Prof. KIKULA atoa mpya

Mashamba

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
418
101
Wadau leo asubuhi hapa College of Informatics and virtual education (CIVE) - UDOM palikua na tukio la kuwaapisha viongoz wapya wa serikali ya wanafunzi ngazi ya college. Miezi kadhaa hapa nyuma kumefanyika chaguzi ngazi ya federation na college ambazo waziwazi ziliegemea udini kutokana na ushabiki wa wazi toka kwao na madai ya maelekezo toka ikulu.

La kushangaza ni wakati wa speech yake VC Prof Kikula,pasi ya kujitambua akitapa tapa kujaribu addressing ya ishu ya udini ambayo hapa UDOM imeota mizizi mara akaropoka " NANI ASIYEJUA HUU UDINI UMELETWA NA BARAZA LA MAASKOFU" ,akaenda mbali zaidi akiomba timu ya kumsaidia kupambana na blog na forum ambazo anadai zinawachafua. Kweli hawa majamaa nimeamini sasa kwamba wapo hapa Magamba Agent.

NAOMBA KUWASILISHA, Nilikua kwenye eneo la tukio.
 
Waliharibu sana uchaguzi kwa sera zao. Maaskofu ndio walimwaga fedha kwa wanafunzi wa kiislamu? Maaskofu ndio walimpiga yule kaka wakimwita kafiri? Maaskofu ndio waliandika ule waraka wakisema huu ndio wakati wa wao kutawala cuz tangu enzi za mwalim wananyanyasika? Maaskofu ndio wamewawekea waislamu spirit ya inferiority bila kujali kiwango chao cha elimu? Watasema sana ila wasipojivua gamba la uinferior then wataendelea kuwashika na kutumikishwa na hao "MAASKOFU"
 
Haya mambo haya.....
Ngoja tutaona 2015 kama tusipotoboana macho
 
Me nahic pale udom, kuna gamba moja wasipoamua kulitoa bac matatizo hayatokwisha, na ipo cku wa2 watachinjana! Matatizo yote ya chuo anasababisha huyu jamaa( MLACHA)
 
Ivi hajui udini ndo mtaji hafifu wa ccm kwenye kila uchaguzi wa Tz,ona mambo ya hijab igunga!
Alafu hayo mambo kayaingizaje nae uyo apo chuoni?
 
Waliharibu sana uchaguzi kwa sera zao. Maaskofu ndio walimwaga fedha kwa wanafunzi wa kiislamu? Maaskofu ndio walimpiga yule kaka wakimwita kafiri? Maaskofu ndio waliandika ule waraka wakisema huu ndio wakati wa wao kutawala cuz tangu enzi za mwalim wananyanyasika? Maaskofu ndio wamewawekea waislamu spirit ya inferiority bila kujali kiwango chao cha elimu? Watasema sana ila wasipojivua gamba la uinferior then wataendelea kuwashika na kutumikishwa na hao "MAASKOFU"

Da mkuu umenikumbusha lile sakata la waislam kumpiga yule kijana mkristo hapo Udom,kweli Uislam umezidi kushamiri Udom as time being ila kwenye chaguzi tunawatia adabu kweli
 
Bora nmemaliza mana udom haiishi vituko na mambo ya ajabu ajabu kia siku. Poleni ambao bado mnasoma na endeleni kupigania haki zenu.
 
Nimeona ajabu jana wakati Kilango akijaribu kuukwea mnazi asiouweza wakati anasema tukio la Igunga ni unyanyasaji wa kijinsia na linatakiwa kupingwa na akina mama wote...nilimsoma nikaelewa tayari naye anatumikia kakitumbua na tayari kanasa kwa Bakwata.

Source:ITV,jana saa2 usiku
 
Hizo zote ni njama za CCM,mbona Rosam aziz,Ridhwani Kikwete na kikwete mwenyewe walivyomwaga mamilioni kwa Bashe ili kuwania urais wa federation hawakulizungumzia? Vikao vya waislam seminar rooms za education muda wa saa saba na tisa kupanga mikakati ya kupata urais ili watumie pesa za wanafunzi wanazolipa kujengea msikiti Nghonghona hawajalizungumzia? Suala la wale ma-ustadhat waliomchoma na pen,kumpiga mawe Ferdinand wa college of education mbona walikuwa kimya? Hawakuliona hilo? Suala la Kikula kuchelewesha kukamatwa kwa waliohusika kumpiga Ferdinand hadi amri ilipotoka kwa mkuu wa polisi,inakuwaje hapa kama si hata viongozi wa chuo wenyewe kuunga mkono UDINI? Mwisho chunguza ajila nyingi za UDOM,fanya tathmini,waislamu ni wengi kuliko wakristo,ina maana wakristo hakuna walio-qulify? Waache watege mabomu ambayo mwisho yatawalipukia wenyewe,mwisho UDOM MSIINGIZE SIASA KATIKA ELIMU,FANYENI KAZI MSIFUNGAMANE NA CHAMA CHOCHOTE,TUWE INTELLECTUALS NA SI KU-SAVE THE INTEREST OF GOVERNMET.
 
Maaskofu wanajua hili, I wish watoe tamko. Wamtake huyu VC athibitishe ushiriki wa maaskofu katika masuala ya udini vyuoni? Kama maaskofu watalinyamazia hili basi tutaamini kwamba wao ndo walioleta udini hapa nchini na si Kikwete na chama chake CCM.
 
Du! aisee nami nakumbuka mbali sana, ila c tulitia fora pale jamaa aliposhinda tukaanza kushangilia Yesu! Yesu! Lkn lazima tukubali wakristo tuliwazidi kete waislam hasa hapa Social, kusema kweli Bashe alistahiki kuwa kiongozi ana sifa zote kuliko yule dada, lakini kwa kuwa tulikula kiapo cha kutowapigia kura waislam nami tukawatekeza!
 
Inapofikia hatua ya wasomi wa ngaz ya u-Prof kuzungumzia habari za udin hadharani bac jua tuendako siko.si muda mrefu ttakua kama Nigeria!
 
Duuuh, basi ni hatari kweli kweli, hata kikula mtu tuliyekuwa tunamwamini ameweza kutoa kauli kama hii,

nilidhani mdini ni mlacha peke yake, naona kwa top management ya udom wa kuaminika ni kinabo peke yake sasa.

Hiyo college ya informatics ndo ilikuwa inaongoza kwa udini kwa upande wa staff as imejaza wapemba kibao.
 
Hata 2010 tuliisubiria hivi hivi

Hivyoooooooooooooooo! Kuna taarifa pia kwamba watakaoajiriwa hapo kuanzia mwaka huu, wengi inabidi wawe waislamu ili kupush their number in the govt system.
 
Back
Top Bottom