Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Wanasiasa wa bongo bana, sijui lini watamaanisha wasemacho, ngoja tusubiri labda atakataa uteuzi!
 
Daaaa hili ni jaribu tosha kwa prof kitila!
Ila sidhani kama atakataa uteuzi huu
 
Akiba ya maneno haiozi kumbe, ngoja tuone itakavyokuwa
 
Wana jamvi Salaam

Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.

Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).

Chanzo: Tanzania Daima

Ata miezi mitano haijaisha
 
Swali:
Atalamba matapishi yake au?

barafuJF-Expert Member
#8
A moment ago

New
Nakumbuka alisema hivi:

*"Huu utaratibu wa kuwateua wasomi tu ambao ni walimu na wanataaluma kutoka vyuo vikuu hasa Chuo kikuu cha Dar es salaam si mzuri maana rais haoneshi kuwaandaa wengine kuchukua nafasi zao, tuachwe wasomi tufanye kazi za kitafiti na kitaaluma
"*- Prof. Kitila Mkumbo. ITV 2016/4/17

Lakini Prof Kitila ni mtumishi wa umma,kupandishwa cheo toka Uhadhiri mpaka Ukatibu Mkuu ni "promotion" as far as he is a civil servant.

Zenobius,Mwanafalsafa wa Uyunani aliwahi kusema miaka hiyoo hata kabla ya Afrika kuwa hivi ilivyo.Zenobius alisema "Kila uchwao,kituko kipya huzaliwa Afrika"
 
Back
Top Bottom