Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

Mbona hakusema kwamba ameshapoteza akili zake......siku hizi anatenda kama robot.
 
Mbona nyinyi chadema hafanyi yenu kila siku Lipumba msaliti kawasaliti nini chadema kama hamtaki kukosolewa waachieni cuf wamalizane wenyewe
 
Professor Hawezi Kuisema Chadema Maana Yeye Mwenyewe Ni Mtu Wa Kiwango Cha Lami Kwa Unafiki
Kwani Wakati Wa Uchaguzi Alikwenda Rwanda Kufanya Nini ?
 
Kati ya Lipumba na Mbowe nani yuko bize kupokea majizi na wauza madawa ya kulevya??
Wewe majizi unayajuwa ?! Walipokuwa huko CCM mliwapigania hamkusikia la mtu. Na Kikwete aliwasafisha sasa kinachokukera nini ?! Mahakama ya mafisadi tunayo mbona hawachukuliwi hatua ??!
Madawa ya kulevya ni maigizo ya Bashite na boss wake wala hamna la maana,
 
PROF LIPUMBA yupo sahihi SLAA alipigania chama sana ila alilipwa mabaya ila ipo siku chadema watajuta dhambi walio ifanya itawarudia
Kama Nape aliyeiba hadi kura ili malaika mtukufu ashinde lkn Leo anatolewa bastola ili auwawe
 
Tukubal tukatae, chadema tulibugi kumtema dr slaa kisa lowasa
Kila MTU anao Uhuru wa kuingia au kuondoka kwenye chama cha siasa.

Kama Slaa aliamua kuondoka ni kwa hiyari yake na hakuna wa kumbembeleza au wa kumzuia.....kwani yeye ndiye wa kwanza kuhama CHADEMA?
 
Lowasa ni nguvu ya mvuto siku ndio inawaangaisha chadema siku ikiwageuka hiyo nguvu ya mvuto ndipo watakapo jua kuwa walibugi
 
Wewe majizi unayajuwa ?! Walipokuwa huko CCM mliwapigania hamkusikia la mtu. Na Kikwete aliwasafisha sasa kinachokukera nini ?! Mahakama ya mafisadi tunayo mbona hawachukuliwi hatua ??!
Madawa ya kulevya ni maigizo ya Bashite na boss wake wala hamna la maana,
Endelea kutetea huo ujinga, labda utawasaidia kushinda uchaguzi wa ufipa
 
Tukubal tukatae, chadema tulibugi kumtema dr slaa kisa lowasa
Angefanywaje ?! Ametumiwa wazee na viongozi wa imani lakini bado alikubali kutumika kupitia Mwighulu na kwenda ughaibuni !!!. Maamuzi ya vikao yaheshimike, kama huko CCM vikao vilivyotumika kunyonga wengine kwa maslahi ya wengine nani anahoji ?! Au mkuki ni kwa nguruwe ?!
 
Kati ya Lipumba na Mbowe nani yuko bize kupokea majizi na wauza madawa ya kulevya??
Hayo majizi na mafisadi ni nani mwenye mamlaka ya kuyadhibiti? Hivi yule aliyeahidi kuyadhibiti mpaka akayaundia mahakama maalum yupo nchi hii au amehamia Trinidad and Tobago?
 
Angefanywaje ?! Ametumiwa wazee na viongozi wa imani lakini bado alikubali kutumika kupitia Mwighulu na kwenda ughaibuni !!!. Maamuzi ya vikao yaheshimike, kama huko CCM vikao vilivyotumika kunyonga wengine kwa maslahi ya wengine nani anahoji ?! Au mkuki ni kwa nguruwe ?!
Democrasia hamna kabisa ndani ya chadema, Mbowe ndio Mungu wenu na maamuzi yake hayahojiwi popote
 
Nikweli kila mtu ana haki kwenda chama akitakacho ila slaa hakutoka chadema kwa hiyari ila kwa kusalitiwa lazima kama sisi ni wapinzani wakweli lazima tuseme kweli lowasa kapoteza malengo ya chadema haiwezekani slaa amejenga chama zaidi ya miaka 15 akaonekana hana maana mwenye maana lowasa ambaye ameingia mwezi mmoja ndio chadema wanamuona wa maana tuache unafiki turudi kwenye malengo
 
Things are falling apart for the green party. It is only because of military service, the banch they hang on to-date. Watch out
 
La profeseri bwana,ameona kaongea point,aendelee kutumika kama toilet paper,mwisho wa ubaya ni aibu
 
Tatizo kubwa la mijadala yetu haisimami kwenye hoja ila mahaba ya kiitikadi. Haitatusaidia kama Watanzania
 
Huyu profesa ni mbumbavu sana saiza Tanzania uchumi umeharibika.
Na anaacha kuishauri serikali itajengaje uchumi wake kwa kutumia mfumo
Wa viwanda.

Yeye yuko busy kuisema chadema chadema. Na wakati huo amesahau kwamba yeye ni profesa Wa uchumi.
 
Democrasia hamna kabisa ndani ya chadema, Mbowe ndio Mungu wenu na maamuzi yake hayahojiwi popote
Democracy ipo CCM ?!
Mwenyekiti wako amesema wakiimba akiwa mwenyekiti atawapoteza wote , ndiyo democracy hiyo ?! Hataki mawazo mbadala ndani ya chama. Kungekuwa na democracy akina Sophia na kina Nape wangepewa nafasi ya kujitetea lakini mhhh.
 
Uchaguzi wa Wenje, Masha umefanyika wapi??
 
Misingi huwa haipotei ila kwa vihiyo wenye akili za kutafuniwa kama makinda na ndege lazima watoke kifua mbele wakishangilia wakiuacha ustaarabu wa nyuma wazi
 
Back
Top Bottom