Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

Atakoma jaji kazui ruzuku sasa sijui itakuwaje.
 
Mengine yote nampinga huyu profesa lakini kwa hili upo sahihi baba, tangu tumpokee Lowassa ufisadi hauongelewi tena!
Serikali imeshindwa kumpeleka lowassa mahakamani kwa ajili ya ufisadi?
 
KATIKA MAMBO YANAYOFANYWA NA BINADAMU, KAMA BINADAMU UNAPASWA KUWA MAKINI KWENYE KUYAPOKEA NA KUYARUHUSU NA YAWE INSTALLED KWENYE UBONGO WAKO.
ANGALIA HAPA WHAT IF KILA UNACHOPATA UNA INSTALL KWENYE UBONGO;
1. LIPUMBA KAMKARIBISHA LOWASSA UKAWA---INSTALL
2. MAGUFULI MAENDELEO HAYANA UCHAMA----INSTALL
3. CHADEMA LOWASSA FISADI NO 1----INSTALL.
4. CHADEMA WANAMKARIBISHA LOWASSA NA KUGOMBEA URAIS----INSTALL
5. CHADEMA WANASEMA MBATIA NI CCMB KWA VILE KATEULIWA NA KIKWETE---INSTALL
6. CHADEMA WANAMKARIBISHA MBATIA UKAWA---INSTALL
7. CHADEMA ZITTO MSALITI---INSTALL
8. CHADEMA WANAUNGANA NA ZITTO KUPINGA BUNGE KUTOKURUSHWA LIVE---INSTALL.
9. CHADEMA CUF NI CCMB KWA VILE MAALIM KAKUBALI KUWA MAKAM WA RAIS---INSTALL.
10. CHADEMA WANAMKARIBISHA MAALIM NA CUF UKAWA---INSTALL.

SASA KIAMBIE KICHWA CHAKO KI UNINSTALL UONE KAMA PC YAKO HAIJABAKI PEKEE BILA PROGRAM HATA MOJA!
Mwanasiasa huwa haaminiki siku zote, hasa aliye na nywele ya kipilipili na ngozi yenye kustahimili jua. Atakuambia uongo hadi jina lake la uongo, I don't trust politicians as they can be driven at anytime by their own interests, those who gave them power and devils.
 
Wakati akiongea kupitia AzamTwo Television, Prof. Lipumba amesikika akisema, CHADEMA kimepoteza dira ya kisiasa kutokana na mtafaruku uliojitokeza ndani ya UKAWA baada ya kumpokea Lowassa na kumfanya mgombea Urais wa Tanzania.

Prof. Lipumba amesema, ''Sisi ndani ya CUF tunaweza kukijenga vizuri chama chetu kwa sababu msingi wetu ni kusimamia haki kwa wote lakini wenzetu wa CHADEMA wamepoteza dira kwa sababu itakuwa ni vigumu kuzungumzia suala la mapambano dhidi ya ufisadi''.

''Msingi wa sera zetu ni Haki Sawa Kwa Wote, Rais Magufuli anasema HapaKaziTu na sisi tunasema Hapa ni Haki Tu'' Alisema.

Aliendelea kusema, ''Tuna mahala pazuri pa kuanzia, kutazama namna ya kuikosoa serikali katika kutekeleza hizi sera za HapaKaziTu, Je tunalinda haki za kila mmoja wetu, tunafuata utaratibu mzuri wa sheria''

Alimalizia kwa kusema, ''wenzetu CHADEMA wamepoteza dira''.

VIDEO:

Lipumba ni ccmB, hata huo u profesa wake siuoni, anazidiwa hata na kale katoto kalikokuwa kanamuombesha maji bashite kuongea kimombo
 
Ni kweli CHADEMA kimepoteza dira. Kimekuwa chama cha matukio.
 
MsemajiUkweli

Nadhani akinyamaza sisi wengine ambao tumeendelea kumuheshimu tutaendelea kufanya hivyo .Yeye na CUF ipi? Mtu muungwana huheshimu maamuzi ya kikatiba kupitia vyombo vya juu vya vyama vyetu vinapofanya maamuzi .
Nikiona haya maandiko nakumbuka wimbo wa Christian Bella " Uko wapi ndugu yangu (yeye kasema mpenzi) nakuhitaji, popote ulipo ujue nakupenda"
Bringback Ben. Aliyekutendea haya Mungu wa haki atamuumbua kabla ya kifo chake mwenyewe.
 
Wala sitaki mwanangu a some hadi kuwa profesa!kama maprofesa ndivyo walivyo sitaki niamini kuwa hiki ni kiwango cha juu cha elimu ambacho ni bora kabisa.
 
Back
Top Bottom