Tuna balozi marekani .ya nini yeye aende kule USA ?? Na pia yupo waziri wa mambo nje pia ?? Anatumia mabillion ya WaTz wakati hospitali hazina dawa ?? Wakina mama wajawazito wa3. wanalala kitanda Ki1 ?shuleni hakuna madawati?? Umaskini uliokithiri kwa watanzania na hata mlo mmoja ni issue kwa waTz ?kweli alieshiba hamkumbuki mwenye njaa .haya yote ni Laana ya ccm na vibaraka wake .Najickia hacra sana nikiangalia njinsi tulivyomasikini kutokana uongozi mbovu sana na uozo ulijaa ndani ya serikali ya ccm