Prof. Kikwete aenda Marekani

Prof. Kikwete aenda Marekani

Salma hajaambatana nae safari hii. Naona Mkulu anaenda kukamilisha 'zamu'. Si kule Marekani kuna mtoto wa ASAS?

CC: Pasco
Nakushauri ungejikita kwenye fani yako ya udaku kipaji chako ndiyo kipo huko siasa hauwezi, mtafute Shigongo.
 
Last edited by a moderator:
Pro-Chadema bana wanachekesha sana rais wao waliomchagua ni Slaa siyo JK, lakini wale wote waliomchagua JK wapo pamoja na rais wao, pro-Chadema endeleeni na drama zenu.
 
Chadema rais wao wanasema mtei mbona mnahangaika na jk wakati mnasema rais wenu mtei?
 
Ashukuru Watanzania tupo kama tulivyo ingekuwa kwingine angekuwa alishapinduliwa kitambo.
 
Zinapotea ndege zilizobeba watu wema na wenye manufaa then wanazopanda akina kikwete hazipotei dah

Mimi naona hawa watekaji wa ndege nao ni watu wasiojua ni nini wakifanyacho, haiwezekani ndege ya raia wema itekwe na waipoteze halafu ndege kama hiyo aliyopanda ndugu yetu ishindwe kutekwa!!!!, huu ni uonevu wa hali ya juu saaana.
 
Pro-Chadema bana wanachekesha sana rais wao waliomchagua ni Slaa siyo JK, lakini wale wote waliomchagua JK wapo pamoja na rais wao, pro-Chadema endeleeni na drama zenu.

Kaka inamana hapo ndio mwisho wako wakufikiri au una kaswende ya ubongo?
 
Hapo airport alishazoeleka kama mhudumu wa uwanja wa ndege.

Mungu atusaidie na atuhurumie (kama tulipewa Rais huyu kama adhabu) ili hili janga la kumpata Rais wa hivi liwe la mwisho katika uhai wa Taifa letu.

du,halafu wote hao first class
 
Yaan mimi sijawahi kwenda US aisee nakusikia tu! Kweli na mimi nifanye mchakato nikashangae huko kwa obama,
 
Chadema rais wao wanasema mtei mbona mnahangaika na jk wakati mnasema rais wenu mtei?

Tunakushukuru kwa upendo na juhudi zako za dhati katika harakati zako za kukitangaza chama pendwa CHADEMA.
 
Mtakumbuka mwaka jana Mida kama hii alikuja kwa Safari iliyoitwa ya mapumziko na kucheck afya yake, na mwaka huu tena katika tarehe Zile Zile anakuja bila kubainisha anachokuja kufanya, kwa ufupi nyakati hizi ndio ambazo ibada za kifreemason huchanganya !!! Na ibada hizo huzidi baada ya sherehe kubwa ya kipagani(kishetani) ya Halloween kuwa imesherekewa ijumaa iliyopita, hivyo kuufanya mwezi mzima kuwa wa makafara na waabudu shetani kushika kasi

Uko sahihi, kumbukumbu zinaonyesha hivyo.Hata hivyo kafara tayari zimeanza huku bongo jana watu 12 walikufa kwa ajali ya treni kugonga BUS na wengine 45 mahututi. Kipindi cha mashetani
 
anaenda kutafuta muwezekaji wa kutuletea powerbank za bei rahisi ili kila mtanzania aweze kumiliki powerbank za kuchajia simu toka Vietnam
 
Anaenda kuangalia mifugo yake alipigiwa simu imepata homa.Dah kweli tumepata ze leprosoferi.
 
lazima kuna kitu, na huenda tumewaudhi marekani, haiwezekani ndan ya miez m2 ufanye ziara nch 1 tena kwa muda mrefu, du!
 
Back
Top Bottom