Prof. Kikwete aenda Marekani

Prof. Kikwete aenda Marekani

Matibabu ya nini? Ebola?

Na hivi kuna nchi ambayo profesa hajawahi kufika kweli?

Sijawahi kusikia kaenda Pyongyang (North Korea) akiwa rais.....

Ugonjwa Wa MTU ni siri na Wenzetu huko wanajua nini maana ya siri sio hapa nyumbani hasa kwa watu wakubwa Kama wao itakuwa ni stori ya mjini...

JK kwa nafasi alizoshika nchi hii fursa ya kuimaliza dunia ni kawaida.
 
Atibiwe mwimbili rais Wa nchi?

Ili kesho iwe matangazo magazetini kuwa rais anaumwa?

Okey dokey...nimekuelewa...

Ila Profesa kwa kweli anastahili Nobel Prize kwa kuwa Rais Profesa aliyetembea kila kona ya dunia hii.

Hivi 'frequent flyer' yake itakuwaje huyu Profesa? Unaweza kuta anasafiri bure ati...maana mileage ya Profesa siyo mchezo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hospitali zetu wamezitelekeza hazina vifaa vya kileo, hazina madawa sasa wote wanazikimbia. Kuangaliwa afya zao au kutibiwa ni lazima waende US, moja ya EU countries hasa UK/Ujerumani au India.

Hawezi tibiwa Muhimbili?
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Okey dokey...nimekuelewa...

Ila Profesa kwa kweli anastahili Nobel Prize kwa kuwa Rais Profesa aliyetembea kila kona ya dunia hii.

Hivi 'frequent flyer' yake itakuwaje huyu Profesa? Unaweza kuta anasafiri bure ati...maana mileage ya Profesa siyo mchezo.

Profesa katishaaaaaa.
 
Hospitali zetu wamezitelekeza hazina vifaa vya kileo, hazina madawa sasa wote wanazikimbia. Kuangaliwa afya zao au kutibiwa ni lazima waende US, moja ya EU countries hasa UK/Ujerumani au India.

Chifu...hii nchi nshajichokea...ni heri nisake tonge niwaandalie watoto maisha ya kueleweka...
Ukisubiri waTZ wachukue hatua, unaweza kusubiri hadi Yesu arudi...
 
Mazishi kwa Rais wa Zambia ataenda VP wetu lkn angekuwa kafa Rais wa Ulaya angeenda JK mwenyewe!

Katiba mpya itaje safari za Rais kwa mwaka la sivyo kuna hatari ya kuja kumpata JK mwingine hapo baadae!

Muhimbili hawapati dawa toka bohari kuu sababu hakuna hela za kununua madawa lkn JK na msafara mkubwa wapo USA wakitumia zaidi ya Tsh Milion 300 kwa siku!!

JK ni janga la kitaifa
 
attachment.php

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari pamoja na
wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo
Novemba 6, 2014
attachment.php

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meneja wa Emirates katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege
ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014

PICHA NA IKULU[/QUOTE
Siku marubani wakigoma kusafirisha abiria huyu jamaa ataugua maana ana allergy na maisha ya nchikavu. Amezoea maisha ya angani kama Mbayuwayu na popo.
 
attachment.php

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari pamoja na
wafanyakazi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
kabla ya kupanda ndege ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo
Novemba 6, 2014
attachment.php

Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadik na Meneja wa Emirates katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege
ya shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014

PICHA NA IKULU
Mwache akanunue suti na mkufu. Halafu siku marubani wakigoma kusafirisha abiria huyu jamaa ataugua maana ashazoea kuwa angani kama popo na mbayuwayu.
 
Mwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji
Wewe ni 0 kabisa. Huyu 0 mwenzako anaenda kutafuta misaada kutoka kwa nani wakati nchi wahisani wameshakataa kutoa misaada mpaka CCM warudishe zile Billion 250 za IPTL walizotafuna kwa ajili ya kuibia kura mwakani.
 
Mazishi kwa Rais wa Zambia ataenda VP wetu lkn angekuwa kafa Rais wa Ulaya angeenda JK mwenyewe!

Katiba mpya itaje safari za Rais kwa mwaka la sivyo kuna hatari ya kuja kumpata JK mwingine hapo baadae!

Muhimbili hawapati dawa toka bohari kuu sababu hakuna hela za kununua madawa lkn JK na msafara mkubwa wapo USA wakitumia zaidi ya Tsh Milion 300 kwa siku!!

JK ni janga la kitaifa

Wazungu wana akili sana! Pamoja na kuwa wahisani wamezuia fedha mpaka ripoti ya ufisadi wa Escrow itoke, vilevile bado wanajiuliza tupeleke fedha za nini wakati rais wao anatumia sh 300 milioni kwa siku kwa safari ya siku 20!!?
 
hatuna viongozi wenye uchungu na nchi yetu watu hawana dawa mahospitalini wao ni kula bata USA dah .
 
Back
Top Bottom