Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,568
nlisahau kumbe nachati na mwalimu wa kiswahili.MECHANICAL ENGINEERING.

Sasa yeye Magu anwataka maprofessor na PHD holders kuna wasio wahadhiri?Wana jamvi Salaam
Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
Kwa wazo hili utakuwa hujui hata succession plan inavyoandaliwa na kutekelezwa.Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Tena amesema si jambo baya kuteua wataalamu wa ndani tatizo awape pesa za kusomesha wengi zaidi kwani kabla hata hajaanza kuteua kulikua na upungufu wa wahadhiri ngazi ya pHd kwa kiasi kikubwa.Ni ushauri mzuri na atakayempinga anamatatizo ya akili
teh! teh! teh!Labda kwa sababu uteuzi yeye haujamfikia
Nasikia Prof Kitila ni au aliwahi kuwa Mwenyekiti au mjumbe wa bodi ya NacteLabda kwa sababu uteuzi yeye haujamfikia
Wana jamvi Salaam
Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
Katika zoazoa hii ya wahadhiri unafikiri succession plan itasaidia?Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
Chuo kinaweza kuajiri mhadhiri mwingine kutoka hata nje ya nchi, lakini Rais hawezi kufanya hivyo kwa nafasi ya uwaziri. Kwahiyo hoja ya profesa haina mantiki yeyote. JPM yupo sahihi.Wana jamvi Salaam
Mhadhiri Muandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
Aisee! Naona umeiwekea capital letter kabisa kuonyesha ujuzi wa kiingereza! Sasa, kwani na serikali nayo haina hiyo uliyoiita succession plan, ili iktumbua mmoja aliye chini yake achukue nafasi?Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
UDOM amechukua wangapi kwani??Wana jamvi Salaam