Haendi kufanya kazi amepata fellowship anakwenda kusoma/ kufunzwa, Fungueni hiyo link muone. Watu wa cuf mnampa ujiko bure eti anakwenda world Bank!!!

Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?
mkuu kuna watu vipofu na viziwi na wala usiharibu nguvu zako kubishana nao

we kilaza, huyo rais na chama chako kodi ya kichwa isingeondolewa bila kelele za Lipumba

Umeongea vizuri sana mkuu, lakini hapo kwa Mtatiro umechemsha. Kama ndugu zangu wa CUF mtakuwa mnamtegemea Mtatiro basi mtaua chama. Jamaa anaongozwa na emotions na sio busara. Ye kwake fujo, maandamano yasiyo na tija ndo siasa. Ulizeni walofanikiwa kusoma nae wawapeni habari zake. Me nmesoma nae mlimani.

Fani yake si kitu na ndo maana haina mchango wowote kwa masikini wa Tanzania ni msindikizaji tu CUF=CCM'B'
Mkuu, wamemuita kila siku mara ngapi, jamaa ameshinda Buguruni KAFU miaka enda rudi unasema wanamuita kila siku? Na mchumi gani bingwa anapata kazi za kuunga unga, mara miezi, mara mwaka, mara anakaa benchi aka kumi ndio wanamkumbuka. Lipumba mchumi wa nchi masikini kapuku, atakuwa mshauri wa uchumi wa viwango vya kimataifa, amshauri nani, Msumbiji?Kila siku wae wanamuita huyo Prof Lipumba
The moment he let Seif Sharif Hamad fulfil his ambitions which came in the name of "SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA" it was clear that his political carrier was ending. He as a politician in this country is not taken with high regard as he is taken in the world Economy. I wish him all the best.Prof Ibrahim .H. Lipumba amerejea kutoka igunga ambapo alikuwa anamfanyia kampeni na kumnadi mgombea wa chake cha CUF ambapo amemaliza siku zake za kampeni alizopangiwa na chama na anatarajiwa kuondoka wakati wowote kuanzia Leo kuelekea uswissi ambapo ameitwa na kupewa mkataba wa mwaka mmoja na nusu kama mshauri wa uchumi. watanzani tunakutakia kazi njema.
inasemekana jamaa akiwa nchi za nje huwa anapewa heshima kuliko hata M.kwere
Mkuu, wamemuita kila siku mara ngapi, jamaa ameshinda Buguruni KAFU miaka enda rudi unasema wanamuita kila siku? Na mchumi gani bingwa anapata kazi za kuunga unga, mara miezi, mara mwaka, mara anakaa benchi aka kumi ndio wanamkumbuka. Lipumba mchumi wa nchi masikini kapuku, atakuwa mshauri wa uchumi wa viwango vya kimataifa, amshauri nani, Msumbiji?
Na ni uroho wa madaraka, chama cha kitaifa kinahitaji full time chairman, that's total disservice to CUF. presidential candidate kila mwaka wewe, mchumi wewe, mwenyekiti wewe...totally disoriented career.
Angalau angejivua uenyekiti, kwani Mtatiro ndio kapewa uenyekiti?

cuf si Lipumba wala seif sharif, CUF ni taasisi. yupo mtatiro.
Sasa naanza kuamini kuwanini Nyerere alitunyima elimu.Yaani hapo ndio mwisho wako mkuu?
dah! Mkuu nimecheka sana baada ya kusoma post yako ya Prof Maji MarefuWasomi Tanzania huwa hawakubaliki hata siku moja, utashangaa mtu kama Prof. Majimarefu anakubalika kuzidi Prof. Lipumba.

Wewe nenda zako kafanye kazi na wazungu, huku tuache kama tulivyo Miafrika ndivyo ilivyo
UAmeshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?
inasemekana jamaa akiwa nchi za nje huwa anapewa heshima kuliko hata M.kwere