Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 312
.Akizungumza mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho hayo Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba alisema kuwa hatua ya CHADEMA kususa sherehe hizo ni kutokomaa kisiasa kwa kuwa suala hilo linagusa Watanzania wote na si la kisiasa.
Wakati huo huo, Prof. Lipumba aliwabeza watu wanaopinga Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na kusema kuwa wanaofanya hivyo hawaitakii mema nchi hiyo na Tanzania kwa ujumla na kama ni wanasiasa
hawajui wanachokifanya. Hatua hii imetibu majeraha yaliyokuwepo na kuwaunganisha Wazanzibari...walikubaliana kuwa na serikali hii ili iwaunganishe na kumaliza matatizo yaliyokuwepo
tangu awali ambayo hayakuwa na amani hata kidogo na ukiwa unazungumzia serikali hii kwa Zanzibar vyama vyenye nguvu ni CUF na CCM ambavyo vimeungana na kama kuna mtu anaona kuna kosa haitakii mema
na kama ni kiongozi wa kisiasa basi si mwenye busara na kama ana shughuli zake zingine kama za disko basi aende huko na sio kazi ya siasa kwani ukibeza hatua hiyo basi hujui siasa na huijui Zanzibar, alisema Prof.
Lipumba.
Source: Majira
My take:
Prof. amesahau ya kule Zanzibar walivyo kuwa wanasusia. Wao ni CCM-B hivyo hakuna haja ya kuwasemea upinzani. Na kama yeye amekomaa kisiasa mbona ktk chaguzi zote anaambulia patupu?
CUF ni wazandiki, Wanafiki na wanasahau historia. Wao walikua vinara wa migoma sasa wamekua CCM B wanaona wenzao wanafanya makosa. Ameombwa na nani kutolea maoni CHADEMA? Aiache CHADEMA itasema yenyewe na kutoa tamko kuhusu Sherehe hizo za uhuru. Kweli Nyani haoni...............
Wabara wanapaswa kuamka sasa ili wasichezewe na wazanzibar ambao nia yao ni kufaidi Muungano wa Tanzania na Zanzibar huku sisi wabara tukiendelea kuwabembeleza. Wao wakijifanya wanaonewa kumbe wanatufirisi.