Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

TANZANIA DAIMA WATAMKUMBUKA ABSOLUM KIBANDA KWA UHARIRI,HUYU MGOMBEA UBUNGE WA MULEBA,NAONA ANALIPELEKA GAZETI ICU,POLISI YEYE,MAHAKAMA YEYE,HOSPITALI YEYE,HII SII TANZANIA DAIMA TULIYOIFAHAMU,NA NDO TATIZO LA KUWA NA MUCH KNOWS!!!-Ngulumo AKIWA MHARIRI mkuu wa GAZETI amelifanyia MAPINDUZI GAZETI NA kulifanya la UDAKU .

MBILI,GAZETI LIMEMSHUPALIA PROFESA KAPUYA,KUIONDOA JAMII KATIKA MJADALA UNAONDELEA NDANI YA VIONGOZI WA CHADEMA,NA PIA KUIFIFISHA HOJA YA KIPUUZI DHIDI YA KUFILWA KWA MBUNGE GODBLESS LEMA,NA AKILI ZAKE ZA UKICHAA,WA KUSAMBAZA PICHA ZA USHENZI HUU,YAANI LEMA NGUO ZAKE ZIKICHUKULIWA NA KICHAA NA YEYE ATAMKIMBIZA UCHI YULE KICHAA.SHAME ON HIM.

Hapa tunajadili kuhusu UBAKAJI WA KAPUYA mkuu,hayo mengine yapo humu humu jf,tafuta thread zake ujivinjari huko,hapa ni sisi na kapuya hadi kieleweke.
 
TANZANIA DAIMA WATAMKUMBUKA ABSOLUM KIBANDA KWA UHARIRI,HUYU MGOMBEA UBUNGE WA MULEBA,NAONA ANALIPELEKA GAZETI ICU,POLISI YEYE,MAHAKAMA YEYE,HOSPITALI YEYE,HII SII TANZANIA DAIMA TULIYOIFAHAMU,NA NDO TATIZO LA KUWA NA MUCH KNOWS!!!-Ngulumo AKIWA MHARIRI mkuu wa GAZETI amelifanyia MAPINDUZI GAZETI NA kulifanya la UDAKU .

MBILI,GAZETI LIMEMSHUPALIA PROFESA KAPUYA,KUIONDOA JAMII KATIKA MJADALA UNAONDELEA NDANI YA VIONGOZI WA CHADEMA,NA PIA KUIFIFISHA HOJA YA KIPUUZI DHIDI YA KUFILWA KWA MBUNGE GODBLESS LEMA,NA AKILI ZAKE ZA UKICHAA,WA KUSAMBAZA PICHA ZA USHENZI HUU,YAANI LEMA NGUO ZAKE ZIKICHUKULIWA NA KICHAA NA YEYE ATAMKIMBIZA UCHI YULE KICHAA.SHAME ON HIM.

umevurugwa nini? si huyo m**e wako alitafutwa na gazeti aseme upande wake akashindwa kutoa ushirikiano? si umesikia kwamba alikwepa kujitetea kabla habari hii haijaruka hewani? kachukue akili zako ulikozisahau uzitumie kufikiri!
 
Prof. akijirusha!
attachment.php

attachment.php

Inaonekana Mheshimiwa anakimbilia kwa visichana vidogo visivyoweza kujitetea.
 
I didn't know prof kaapuya is such a twit! walah hii kesi ikisimamiwa na wakili makini kama Tundu Lissu, haitachukua dakika 15 kabla huyu malaya, muuaji, mwanahizaya mkubwa hajaenda kunyea debe segerea.
 
Huyo kapuya kama kweli line yake ndio iliotuma sms za matukio yote hayo alafu bado anajaribu kukanusha kwamba hiyo laini alishaigawa, iyo haiwezi kumuingia mtu yeyote akilini ata mtoto mdogo ukimueleza ilo hawezi kuamini! Yeye minaona akiri kosa aseme ata tamaa za mwili ndio zilimponza mpaka akafikia kufanya ivyo!ata ivyo inaonekana hako kabint kako mzuka ndio maana muheshimiwa akaamua kutupa nduano! Nihayo tu..
 
Kapuya Anachokifanya ni kukomaa kama alivyofanya meya wa Toronto.Prof Kuna usemi wa wahenga unasema Muongo mpe muda..........
 
Aisee au na ile mitihani ya 1998,watu tulifutiwa,jamaa alihonga nini?Watu tukafutiwa ikabidi tugonge pepa 1999
 
haya mambo ni magumu sana kwa tanzania...mambo sesitive kama haya ni vema yakaanzia katika vyombo husika vyenye dhamana...na sio kuanzia katika vyombo vya habari,hapa mnatuchanganya...hatuelewi lipi ni lipi...mi sina la kutamka hapa zaidi ya kuchanganyana tuuuu
 
hivi katika hiyo taarifa yake Kuna mahala kokote alipoandika juu ya kumpa au kugawa simu yake?? Au ndo kama kawaida yenu you chose to believe what U like to see, badala ya kuchagua kuamiini kilicho kweli na kikathibitishwa???

Uwe unasoma kwanza kabla ya kukurupuka. ...
Hata hivyo, katika namna ya kushangaza, Kapuya alidai kwamba simu hiyo aliishaigawa miezi sita iliyopita, na hivyo hausiki kwa namna moja ama nyingine na tuhuma alizopewa
 
hii inaonyesha dhahili jamaa alitenda kweli! maana anaonekana anajihami, huwezi kusema niombe radhi kwa tuhuma nzito kama hizi? je kesi ya kinana dhidi ya msingwa imeishia wapi?
 
Duh Mh anajimaliza kabisa, bora angekaa kimya! Atasema huo mtambo nani anao huko mbele kwa mbele teh teh
 
Mhh! Mbona hii kesi kama ile ya Mike Iron Tyson, kama mnaikumbuka.
 
Huyo kapuya kama kweli line yake ndio iliotuma sms za matukio yote hayo alafu bado anajaribu kukanusha kwamba hiyo laini alishaigawa, iyo haiwezi kumuingia mtu yeyote akilini ata mtoto mdogo ukimueleza ilo hawezi kuamini! Yeye minaona akiri kosa aseme ata tamaa za mwili ndio zilimponza mpaka akafikia kufanya ivyo!ata ivyo inaonekana hako kabint kako mzuka ndio maana muheshimiwa akaamua kutupa nduano! Nihayo tu..

Justice fighter hivi umeshindwa kuona kuwa hiyo namba anayo hikana bado anaitumia na ameiweka kwenye waraka hapo juu?
 
Last edited by a moderator:
Sielewi kitu hapa ngoja nilale lambda akili itatulia
 
Back
Top Bottom