Ameitwa na Obama.
JK,US kaigeuza kariakoo!
Acheni uongo kikwete yupo dar na kesho atawaaposha wakuu wa mikoa
Ameitwa na Obama.
ana haki kuutamani urais sababu kazi yake inafanywa na bosi asipokuwa tajiri membe basi na yeye ni mzembe. Sababu muda wa kupiga mishe zake anao mwingi sanaNahisi Membe anaona anafanyiwa mchezo mchafu na bosi wake. We umeona wapi hapa duniani rais ana act kuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa at the same time anakuwa rais? Mimi ningekuwa Membe ningejiuzuru kwani anaonekana hajuwi kazi.
Ni moja kati ya laana za Mwl. Nyerere. Mtu kagombania Tanzania iwe huru mpaka akafungwa na wakoloni, leo hii anakuja msanii kuwa rais unafikiri Nyerere huko aliko ana Raha?
Safari za Kikwete zina manufaa sana.kwa Taifa
Acheni uongo kikwete yupo dar na kesho atawaaposha wakuu wa mikoa
Halafu badala ya kuwashukuru wanaojaribu kumuelewesha anakuja na utetezi huu...Kumbuka wakuu wa mikoa hawaapishi pamoja na makatibu alafu kikwete jmosi anaanza ziara mkoani mbeyaa unajua tusiendekeze ujinga tukaacha mambo ya mcng yanayolikumba taifa kila kukicha kufatilia ziara hzo sio siasa.
hatibu juma, unaonaje ukikaa kimya; ukikaa kimya hakuna atakayekushangaa na kweli ulijitahidi sana hapo nyuma...miezi 32 posti 64 sawa na post mbili kila mwezi, hakuna aliyeweza kukushtukia! Huu ni ushauri tu; unaweza kuufuata au ukaupuuza, siku njema/usiku mwema.Mbona kuna vyama tangu vmepewa ubunge hawajawahi kukaa majimboni n kuzungukazunguka mikoani kwenye maandamano mbona hatulalamiki jamani hiii nchi tutaiua ss wenyewe kwa kujifanya tunajua siasa kuzidi marekani maana imekuwa kero kila kukicha kulalama tu bila kutoa solution
Mwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji
Ni kama Mungu ametuadhibu kutuletea huyu VDG...!
Sijui hii adhabu tutaacha kuitumikia lini ee Mungu tusamehe tulikosea
Anamuitaje mwanaume mwenzie.Ameitwa na Obama.