Prof. Kikwete aenda Marekani

Prof. Kikwete aenda Marekani

glad i never voted for this c.lown with no red big nose.
 
safari njema rais wetu MUNGU awaagizie malaika wake wakulinda na ufike salama
 
Hivi hizi ziara huwa wabunge hawana mamlaka ya kuhoji bungeni juu ya hizi safari?
 
Nani kasema mahospital hayana dawa sababu serikali haina fedha kulipa MSD!
God bless Tanganyika!
All of you say "Amen"!
 
Umasikini ni Utumwa ndo anapeleka ripoti ya ESCROW misaada iachiwe pole sana mkuu!
 
Anaenda kutafuta wa kukarabati hiyo ceiling board iliyotoboka hapo juu

Duh watu wafukunyungu hadi mmeiona hiyo suspended ceiling iliyoharibika lakini ukweli wa mambo ni kuwa inaakisi utamaduni tulionao wa kutajali kufanya marekebisho (repair & maintanance) na hapo utakuta yupo mwajiriwa kwa kazi hiyo ila hakuna anachofanya ni fedheha kwa kweli
 
halafa camera nazo zimeshindwa hata kuficha kidogo?
 
Ameitwa na Obama.

ni lile bit la waziri wa fedha wa marekani ambalo alikuja nalo akiwq na ujumbe wa sennet ya marekani kuhusu ujio wa raisi wa Rasia huku tanzania
alipo ambiwa achague anataka kuwa socialist or capitalist so ndio ameenda kusolve hiyo na wakubwa wa dunia sasa sijui atakuja na lipi jipya.
 
Kama ni Rais tu, kweli tumempata!:A S 39:

Na Zambia anakwenda lini "kuongoza" mazishi ya Michael Sata?

Mimi nimewapenda ghafla ndugu zetu wa Burkina Faso!
 
safari njema rais wetu MUNGU awaagizie malaika wake wakulinda na ufike salama

Acha hizo dua za kuku, wenzako wote tuko katika maombi ya hii ndege kupotea huko angani. Watu tuna siku kadhaa tumefunga ili hii ndege isipatikane tena, wewe vipi?
 
Ni kama Mungu ametuadhibu kutuletea huyu VDG...!

Sijui hii adhabu tutaacha kuitumikia lini ee Mungu tusamehe tulikosea

Mkuu Mungu husaidia wale wanaoonyesha nia ya kujisaidia wao wenyewe kwanza ndipo naye huongeza nguvu zake... sasa sisi tupo tupo tu hata hatujielewi, watu wanafuja nchi, wanauza rasilimali kwa manufaa yao sisi tunakenua tu.. very sad
 
halafa camera nazo zimeshindwa hata kuficha kidogo?

Na hilo ni dogo tu tumeliona haishangazi kukuta kuna makubwa zaidi ya unaloliona kwenye hyo picha ukute flash tanks hazifanyi kazi kwenye vyoo kwahyo inabidi watu watumie ndoo wakitoka kujisaidia lakini yote kwa yote maisha yanaenda na watu wanaona ni kawaida tu na suti na tai zao wako maofisini wanapigwa viyoyozi utamaduni huu utatuisha lini?
 
Hivi hizi ziara huwa wabunge hawana mamlaka ya kuhoji bungeni juu ya hizi safari?

Wabunge wepi hao unawaongelea? hawa kina Komba et al? aaah mkuu wote watafuna nchi hao si uliona walivyoshupaa na rasimu ya Warioba iliyokua inawabana?
 
Back
Top Bottom