Million 100? Au una maanisha billion 100? Maana 100m ana ikata within few hrs.Ile ndege ambayo Mramba alikuwa radhi tule majani ili inunuliwe iko gereji au!!
Siku ishirini Kikwete atatumia zaidi ya milioni mia moja kwa matanuzi!!

du,halafu wote hao first class
Ameitwa na Obama.
Hospitali zetu wamezitelekeza hazina vifaa vya kileo, hazina madawa sasa wote wanazikimbia. Kuangaliwa afya zao au kutibiwa ni lazima waende US, moja ya EU countries hasa UK/Ujerumani au India.
Ndege ya rais ya bilioni 40 ina matatizo?
Kwa hiyo ndo siku 20 hivyo!
Huyu rais ana matatizo kwelikweli...sijui tuliletewa na nani!!!!
Ameona aibu naskia kapunguza hadi kumi, as if kumi ni chache!!! Profesa bhanaNdio yale mapumziko ya siku 20?
Si angeunganisha hukohuko China afanye check up au wachina ni fake mkuu anaogopa watamcheki kifakefake
Halafu hilo dali hapo juu kwenye picha ya kwanza niaje?
Safari za Kikwete zimesababisha Uchumi wa Taifa umepaa.
Akirudi atawahutubia wazee wa darisalama........kichefu chefu sana huyu Prof Msafiri