Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 84
Kapuya amebaka yatima, akamwambukiza ukimwi.
Tutatoa ushahidi hata mbinguni
mkuu mungi naomba nishirikiane na wewe siku ya kuutoa ushaidi mbinguni cc. mwigulu..
Kapuya amebaka yatima, akamwambukiza ukimwi.
Tutatoa ushahidi hata mbinguni
Mkuu mimi sio mwanasheria ila unaona kabisa tatizo liko wapi...huyo mtoto akipata mshauri na wakili mzuri hii kesi ni nyepesi sana kwake
Issue hapo sio ukimwi.....ni kuwa mtu mzima alilala na under age girl ambaye ni mwanafunzi....kwa sheria za JMT hilo ni kosa hata usingizie nini.... Kwa hiyo wakili wa huyo mtoto akiweza jenga hoja hapo na kuongesea na messages za kutishia kuua wakili wa kapuya na kapuya mwenyewe watakua kwenye wakati mgumu sana
MAJIBU
- miaka 14 kidato cha kwanza
- Baada ya kupigwa tena kwenye red carpet ofisini kwa jamaa mwananyamala na kuelezwa na muhudu wa ofisi
Hicho kitoto ni Malaya tu wala hajui huo ukimwi alikoukwaa.
Ivi ndo huyu au mwingine ??View attachment 121613
Tamko la Kapuya linachekesha.
Kila baada ya mistari miwili "Heshima yangu niliyojijengea kwa muda mrefu"
Bila shaka heshima anayozungumzia ni hii hapa:
![]()
Hicho kitoto ni Malaya tu wala hajui huo ukimwi alikoukwaa.
Acha tusubiri tuone hitimisho
TANZANIA DAIMA WATAMKUMBUKA ABSOLUM KIBANDA KWA UHARIRI,HUYU MGOMBEA UBUNGE WA MULEBA,NAONA ANALIPELEKA GAZETI ICU,POLISI YEYE,MAHAKAMA YEYE,HOSPITALI YEYE,HII SII TANZANIA DAIMA TULIYOIFAHAMU,NA NDO TATIZO LA KUWA NA MUCH KNOWS!!!-Ngulumo AKIWA MHARIRI mkuu wa GAZETI amelifanyia MAPINDUZI GAZETI NA kulifanya la UDAKU .
MBILI,GAZETI LIMEMSHUPALIA PROFESA KAPUYA,KUIONDOA JAMII KATIKA MJADALA UNAONDELEA NDANI YA VIONGOZI WA CHADEMA,NA PIA KUIFIFISHA HOJA YA KIPUUZI DHIDI YA KUFILWA KWA MBUNGE GODBLESS LEMA,NA AKILI ZAKE ZA UKICHAA,WA KUSAMBAZA PICHA ZA USHENZI HUU,YAANI LEMA NGUO ZAKE ZIKICHUKULIWA NA KICHAA NA YEYE ATAMKIMBIZA UCHI YULE KICHAA.SHAME ON HIM.
hahaha maelezo ya wakili wake na maelezo yake kwenye waraka huu yatamfunga.Kwenye maelezo ya wakili wake amekataa kwamba namba 0784993930 haitumii tena,lakini kwenye maelezo yake binafsi kwa vyombo vya habari kaiandika namba hiyo hiyo kama namba yake hapo sehemu ya mwisho alipoandika adress na contacts zake.
Nilijua tu hizi ni siasa za kuchafuana.[/QUOTE
The man is guilty hakuna siasa hapo anaingiza siasa kama defensive mechanism.
Utetezi wake ni dhaifu sana na hauna mashiko vitu kama mitambo na kugawa simu huku ikiwa na line
ni ukichaa ambao ni mjinga ndio anaweza kuamini.
kudai kuwa mtoto huyo humjui hiyo ndio mbaya zaidi unawezaje kumtumia fedha mtu usiyemjua.
kamera za biashara building na message za kutoka kwy simu yake zimemaliza swali la kudai kutomtambua mtoto
hili suala lilikuwa mis handled na yeye mwenyewe na lilipofikia ni ngumu kulizuia au kuja na utetezi wa kijinga km huu.
suala limeshapelekwa polisi, taasisi mbali mbali za kijamii na hata bungeni hao wote kwa namna moja au nyingine inabidi
wakanushe ili kumlinda kitu ambacho hakiwezekani na nawakikishia mahakamani haendi kwani simu yake na maandishi aliyoyatoa kwy jinsia yatammaliza. haya maneno haliyoyatoa kwy utetezi atayakimbia baadaye
Nduo Ujue MACCM yalivyo na Akili Fupi yani hata huyo wakili na shaka na Elimu yake. Alafu utakuta huyo wakili anakuja kuwa Jaji au Mwanasheria Mkuu wa serekali Jamaa akiukwaa Uwaziri Mkuu.
TANZANIA DAIMA WATAMKUMBUKA ABSOLUM KIBANDA KWA UHARIRI,HUYU MGOMBEA UBUNGE WA MULEBA,NAONA ANALIPELEKA GAZETI ICU,POLISI YEYE,MAHAKAMA YEYE,HOSPITALI YEYE,HII SII TANZANIA DAIMA TULIYOIFAHAMU,NA NDO TATIZO LA KUWA NA MUCH KNOWS!!!-Ngulumo AKIWA MHARIRI mkuu wa GAZETI amelifanyia MAPINDUZI GAZETI NA kulifanya la UDAKU .
MBILI,GAZETI LIMEMSHUPALIA PROFESA KAPUYA,KUIONDOA JAMII KATIKA MJADALA UNAONDELEA NDANI YA VIONGOZI WA CHADEMA,NA PIA KUIFIFISHA HOJA YA KIPUUZI DHIDI YA KUFILWA KWA MBUNGE GODBLESS LEMA,NA AKILI ZAKE ZA UKICHAA,WA KUSAMBAZA PICHA ZA USHENZI HUU,YAANI LEMA NGUO ZAKE ZIKICHUKULIWA NA KICHAA NA YEYE ATAMKIMBIZA UCHI YULE KICHAA.SHAME ON HIM.
TANZANIA DAIMA WATAMKUMBUKA ABSOLUM KIBANDA KWA UHARIRI,HUYU MGOMBEA UBUNGE WA MULEBA,NAONA ANALIPELEKA GAZETI ICU,POLISI YEYE,MAHAKAMA YEYE,HOSPITALI YEYE,HII SII TANZANIA DAIMA TULIYOIFAHAMU,NA NDO TATIZO LA KUWA NA MUCH KNOWS!!!-Ngulumo AKIWA MHARIRI mkuu wa GAZETI amelifanyia MAPINDUZI GAZETI NA kulifanya la UDAKU .
MBILI,GAZETI LIMEMSHUPALIA PROFESA KAPUYA,KUIONDOA JAMII KATIKA MJADALA UNAONDELEA NDANI YA VIONGOZI WA CHADEMA,NA PIA KUIFIFISHA HOJA YA KIPUUZI DHIDI YA KUFILWA KWA MBUNGE GODBLESS LEMA,NA AKILI ZAKE ZA UKICHAA,WA KUSAMBAZA PICHA ZA USHENZI HUU,YAANI LEMA NGUO ZAKE ZIKICHUKULIWA NA KICHAA NA YEYE ATAMKIMBIZA UCHI YULE KICHAA.SHAME ON HIM.
tanzania daima watamkumbuka absolum kibanda kwa uhariri,huyu mgombea ubunge wa muleba,naona analipeleka gazeti icu,polisi yeye,mahakama yeye,hospitali yeye,hii sii tanzania daima tuliyoifahamu,na ndo tatizo la kuwa na much knows!!!-ngulumo akiwa mhariri mkuu wa gazeti amelifanyia mapinduzi gazeti na kulifanya la udaku .
Mbili,gazeti limemshupalia profesa kapuya,kuiondoa jamii katika mjadala unaondelea ndani ya viongozi wa chadema,na pia kuififisha hoja ya kipuuzi dhidi ya kufilwa kwa mbunge godbless lema,na akili zake za ukichaa,wa kusambaza picha za ushenzi huu,yaani lema nguo zake zikichukuliwa na kichaa na yeye atamkimbiza uchi yule kichaa.shame on him.