka huu. Huyu kupata uongozi labda Maalim Seif aondoke CUF, Katika watu waliomuudhi sana maalim Seif ni huyu msaliti.yaan wenzi wako katika kipindi kigumu wewe unawakimbia!
Lipumba hana hata aibu. Anadai sisi CUF ................... CUF ipi wakati alijitoa kabla ya kupigwa boot!!
Dhambi ya usaliti inamtesa ............ hata Yuda alitaka kurudisha vile vipande 30 vya sarafu ili jamaa wamuachie Yesu lakini ilikuwa too late ............ mwisho wa siku akajinyonga!!!
Kwa hiyo aligundua kuwa lowassa ni fisadi baada ya kumpokea!!!!!hawa wazee wamepitwa na wakati kwa kucheza siasa za kizamani.Siku hizi watanzania ni waelewa sana.
hiyo ilikuwa ni kejeli na kukosa msimamo inawezekanaje umkaribishe mtu nyumbani kwako unawataarifu jirani zako kuwa ni raia mwema halafu usiku ukimbie nyumba eti mgeni wako ni mhalifu?:angry::angry:Lakini alishakiri kuwa pamoja na yote yy hakuridhika na ndio maana alijitoa uli kujiepusha na kumnadi mtuhumiwa wa Ufisadi!