Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Attachments

  • 1491309574872.jpg
    1491309574872.jpg
    24.7 KB · Views: 27
Lazima atakuwa mwanachama wa chama hiki kikongwe na si vinginevyo! kule nafikiria amepangia kazi maalum.
Nawaza tu kwa sauti.
CC Lizaboni.
 
JAMANI TUSITOLEWE NJE YA MSTARI,BASHITE BASHITE BASHITE TUMEFIKIA WAPI? MBONA BSHITE ATUMBULIWI?
 
Ukisema hivyo nakosa maneno mazuri ya kukupa juu ya kauri hii.

Kama ungekua mhadhir usiye na chama ningejua wewe unachokisema unamaanisha. Lakin kwa hali hii huwezi kupoteza katika ulimwengu wa wateule ktk siasa kwa kua upo katka siasa. Mpo wengi sana katka siasa.
Wakina Bareghu, Safari Na wengine wamejificha kwa sura ya upinzani lakin wanataman uteuzi huo.

Watu maaruf kama Benson bana hawa na wengine wanatamani kupumzika na kupata hata ubarozi tu.
 
Sumaye alipokuwa waziri mkuu hakuna kitu alichofanya Zaidi ya ufisadi wa kujilimbikizia mali....Sumaye ndio amechangia sana umasikini wa nchi hii.....
 
Back
Top Bottom