Mashamba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 418
- 101
Wadau leo asubuhi hapa College of Informatics and virtual education (CIVE) - UDOM palikua na tukio la kuwaapisha viongoz wapya wa serikali ya wanafunzi ngazi ya college. Miezi kadhaa hapa nyuma kumefanyika chaguzi ngazi ya federation na college ambazo waziwazi ziliegemea udini kutokana na ushabiki wa wazi toka kwao na madai ya maelekezo toka ikulu.
La kushangaza ni wakati wa speech yake VC Prof Kikula,pasi ya kujitambua akitapa tapa kujaribu addressing ya ishu ya udini ambayo hapa UDOM imeota mizizi mara akaropoka " NANI ASIYEJUA HUU UDINI UMELETWA NA BARAZA LA MAASKOFU" ,akaenda mbali zaidi akiomba timu ya kumsaidia kupambana na blog na forum ambazo anadai zinawachafua. Kweli hawa majamaa nimeamini sasa kwamba wapo hapa Magamba Agent.
NAOMBA KUWASILISHA, Nilikua kwenye eneo la tukio.