Glue
Senior Member
- Jan 14, 2011
- 156
- 49
<br />Ameshatoa ushauri gani hapa Tanzania? Nini ambacho ameshafanyia nchi yake ili tumkumbuke kama mchumi?
<br />
Kama hajapewa nafasi ya kutambulika mchango wake angefanyaje sasa? Ni ukweli usiopingika kuwa nabii hakubaliki hom kwao!